Haipendezi mwanaume kufira na kufirwa.
Haipendezi jibaba jitu zima linajikunakuna na kushikashika ofisi kuu in public
Haipendezi mwanaume kulia kumshinda mwanamke mnapokuwa kunako 6/6. Utakuta jianaume linalia utadhani ndio linafanywa
Haipendezi mwanaume kufira na kufirwa.
Haipendezi hii thread karibia posts zote kuandikwa na calnde,janja weed,badili tabia na kongosho.
haipendezi mwanaume kumwacha hawara yako amshushie kipondo mkeo...
tena inasikitisha zaidi kuoa mwanamke anadhani kazi ya tendo ni ya mwanaume tu, namwonea sana huruma mwanaume mwenye mwanamke wa namna hiyoHaipendezi mwanaume kutomwanda vizuri mke wake kabla ya kudu
Haipendezi mwanaume kulia kumshinda mwanamke mnapokuwa kunako 6/6. Utakuta jianaume linalia utadhani ndio linafanywa
haipendez mwanaume kurudi usiku wa sa9 na kupiga makelele ufunguliwe
haipendez mwanaume kuvunja ndoa za watu
haipendez mwanaume kuacha 500 au kutoacha kabisa hela ya matumizi wakati unajua mkeo hana kazi
haipendezi mwanaume kususa kutoa unyumba kwa mkeo
haipendezi mwanaume kusifika kwa tabia ya kujaza mimba na kuzikataa
true...:A S-frusty2:Haipendezi mwanaume kutomwanda vizuri mke wake kabla ya kudu
- Haipendezi mwanaume kutokuwa na msimamo, kuyumbishwa na washikaji wake.
- haipendezi mwanaume kutokuwa na plans za maisha kwa familia au kuwa na plan asizoweza kutekeleza yani hana mbele wala nyuma
- haipendezi mwanaume kugombania urithi
- haipendezi mwanaume kuacha mkewe aedeshe nyumba kisera, kiuchumi au kimaadili
umesoma boarding nini?haipendezi mwanaume unaingia chooni alf unakunya/harisha pembeni ya choo alf hauflashi.