Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu. Vipi kwa demu?1-Awe demu au mke iyo namba moja Ataishia kuisikilizia Maredioni na mitandaoni.
3-Kama ni Mke wangu, na uchumi umekaa kisawasawa siwezi mjengea nyumba ila Nitajenga kwao ili tukiwa tunaenda kwao Nilale nilipohusika kujenga...( nahii itategemea Familia ya mwanamke, huwez Oa kwa Mama Samia alafu
4-Kuweka profile Demu/Mke wako ni kitu kizuri ili mradi nayeye anakuweka.
2-Sitegemei mke nitakayeoa ARUDI TENA KUSOMA naoa aliyemaliza kusoma ,unless Asome huku anatokea nyumban naahakikishe anabehave km Mke wamtu(hapa Nitahusika ).nahii ndo inafanya Kigezo cha Elimu kwa mwanamke kwangu hakitakua namaana .
So mtoa mada... Baadhi ya maeneo ulotaja, Nitakua Zuzu !!
Hivi kuwekana kwenye profile picha ni kulazimishana au hiyari ya kila mmoja?1-Awe demu au mke iyo namba moja Ataishia kuisikilizia Maredioni na mitandaoni.
3-Kama ni Mke wangu, na uchumi umekaa kisawasawa siwezi mjengea nyumba ila Nitajenga kwao ili tukiwa tunaenda kwao Nilale nilipohusika kujenga...( nahii itategemea Familia ya mwanamke, huwez Oa kwa Mama Samia alafu
4-Kuweka profile Demu/Mke wako ni kitu kizuri ili mradi nayeye anakuweka.
2-Sitegemei mke nitakayeoa ARUDI TENA KUSOMA naoa aliyemaliza kusoma ,unless Asome huku anatokea nyumban naahakikishe anabehave km Mke wamtu(hapa Nitahusika ).nahii ndo inafanya Kigezo cha Elimu kwa mwanamke kwangu hakitakua namaana .
So mtoa mada... Baadhi ya maeneo ulotaja, Nitakua Zuzu !!
Wakija nishtue mamiiMazuzu mkuje huku
Mm zuzu mzur sana ... Naweza pata nafasiNa mimi ipo siku nitapata zuzu langu
Ni hiyar ya mtu lkn niamin mkiwa mnapendana kuna vitu mnaambukizana auto bila hata kuambiana.Hivi kuwekana kwenye profile picha ni kulazimishana au hiyari ya kila mmoja?
Vp siku akitoa yako na wewe umeweka yake,utamuuliza au nawe utatoa yake?Ni hiyar ya mtu lkn niamin mkiwa mnapendana kuna vitu mnaambukizana auto bila hata kuambiana.
Uloyasema siwezi fanya kwa demu. Ispokua ilo la Profile naweza tena inategemea na Bond ilopo.Sawa mkuu. Vipi kwa demu?
Mkuu, hizo bond huwa zinavunjika tu, sekunde tu.Uloyasema siwezi fanya kwa demu. Ispokua ilo la Profile naweza tena inategemea na Bond ilopo.
Sio unaweka dem kwa profile. ,,then anakuchoreshaaaaa, alafu anakupiga chini duuh utakua umeharibu.
Maana madem wengine watajitenga naww wakiona iyo kitu.
Nilidhani annazungumzia "mke", kumbe anazungunzia "dem".Mazuzu mkuje huku
Noooo siwezi uliza nasitotoa yake sasa hapo siutaonekana unalipa kisasi kitu ambacho ni utoto??Vp siku akitoa yako na wewe umeweka yake,utamuuliza au nawe utatoa yake?
Kwenye maisha *Hakikisha huruhusu kitu kikupe wakati mgumu hata ushindwe kua wazi nahuru kwa hofu ya kuogopa utaonekana vipi*.Mkuu, hizo bond huwa zinavunjika tu, sekunde tu.
Baada ya uhusiano kuvunjika unafanyaje? Ukimpata mwingine unaweka picha yake tena?
Thibitisha hiloMimi ndiye zuzu la mazuzu mrembo hujapotea njia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mazuzu mkuje huku