Bado ajamaliza kulia. Akimaliza ataeleza ndugu sio wa kushirikiana ktk ishu yoyote ya fedha. Labda kama una Pesa za kufurahisha ndugu zako.
Ndio Maana apa mjini unaweza ukakuta kiwanja kipo sehemu nzuri akijaendelezwa, lakini ukiuliza unakuta ndugu wamepelekana mahakamani kwa sababu wameshindwa kuafikiana