Kufanya biashara na Wabongo yataka moyo; mwanangu amepigwa vibaya bidhaa za mtumba.

Mpe pole..siaminigi balo za dar hata kidogo..labda balo za mtumba zinazotoka kenya unaweza ambulia vya maana
Weeee usinikumbushe....naishi Nairobi mama yangu akanisumbua sana nimtumie bale za Gauni auze zake Moshi meimoria...huyoo na mvua kikombaa nikaunganishwa na rafik kuna shemeji yake anipeleke kumbe ni dalali uwiii....bale tukauziwa moja 30,000/ ambayo ni 600,000/ ya Tanzania tukanunua 2 then tukalipia usafiri 70,000/ hadi Moshi jaman mama siku anafungua alibidi aende kuhara arudi...ni blauz za kuvaa na surual hamna Gauni refu hata moja na visinglend sitasahau ilibidi tufanye mnada tuuze wote siku iyo kwa bei ya hasara 750,000/ wakati tumetumia 1,270,000/ tangu wakati huo nanunua nguo ninayoiona na macho bale la kufugwa sigusi
 
[emoji121]
WAKUU,

KUNA ALIYEWAHI KUFANYA BIASHARA YA NGUO ZA MTUMBA HUMU?

YAANI KUNA MWANANGU KATOKA ZAKE SINGIDA KAJA DAR KUNUNUA BELO 3 ZA NGUO ZA MTUMBA.

AMEFUNGUA YA KWANZA INA KAPTURA MABWANGA TU,
NIKAMPA MOYO KUWA LABDA LA PILI LITAKUWA POA,

AMEFUNGUA LA PILI LINA MAPAJAMA YA KULALIA MAKUBWA KAMA TURUBAI,
NIKAONA MWANA MACHO YASHAANZA KULENGA MACHOZI YA KIUME KWA MBALI-
NIKAMWAMBIA AFUNGUE LA TATU.

HILI LA 3 NI LA VIATU TU,
YAANI KARIBIA VYOTE NI VYA KUSHOTO TUPU!!!
KIUKWELI INATIA HURUMA HADI NIKALAZIMIKA KUINGIA CHOONI KWENDA KUCHEKA KWANZA!!!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

-------
SASA WAKUU KWA ANAYEJUA ZINAKOUZWA BELO GENUINE ZA MTUMBA ATUPE MWONGOZO,
MAANA'KE NAMI NILITAKA NIJILIPUE NIPELEKE MZIGO MTWARA NEXT WEEK,
ILA KWA NILICHOKIONA KWA MWANA NI VEMA NIVUTE SUBIRA KIDOGO!!
[emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo mikaptura mpelekeen lemutuz hawez acha hizo mali mzee
 
Kwani Kikombaa wananunua wapi, wao wenyewe sio waagizaji?

Nauliza hivyo kujua kwamba hii tatizo inatokea wapi? Kama importers wana wauzia hao wafanyabiashara wa Kikombaa mazima mazima tu, bila hao re-sellers kujua kwamba belo ina kitu gani ndani? Yaani how does this work mjomba?
 
Kikombaa ni watoto wa mjini kuna wanaowajua wanawapa mazuri Na mpaka yaje ukienda kutafuta biashara unaangukia pua kwa wizi
 
Kuna jamaa kanambia mbeya kuna nguo nzuri za kupoint. Anasema unaweza chukua nguo kwa 5000 ukaja ipiga 20000 dar ila za madada.. Kuna vijana wengi wapo hapo dar wanafungashia mbeya wanaleta dar.
 
[emoji121]
WAKUU,

KUNA ALIYEWAHI KUFANYA BIASHARA YA NGUO ZA MTUMBA HUMU?

YAANI KUNA MWANANGU KATOKA ZAKE SINGIDA KAJA DAR KUNUNUA BELO 3 ZA NGUO ZA MTUMBA.

AMEFUNGUA YA KWANZA INA KAPTURA MABWANGA TU,
NIKAMPA MOYO KUWA LABDA LA PILI LITAKUWA POA,

AMEFUNGUA LA PILI LINA MAPAJAMA YA KULALIA MAKUBWA KAMA TURUBAI,
NIKAONA MWANA MACHO YASHAANZA KULENGA MACHOZI YA KIUME KWA MBALI-
NIKAMWAMBIA AFUNGUE LA TATU.

