Kufanikiwa ni nini?

Kufanikiwa ni nini?

Mii wanajukwaa.
Naomba tujadiliane dhana ya maendeleo Ni nini. Kwa Nini mwingine anafanikisha Jambo mwingine anafanikisha. Imani yako ama mtizamo wako Ni Nini kinachopelekea
Mimi nikichakata mbususu moja mpya kila siku kwa mwezi,huhesabu huo mwezi ni WA mafanikio
 
Kufanikiwa ni kuwa na afya njema.haya mengine ni mbwembwe tu
 
Kuna universal definition ya kufanikiwa yaani financial freedom ni kupata kila unachokitamani na usipungukiwe mfukoni kiasi ya kuwaza kwanini ulinunua ulichokitamani
 
Back
Top Bottom