Kufanya Hivi kwa Ajili ya Mwanamke ni Uzuzu

Sawa mkuu. Vipi kwa demu?
 
Hivi kuwekana kwenye profile picha ni kulazimishana au hiyari ya kila mmoja?
 
Sawa mkuu. Vipi kwa demu?
Uloyasema siwezi fanya kwa demu. Ispokua ilo la Profile naweza tena inategemea na Bond ilopo.

Sio unaweka dem kwa profile. ,,then anakuchoreshaaaaa, alafu anakupiga chini duuh utakua umeharibu.

Maana madem wengine watajitenga naww wakiona iyo kitu.
 
Mkuu, hizo bond huwa zinavunjika tu, sekunde tu.

Baada ya uhusiano kuvunjika unafanyaje? Ukimpata mwingine unaweka picha yake tena?
 
Mkuu, hizo bond huwa zinavunjika tu, sekunde tu.

Baada ya uhusiano kuvunjika unafanyaje? Ukimpata mwingine unaweka picha yake tena?
Kwenye maisha *Hakikisha huruhusu kitu kikupe wakati mgumu hata ushindwe kua wazi nahuru kwa hofu ya kuogopa utaonekana vipi*.

mimi ikitokea , nikapata mwingine ,nakaa kidogo namuweka ,laifu linaenda, na ningeakua ivoivo mpaka pale ambapo wakuoa angeoleka .
 
Hata kumpenda mwanamke ni Uzuzu kuwa nae kimahusiano ila usimpende
 
Kuna Uzi wa MAKAPUKU, sasa naona ushapatikana Uzi wa MAZUZU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…