HILI LA 3 NI LA VIATU TU,
YAANI KARIBIA VYOTE NI VYA KUSHOTO TUPU!!!
KIUKWELI INATIA HURUMA HADI NIKALAZIMIKA KUINGIA CHOONI KWENDA KUCHEKA KWANZA!!!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

-------
SASA WAKUU KWA ANAYEJUA ZINAKOUZWA BELO GENUINE ZA MTUMBA ATUPE MWONGOZO,
MAANA'KE NAMI NILITAKA NIJILIPUE NIPELEKE MZIGO MTWARA NEXT WEEK,
ILA KWA NILICHOKIONA KWA MWANA NI VEMA NIVUTE SUBIRA KIDOGO!!
[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bongo sio poa aisee nimecheka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Karibuni Mjini wanaume wa mkoani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]7
 
Hugo
kwa belo za mtumba dar bila kushikwa mkono na m2 kuna mawili upate mzigo mbovu kupindukia au ununue kwa bei juu sana kiasi faida usione madalali watakupiga bei cha kukusaidia cheki na huyu m2 +255736230008 atakupa ushauri na kukuelekeza aina belo ya kuchukua wapi inapatikana na mengne mengi katika tasnia ya mitumba coz ana uzoefu wa muda mrefu
ata nikisema nkuelekeze duka la belo kali ukienda ww unaambiwa amna ila unashangaa wenzko wanatoka na mizigo pia kuna belo zingne tangu zpo katika meri zishaisha watu wanalipia kabla meri aijatia nanga na kuna belo zingne kutokana na uchache alafu ni kali zinaposhka tu zinalazimika kuuzwa mojamoja au mbili ili kila mtu apate sasa jiulize wakongwe wanapewa moja moja au mbili sasa ww folena utapata sasa hapo ndo linapokuja swala la kushikwa mkono na wajuvi wa mambo

akikuuliza namba umepata wapi mwambie pamjela wa mlimba ifakala kanipa uliemtumia belo za belgium na tropical wiki iliyopita

MUHIMU KUMBUKA MTUMBA KAMA MADINI MGODINI[/QUOT Huyo MTU wako anahusika na mitumba ya nguo tu au na mikoba pia anajua?maana mm nafanya biashara ya mikoba mtumba ,ila naona mabelo mengi yananipa hasara,saiv nataka niagize nje kabsaa,nisaidie MTU au kampuni nayoweza agiza mabelo hata ma 3 ya mikoba ikafika salama
 
Mimi nataka vitu vya mitumba kutoka Zanzibar kwa mwenye connection pliz
 
Kuna jamaa kanambia mbeya kuna nguo nzuri za kupoint. Anasema unaweza chukua nguo kwa 5000 ukaja ipiga 20000 dar ila za madada.. Kuna vijana wengi wapo hapo dar wanafungashia mbeya wanaleta dar.
ya kweli hayo mkuu?
 
ya kweli haya mkuu?
 
[emoji121]
MI' MWENYEWE NIMEONA HURUMA SANA RAFIKI YANGU,

ILA NIKIYACHEKI MABWANGA, VIATU VYA KUSHOTO NA MAPAJAMA KICHEKO HAKIZUILIKI!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ikawaje sasa, aliwagawia ndugu zake au aliyatupa?
 
[emoji121]
WAKUU,

KUNA ALIYEWAHI KUFANYA BIASHARA YA NGUO ZA MTUMBA HUMU?

YAANI KUNA MWANANGU KATOKA ZAKE SINGIDA KAJA DAR KUNUNUA BELO 3 ZA NGUO ZA MTUMBA.

AMEFUNGUA YA KWANZA INA KAPTURA MABWANGA TU,
NIKAMPA MOYO KUWA LABDA LA PILI LITAKUWA POA,

AMEFUNGUA LA PILI LINA MAPAJAMA YA KULALIA MAKUBWA KAMA TURUBAI,
NIKAONA MWANA MACHO YASHAANZA KULENGA MACHOZI YA KIUME KWA MBALI-
NIKAMWAMBIA AFUNGUE LA TATU.

HILI LA 3 NI LA VIATU TU,
YAANI KARIBIA VYOTE NI VYA KUSHOTO TUPU!!!
KIUKWELI INATIA HURUMA HADI NIKALAZIMIKA KUINGIA CHOONI KWENDA KUCHEKA KWANZA!!!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

-------
SASA WAKUU KWA ANAYEJUA ZINAKOUZWA BELO GENUINE ZA MTUMBA ATUPE MWONGOZO,
MAANA'KE NAMI NILITAKA NIJILIPUE NIPELEKE MZIGO MTWARA NEXT WEEK,
ILA KWA NILICHOKIONA KWA MWANA NI VEMA NIVUTE SUBIRA KIDOGO!!
[emoji28][emoji28][emoji28]
Nilienda kuuliza jana short grade number one kwa wahindi wakaniambia 370,000/

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaangalia na aina ya mzigo,ila tatizo inakuja hapo kwa wabongo,ndo tatizo unakuta mzigo umeshalipiwa kutoka kule UK,ila inapofika hapo airport lazima upigwe tena na cyo ela ndogo,alafu ni wasumbufu sana.

Mi siku hizi wala sipati shida nao,huwa naenda tu hapo zenji nanunua mzigo kwa bei chee narudi bongo kwa furaha kama yote vile
mie natakaa kujua ukituma mzigo kilo Tano kupitia DHL kutoka UK ni shilingi ngapi???maana nahisi hao DHL ni wezi sana,wanavaa nguo za watu walizoshindwa kuzikomboa....mie niliambiwa laki tano kwa mzigo huo,wakati hela ya kusafirishia nimeilipa,msaada wanajamii....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom