Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Sio hivyo mkuu, ni kawaida sana kama mshua wako alikuwa mtundu mtundu sana. Mimi pia hufananishwa na mtu huko moshi wkt cjawahi fika
wanajamii kuna tatizo linanisumbua sana hapa,ni hili suala la mimi kufananishwa sana nkikutana na watu mbalimbali,yani kwa siku inaeza tokea nafananishwa hata mara tano...napenda jua hii inasababishwa na nini kitaalamu kwan kuna mida hua nawaza pengine ni ushirikina.
ni tatizo hilo sio kawaida
Ni kweli, vibaka hufananishwa sana
we jamaa unadhani wote vibaka?
Hapana, siyo wote mkuu. Ila umefanana sana na kibaka aliyenipora simu pale manzese darajani mwaka jana. Ila nimekufananisha tu.
niko serious sana na hii issue jamani...kwa hatua iliyofikia naona kabisa cyo kawaida,jana kuna mtu kadai ameniona kwenye daladala akati cjatok nyumbani kabisaaaa yaani mpaka ananihisi pengine ni mshirikina,hebu tusaidiane katika hili,inawezekana vipii?
mbn haitokei kwa wengine mkuu
niko serious sana na hii issue jamani...kwa hatua iliyofikia naona kabisa cyo kawaida,jana kuna mtu kadai ameniona kwenye daladala akati cjatok nyumbani kabisaaaa yaani mpaka ananihisi pengine ni mshirikina,hebu tusaidiane katika hili,inawezekana vipii?
Mbona umekomalia sana ushirikina? Kama unaamini hivyo peleka jukwaa la ushirikina
ever heard of the so called evil possession?Mnapenda matatizo nyie, kiasi kwamba hali ya kawaidq isiyodhuru unaitafutia Latin name yake, haya yako tuiite basi pseudokufanana disorder.
Happy?
Cc The Boss