Dr Bill
JF-Expert Member
- Aug 26, 2020
- 463
- 436
Kiukweli Sihitaji Kujuia Ilani Ya CCM maana Magufuli Vision take ni ilani Tosha Yaani Magufuli Anatosha bila Ilani Kwa Uthubu alionao Kweli kuna sehemu anabana akibana ndio anatupa wakati Wa kufikili zaidi Maana maisha Sio lelemama kila Kitu kiende kirahisi Kama kumsukuma mlevi