Kufanya Hivi kwa Ajili ya Mwanamke ni Uzuzu

Mkuu na mimi ndio najiuliza, na sipati majibu
Siku moja nilikutana na jamaa kwenye daladala kajichora tatoo ya jina la ex wake karibu mwili mzima. mikononi,shingoni,kifuani, chavuni kote kajaza tatoo kawa kama Lil Wayne . watu tulimshangaa sana lakin yeye hata chembe ya aibu hana yupo comfortable kabisa
 
Huyo lazima awe anajuta moyoni. Sasa girlfriend wake wa sasa au mke wake anamchukuliaje
 
hahaha kama hauwezi kujenga " achia jimbo " Jamaa ...usizibie watu riziki Shunie
Hahahh nijenge maumivu ya baadae mtanisaidia yatibu?.. Bahati mbaya huwa hatujinyongi kanda maalum, nakuja na panga nageuza bucha natia na kiberiti bungallow zima!..
 
Hakuna uzuzu unapofanya kitu kwaajairi ya mpenzi wako bwana
 
Hahahh nijenge maumivu ya baadae mtanisaidia yatibu?.. Bahati mbaya huwa hatujinyongi kanda maalum, nakuja na panga nageuza bucha natia na kiberiti bungallow zima!..
nishamjibu anachosubiri kusoma, wala usifatirie memwambia nini sasa mama!..😀
hahaha kama hauwezi kujenga " achia jimbo " Jamaa ...usizibie watu riziki Shunie
Mwenyewe mepanga, tupeane stress sasa hivi kwelii! 😀😉
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom