Kufanya au kutofanya mapenzi kinyume na maumbile - Maamuzi ni yako mwanamke!

Kufanya au kutofanya mapenzi kinyume na maumbile - Maamuzi ni yako mwanamke!

Tigo inaliwa, na walaji na waliwaji wengi wastaarabu sana machoni na ni wanaharakati wazuri sana ktk jamii kuipiga vita, ila amini nakwambia watumia Tigo ni 7 ktk 10, km hupewi we we jua yuko MTU anafumua Linda ama ana brush...
 
0713 Sku hizi wanawake wameshanogewa, na wanasema ni adictive sana kuna siku nyeg zinakuwa za nyuma tu na ukimfanyia vizuri anakojoa na anardhka kabsaa. Tendo lote la sex kwa ujumla ni uchafu, kunyonyana ndimi ni uchafu, kubusiana ni uchafu, kushikana nyeti ni uchafu, kuzamishiana tupu ni uchafu.....mapenzi bila uchafu hauwezekani, mkiwa faradha fanyeni lolote mnaloona linawafurahisha, achana na maneno ya watu kwenye magazeti na vitabu vya kale, furahia maisha. There is only one life, live it!
 
Kwa hiyo baada ya kubadili hiyo "APPROACH" ndio maradhi hayo yakapungua au kuisha...!!??
Yamepungua, watu wamejitambua na wana elimu ya kujiepusha na kujikinga nayo. Niliwahi kushuhudia mgonjwa wa ukimwi akifukuzwa kijijini baada ya kuhamia kutoka kijiji jirani alikofukuzwa, yule bwana napata picha yake mpaka leo...alivaa tracksuit ya light blue yenye michirizi mitatu pembeni. Siku hizi watu wameelewa somo, wanazungumza kwa uwazi kuhusu UKIMWI na namna ya kujikinga, wanajua madhara na wanajua mtu yeyote yanaweza kumkuta. Kunyanyapaana na kutishana si suliuhisho kamwe.
 
Yamepungua, watu wamejitambua na wana elimu ya kujiepusha na kujikinga nayo. Niliwahi kushuhudia mgonjwa wa ukimwi akifukuzwa kijijini baada ya kuhamia kutoka kijiji jirani alikofukuzwa, yule bwana napata picha yake mpaka leo...alivaa tracksuit ya light blue yenye michirizi mitatu pembeni. Siku hizi watu wameelewa somo, wanazungumza kwa uwazi kuhusu UKIMWI na namna ya kujikinga, wanajua madhara na wanajua mtu yeyote yanaweza kumkuta. Kunyanyapaana na kutishana si suliuhisho kamwe.

Una uhakika kweli maambukizi yamepungua....ukiringanisha wakati ule ambapo elimu juu ya huu ugonjwa ilikuwa duni na sasa....!!!??

Unaweza ukaweka takwimu hapa za maambukizi....za miaka mitano ili tuangalie kama kweli maambukizi yanapungua au ndio yanaongezeka.....!!!
 
Tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni our choice.

Kufanya ngono kusiko a.k.a 0713 ni “MWIKO” katika jamii nyingi ulimwenguni, sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na inamadhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya imani zetu za Dini.

Kinachofanyika chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku…. lakini mambo hayo ni “taboo” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au Ukware/uzinzi!

Kuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua “unajisikiaje” lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.

Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisema vibaya tendo hili wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke mmoja kati ya wanne anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi au ni wao wanafurahia)…… Wazoefu watusaidie hapa.

Ukweli kuhusu Tigo

Sio tendo asilia ktk swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..Wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako.

Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio “natural*” na hujisikii vema kushiriki ngono Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo.

Mara mishipa ya Tigo ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo.

Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).

Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko kutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.

Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda.

MADHARA MAKUU NI:

Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto.

Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.

Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.

Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of col0n’.

Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.

Hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.

Paparazi wetu inakushauri na inapinga kwa nguvu zangu zote swala la Ngono kusiko (tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili na unafanya vile utakavyo.

Ushuri wa bure-Jiheshimu na thamini mwili wako…..usitoe tako lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.

Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.
While kwamba me sijajua takwimu za wanawake au wanaume wanaoliwa Tigo
Ebu nikatumie kaelimu kangu kucheki izi point zako
Cha kwanza umesema kuwa kuliwa Tigo kunasababisha nyuma kutanuka adi mama anaezaa kutoka haja kubwa wakati wa kuzaa ......kwanza elewa wanawake kutoka haja kuwa wakati wa kuzaa ni jambo la kawaida kwasababu ile misuli wanayotumia kupush mtoto ndio io io inayotumika wakati wa haja kubwa .....muulize nesi yeyote au daktari ambae anakaa labour ward akuambie ...hajakubwa wakati wa kuzaa ni kawaida.....na kingine kina chose banish a haja kutoka wakati wa kuzaa ni ile presha anajokuja mayo mtoto wakati anatoka inakandamiza the colon ivo haja kubwa ikiwa iko maeneo Yale lazima itatoka na sio mambo ya Tigo wala mini
Point ya fistula.......fistula ni tobo linalounganisha lining mbili za epithelial .....kama mdada akiliwa Tigo kwa manguvu makubwa ile staili ka kukomoa basi anaweza akasabisha mchubukuko ambao utakuwa infected then kama usipoenda hospital I kutibiwa ile mchubuko utakuwa na kusababisha connection kati ya lining ya kibofu cha mkojo na njia ya haja kubwa ndo mama wamama kwenye fistula wanatoka mikojo bila kujua ...maana kibofu kina njia ilounganisha kibofu na maeneo ya haja kubwa ...ivo mkojo unatokea kwenye haja kubwa ......ndada akiliwa Tigo kwa kistaarabu na kupaka vilainishi vya ky jelly basi haina shida kwa sana ..maana kinachotakiwa kupunguza ni chansi ya kupata mchubuko....ky jelly ndo gris ya maeneo Yale
PS ky jelly haitumiki kwa mashoga peke yao ....inatumika hospital kuwekea mipira ya mikojo......na huwezi kufanyiwa upasuaji mkubwa bila ya kuwa na mpira wa mkojo
Kuhusu cancer ya haja kubwa .....kuliwa Tigo ni moja ya vianzilishi vya kansa io ila sio kama unavyofikiria ...cancer za haja kubwa Mara nyingi zinasababishwa na HPV virus. Away wanapatikana kwa njia zote za kufanya mapenzi ...kikubwa ni kutumia kinga na kuacha kuwa na wapenzi wengi...vingine ni uvutaji wa sigara...kuwa na kinga pungufu ya mwili au VVU.....izi zote ni risk factors......anagalia kuna wazee wamevuta sigara miaka tote ila hawana at a io cancer ...lakini mwingine akivuta miaka 2 ana pata kansa ....inshu ya kansa ni kama ana ana do.....inaweza ikupata na isikupate....msingi ni kujilinda kadri ya uwezo wako.....unaweza ukavaa kondomu ...na ukaambukizwa ukimwi kwenye wembe wa kucha.......
Point ya NNE ya kuhusu UTI......uti unaipata kama huvai kondomu ...unaweza ukagonga mbele na bado ukapata uti......kwaio kuhusu uti inshu ni kuvaa gamba.....
Magonjwa mengi yanaweza kuzuiwa kwa njia mbili muhimu......VAA KONDOMU ATA KAMA UNAMUAMINI BEBI WAKO.......KUWA MPENZI MMOJA UNAEMUAMINI....KAMA HUWEI VAA KONDOMU NYANI WEWE


PS kitabu bado kigumu wajameni na wagonjwa ni wabishi...ila ivo ivo kukomaa
Kwa Mimi kiswahili ni kigumu kidogo...but u get the gist of it all
 
Swada
Katika nyakati hizi ambazo laana na matendo machafu ni miongoni mwa vitu vya kujivunia katika jamii inayojidai kuwa imestaarabika......hayo uliyoyaandika hapo ni mambo mageni kwao kwa kuwa nyoyo zao na miili yao wameamua kuviweka mbali na neema za Mungu na kujikabidhi kwa yule mouvu....ndio maana nyakati hizi kumekuwa na uhaba sana wa baraka za Mungu....kama mvua za kutosha na maradhi yasiyo na tiba.......

Matendo machafu yanayofanywa na viumbe wa nyakati hizi yanaifanya dunia kuwa kama jahanamu kwa wacha Mungu na kuwa paradiso kwa mashetani na watu wao.....

Ulimwenu iliokuwa kwenye mikono ya yule muovu.....unategemea watu watatendaje.....ona sasa ngono inavyo hamasishwa kuliko hata kilimo na mambo mengine ya msingi....siku hizi hata mwanamuziki anapata pesa nyingi sana akiimba ngono na kuipamba ngono.......siku hizi ukitaka uonekane wa maana uwe mchambuzi mzuri wa masuala ya ngono.......siku hizi ili mwanaume uonekane shujaa ni lazima uwe na wanawake wengi na uwezo wa kukaa kifuani kwa mwanamke si chini ya masaa manne......

Lakini yote haya yana mwisho.....ambapo mwisho wake utakuwa wa vilio na kusaga meno......

TIME WILL TELL......
Swadakta
 
Mi niwashauri wanawake, ukiona mwanaume bila kinyaa anakulamba tigo kwa ulimi wake ujue ni mfiraji, na atakufira tuu so kataa kwa nguvu zote kunyonywa tigo maana shetani yupo kazini
 
Tigo inaliwa, na walaji na waliwaji wengi wastaarabu sana machoni na ni wanaharakati wazuri sana ktk jamii kuipiga vita, ila amini nakwambia watumia Tigo ni 7 ktk 10, km hupewi we we jua yuko MTU anafumua Linda ama ana brush...
Kweli mkuu, tigo imekuwa kitu cha kawaida siku hizi
 
Una uhakika kweli maambukizi yamepungua....ukiringanisha wakati ule ambapo elimu juu ya huu ugonjwa ilikuwa duni na sasa....!!!??

Unaweza ukaweka takwimu hapa za maambukizi....za miaka mitano ili tuangalie kama kweli maambukizi yanapungua au ndio yanaongezeka.....!!!
argument yako ni ipi?
 
Back
Top Bottom