Siku moja nilikutana na jamaa kwenye daladala kajichora tatoo ya jina la ex wake karibu mwili mzima. mikononi,shingoni,kifuani, chavuni kote kajaza tatoo kawa kama Lil Wayne . watu tulimshangaa sana lakin yeye hata chembe ya aibu hana yupo comfortable kabisaMkuu na mimi ndio najiuliza, na sipati majibu
hahahaa "..umeshtuka ""!!?Ili umwite zuzu eenh
yaani nitakuwa namcheka bafuni " nikiwa nae najifanya kumpa support yakufa mtu "...Ili umwite zuzu eenh
Kina Frank haoπππHahahaaa. Usijali mdogo wangu japokuwa kuna Mazuzu wengine akili zao wanazijua wenyewe yaani hawachelewi kuzibomoa nyumba pindi mahusiano yakifika tamatiπππ
Hahaaa. KabisaaaKina Frank haoπππ
Na kufanya hivyo wala sio ujanja ni roho mbaya na ujinga tuHahaaa. Kabisaaa
Huyo lazima awe anajuta moyoni. Sasa girlfriend wake wa sasa au mke wake anamchukuliajeSiku moja nilikutana na jamaa kwenye daladala kajichora tatoo ya jina la ex wake karibu mwili mzima. mikononi,shingoni,kifuani, chavuni kote kajaza tatoo kawa kama Lil Wayne . watu tulimshangaa sana lakin yeye hata chembe ya aibu hana yupo comfortable kabisa
Hahahh nijenge maumivu ya baadae mtanisaidia yatibu?.. Bahati mbaya huwa hatujinyongi kanda maalum, nakuja na panga nageuza bucha natia na kiberiti bungallow zima!..
nishamjibu anachosubiri kusoma, wala usifatirie memwambia nini sasa mama!..π
hahaha kama hauwezi kujenga " achia jimbo " Jamaa ...usizibie watu riziki Shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyewe mepanga, tupeane stress sasa hivi kwelii! ππ
tena hayo ndio Uzuzu kiwango cha PHD2 & 3 siyo uzuzu.
Vingine ni uzwazwa