Kufananishwa sana na watu

Kufananishwa sana na watu

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
wanajamii kuna tatizo linanisumbua sana hapa,ni hili suala la mimi kufananishwa sana nkikutana na watu mbalimbali,yani kwa siku inaeza tokea nafananishwa hata mara tano...napenda jua hii inasababishwa na nini kitaalamu kwan kuna mida hua nawaza pengine ni ushirikina.
 
Sio hivyo mkuu, ni kawaida sana kama mshua wako alikuwa mtundu mtundu sana. Mimi pia hufananishwa na mtu huko moshi wkt cjawahi fika
 
wanajamii kuna tatizo linanisumbua sana hapa,ni hili suala la mimi kufananishwa sana nkikutana na watu mbalimbali,yani kwa siku inaeza tokea nafananishwa hata mara tano...napenda jua hii inasababishwa na nini kitaalamu kwan kuna mida hua nawaza pengine ni ushirikina.

Ni kweli, vibaka hufananishwa sana
 
niko serious sana na hii issue jamani...kwa hatua iliyofikia naona kabisa cyo kawaida,jana kuna mtu kadai ameniona kwenye daladala akati cjatok nyumbani kabisaaaa yaani mpaka ananihisi pengine ni mshirikina,hebu tusaidiane katika hili,inawezekana vipii?
 
Mnapenda matatizo nyie, kiasi kwamba hali ya kawaidq isiyodhuru unaitafutia Latin name yake, haya yako tuiite basi pseudokufanana disorder.

Happy?
Cc The Boss
 
Last edited by a moderator:

mbn haitokei kwa wengine mkuu
 
Last edited by a moderator:
Me mwenyewe nafananishwa hatari, mara ooh umefanana na mtoto wa dada yangu, mwingine utasikia umefanana na classmate wangu wa o level, mwingine na jirani yanguu...basi ni sheeedah...
Ila huwa nawajibu itakuwa hii sura Mungu aliitoa kopi nyingiiiii....
 
niko serious sana na hii issue jamani...kwa hatua iliyofikia naona kabisa cyo kawaida,jana kuna mtu kadai ameniona kwenye daladala akati cjatok nyumbani kabisaaaa yaani mpaka ananihisi pengine ni mshirikina,hebu tusaidiane katika hili,inawezekana vipii?

Mbona umekomalia sana ushirikina? Kama unaamini hivyo peleka jukwaa la ushirikina
 
Eeeh..mambo mengine bhana...mi nadhan sura yko itakuwa inatumiwa na majni kufanyia shughul zao kwasababu aiwezekan mtu akuone kwenye hiace kabxa afu ww uwe nyumbani mda huohuo...!!
 
Mnapenda matatizo nyie, kiasi kwamba hali ya kawaidq isiyodhuru unaitafutia Latin name yake, haya yako tuiite basi pseudokufanana disorder.

Happy?
Cc The Boss
ever heard of the so called evil possession?
possible for one to be possessed by evil spirits and use his appearance to distract others.
niliwah kumwona mwanafunzi by then tuko weruweru alikuwa anakuwa possessed na evils so muda mwingine ukiwa dom unamkuta af ukienda class unamkuta tena smtms na different attires, kuna wakati alikuwa anaonekana kwenye madarasa ya o levo na jina tofauti, na akafanana na aloko a level na jina tofauti ilikuwa ni shida sana kumspoti na kum-name.
ilipogundulika kwamba yuko possessed aliombewa sana kanisan alitokwa na mapepo 18 was scary manake hata baada ya maombi wanafunzi tulikuwa tunamuogopa bado
 
Back
Top Bottom