jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Wasalaamu wanaJF tunaposema tufanye siasa za kistarabu na siasa za kweli tunamaanisha.
Ni jambo baya sana kuona baadhi ya wanasiasa wanabakia katika mirengo ile ile ya siasa za ulaghai za miaka iliyopita wakati tupo kwenye nyakati za teknolojia.
Mimi ni mdau mkubwa sana unapogusia suala la afya ya jamii...na mara nyingi huwa nakwazwa sana na mwanasiasa anayetaka kulaghai umma na huwa simcheleweshi namchana live mapema mno.
Akihojiwa kupitia ITV Tundu Lissu ameongelea suala la afya na ametanabaisha kuwa hata huko Ubelgiji alipoenda alishihudia kuwa ukihitaji matibabu utaulizwa na kutakiwa kuwa na bima ya afya ameeleza kuwa bima hiyo itakufanya utibiwe sawa sawa na mfalme wa ubelgiji(sina uhakika na hili).
Lissu akaahidi kwa kusema kuwa ilani ya CHADEMA italiaccomodate suala hili yaani kwa lugha rahisi lipo kwenye ilani yao.
KWANINI NASEMA KAUDANGANYA UMMA.
Nimepitia Ilani ya Chadema(mimi sio mvivu wa kusoma ilani) Sijaona sehemu waliyoorodhesha suala hili na ushahidi nitauweka hapa.
NI KWA VIPI LISSU AMEIBA NA KUINADI ILANI YA CCM
Katika kipengele 83 (e)cha Ilani ya CCM Kinaongelea kuhusu universal health insuarance coverage na kimeainisha wazi ni namna gani suala hili litafanyika.Tazama ushahidi hapo chini...
Ukiisoma Ilani ya CCM ndiyo inayoongelea wazi kuwa watahakikisha universal health insuarance coverage kupitia NHIF na CHF...
Hawa walaghai hawajagusia eneo hilo na inaonekan a wanatupeleka kwenye kuifanya afya kuwa biashara ya sekta binafsi kama marekani na ubelgiji.
MY TAKE:
Watanzania tujifunze kusoma na kuzielewa ilani za vyama hasa nyakati hizi za uchaguzi kwani matapeli wanaotaka kuneemesha matumbo yao na ya mabeberu ni wengi.
HII NI KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
VIVA JPM!!
Uchaguzi 2020 - Kumbe sera ya Bima ya afya kwa watanzania wote Tundu Lissu ka copy kutoka Ilani ya CCM!