Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa na hela tu hayo ndio mafanikio kwa sasaHabari wanajukwaa.
Naomba tujadiliane dhana ya maendeleo Ni nini. Kwa Nini mwingine anafanikisha Jambo mwingine anafanikisha. Imani yako ama mtizamo wako Ni Nini kinachopelekea
Tupe hizo skills za kirohoKufanikiwa ni ujuzi katika ulimwengu wa roho.
Mimi nikichakata mbususu moja mpya kila siku kwa mwezi,huhesabu huo mwezi ni WA mafanikioNaomba tujadiliane dhana ya maendeleo Ni nini. Kwa Nini mwingine anafanikisha Jambo mwingine anafanikisha. Imani yako ama mtizamo wako Ni Nini kinachopelekea