Kufanya Hivi kwa Ajili ya Mwanamke ni Uzuzu

Acha ujinga mkuu. Hawa viumbe ni watamu. Hata kuweka tu profile pic ni uzuzu. Khaaa! Ila hiyo ya kusomesha gegeduo huo ni uzuzu kweli. Kumjengea nyumba halafu hati ni yangu au kumnunulia gari halafu kadi nabaki nayo ni ujanja sio uzuzu
 
Inategemea, kama kwenu ni masikini, shangazi hana chakula, bibi hana nguo/nyumba, mjomba antembea "uchi", watoto wa ndugu zako hawasomi, baba na mama hawana mahali pazuri pa kukaaa etc etc na mambo kama hayo, ukafanya 2 na 3 ni Uzuzu. Kama pesa ipo, iliyoya kujitosheleza, siyo uzuzu kuwasaidia unaowapenda!
 
Kuachwa na demu na kuamua kuwa kapombe yani kulewa/kuwa mchafu ni uzuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…