Kufanya biashara na Wabongo yataka moyo; mwanangu amepigwa vibaya bidhaa za mtumba.

Mpe pole..siaminigi balo za dar hata kidogo..labda balo za mtumba zinazotoka kenya unaweza ambulia vya maana
Weeee usinikumbushe....naishi Nairobi mama yangu akanisumbua sana nimtumie bale za Gauni auze zake Moshi meimoria...huyoo na mvua kikombaa nikaunganishwa na rafik kuna shemeji yake anipeleke kumbe ni dalali uwiii....bale tukauziwa moja 30,000/ ambayo ni 600,000/ ya Tanzania tukanunua 2 then tukalipia usafiri 70,000/ hadi Moshi jaman mama siku anafungua alibidi aende kuhara arudi...ni blauz za kuvaa na surual hamna Gauni refu hata moja na visinglend sitasahau ilibidi tufanye mnada tuuze wote siku iyo kwa bei ya hasara 750,000/ wakati tumetumia 1,270,000/ tangu wakati huo nanunua nguo ninayoiona na macho bale la kufugwa sigusi
 
Hiyo mikaptura mpelekeen lemutuz hawez acha hizo mali mzee
 
Kwani Kikombaa wananunua wapi, wao wenyewe sio waagizaji?

Nauliza hivyo kujua kwamba hii tatizo inatokea wapi? Kama importers wana wauzia hao wafanyabiashara wa Kikombaa mazima mazima tu, bila hao re-sellers kujua kwamba belo ina kitu gani ndani? Yaani how does this work mjomba?
 
Kikombaa ni watoto wa mjini kuna wanaowajua wanawapa mazuri Na mpaka yaje ukienda kutafuta biashara unaangukia pua kwa wizi
 
Kuna jamaa kanambia mbeya kuna nguo nzuri za kupoint. Anasema unaweza chukua nguo kwa 5000 ukaja ipiga 20000 dar ila za madada.. Kuna vijana wengi wapo hapo dar wanafungashia mbeya wanaleta dar.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bongo sio poa aisee nimecheka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Karibuni Mjini wanaume wa mkoani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]7
 
Hugo
 
Mimi nataka vitu vya mitumba kutoka Zanzibar kwa mwenye connection pliz
 
Kuna jamaa kanambia mbeya kuna nguo nzuri za kupoint. Anasema unaweza chukua nguo kwa 5000 ukaja ipiga 20000 dar ila za madada.. Kuna vijana wengi wapo hapo dar wanafungashia mbeya wanaleta dar.
ya kweli hayo mkuu?
 
Kuna jamaa kanambia mbeya kuna nguo nzuri za kupoint. Anasema unaweza chukua nguo kwa 5000 ukaja ipiga 20000 dar ila za madada.. Kuna vijana wengi wapo hapo dar wanafungashia mbeya wanaleta dar.
ya kweli haya mkuu?
 
[emoji121]
MI' MWENYEWE NIMEONA HURUMA SANA RAFIKI YANGU,

ILA NIKIYACHEKI MABWANGA, VIATU VYA KUSHOTO NA MAPAJAMA KICHEKO HAKIZUILIKI!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ikawaje sasa, aliwagawia ndugu zake au aliyatupa?
 
Nilienda kuuliza jana short grade number one kwa wahindi wakaniambia 370,000/

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaangalia na aina ya mzigo,ila tatizo inakuja hapo kwa wabongo,ndo tatizo unakuta mzigo umeshalipiwa kutoka kule UK,ila inapofika hapo airport lazima upigwe tena na cyo ela ndogo,alafu ni wasumbufu sana.

Mi siku hizi wala sipati shida nao,huwa naenda tu hapo zenji nanunua mzigo kwa bei chee narudi bongo kwa furaha kama yote vile
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…