Kufanya au kutofanya mapenzi kinyume na maumbile - Maamuzi ni yako mwanamke!

Kufanya au kutofanya mapenzi kinyume na maumbile - Maamuzi ni yako mwanamke!

Kwa generation ya dotcom ishakuwa fashion na mwanamme bila kumuomba tigo demu wako anakudharau na kukucheka kwa marafikize, hivyo tunachapa tu huku tukiomba msamaha kwa muumba.
Kwa hiyo unaona ni bora umfurahishe manzi wako na umkosee muumba wako siyo?
 
Nothing is good or bad but your thinking make it so.

Suala la 0713 kwa kiasi kikubwa naona kama wanaolijadili wanalijadili katika "angle" isio. Hawajielekezi katika kujenga ushawishi bali katika KUTISHA na KULAANI. Wamejigeuza kuwa kama "YEYE ALIE JUU" kwa kuhukumu na kulaani.

Kwa "angle" hiyo hakuna mnachofanya zaidi ya kuchochea vitendo hivyo. Kumbukeni "enzi zile" kampeni za VVU na UKIMWI zilipolenga kuonyesha VVU na UKIMWI ni laana, hawakufanikiwa hadi pale walipobadili "approach".
Kwa hyo wewe unataka watu wakemee mchezo huo kwa approach ya kuusifia!? Basi ngoja na mie niwakemee "jamani wake kwa waume,tigo ni tamu sana ila nawaomba muache mchezo huo manake una madhara"! Naamini hapo wamenielewa sn na wataacha!
 
Hii elimu naomba ilatolewe shule za sekondari hasa za kata...mana uko vjana wanaangalia x af wanajaribu bila kujua madhara
 
Hahahahaa kidumu 'Chama Cha Mamende'. teh teh teh. Hatari sana walahi. Na siku hizi #Team cha-Uvunguni# inazidi kupata wafuasi kwa kasi.

Kuna mademu wengine huwa wanaitelezesha wao wenyewe bila wewe kujua. Yani unajikuta tu tayari hogo limo kwenye 'tope' na unaanza kujiuliza mmh imehamia tigo kivipi hii?!!! Basi unaendelea 'kuchimba tope' huku unaishia tu kusema 'hewala, Mungu tusamehe' !

Ngoja nimuulize dada angu mpenzi Rebeca 83, hiyo ndo fantasy eeh?

-Kaveli-
 
jibu unalo LOL
 
Back
Top Bottom