Tella Mande
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 494
- 675
yaani. na wewe waunga mkono hoja " means hayo yaliyotajwa ni sehemu ya uzuzu kweli"..= daahh kweli niwakati ambao sisi wanaume tunapaswa kujitazama upya".. Maana waweza kuwa unamuhudumia demu wako " kumbe yeye anakuchora tu " anakuona zwazwa as you said "...2 & 3 siyo uzuzu.
Vingine ni uzwazwa
sahihi " wallahiKumpa pesa Demu wakati utamu mmepata wote pia ni uzuzu😂😂😂
Utapata tu zuzu lako endelea kusubiriNatamani na mm nipate zuzu moja ebu nitafutie huko mmeambiwa kusomesha demu ni moja ya uzuzu na kujichora tatoo
naungana na wewe mkuu [emoji23] [emoji23]Kumpa pesa Demu wakati utamu mmepata wote pia ni uzuzu[emoji23][emoji23][emoji23]
si afadhali aishie kuwasiliana nao tu "... ana kuwekea na ma password kibao " kama upo jelaHahahaha, hapa utagusa wengi. Halafu unakuta anatumia hiyo simu kufanya appointment na midume mingine.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]watajijua wenyewe ata wachore tatoo matakoni
Uzuzu ndio unaanzia hapo, hujashurutishwa, halafu kimbelembele.Mie niseme tu jamaani hakuna cha Uzuzu hapo sababu walio wengi wanafanya kwa mapenzi yao pasi kushurutishwa. [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu Mengi mwenyewe ana ndugu wasio na nyumba sembuse, walalahoi wenzangu.Inategemea, kama kwenu ni masikini, shangazi hana chakula, bibi hana nguo/nyumba, mjomba antembea "uchi", watoto wa ndugu zako hawasomi, baba na mama hawana mahali pazuri pa kukaaa etc etc na mambo kama hayo, ukafanya 2 na 3 ni Uzuzu. Kama pesa ipo, iliyoya kujitosheleza, siyo uzuzu kuwasaidia unaowapenda!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefika zuzu mkuu tanzania
This is an isolated case, katika hali ya kawaida utawasaidia ndugu zako. Ukikosa kufanya hivyo ni kasoro za kibinadamu, tunakuacha. Mengi simjui kwa undani kama kuna ndugu zake wanakufa njaa. Anyway, ndugu is very broad. Kama ana ndugu wa tumbo moja wako capable of working , wanataka kufanya kazi wanakufa na umasikini, basi kuna jambo!Mkuu Mengi mwenyewe ana ndugu wasio na nyumba sembuse, walalahoi wenzangu.
Ukweli unabaki palepale
Hivi wakivurugana,zile tatoo walizojichora inakuaje? Wanafuta au wanakoleza[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji1]Habari wakuu,
Kuna mambo ambayo huwa ninashindwa kuelewa pale binadamu mwenzangu wa kiume anapofanya eti kwa ajili ya Mwanamke, tena wakati mwingine ni mpenzi tu.
Naandika haya nikijua sitafurahisha baadhi ya watu lakini ukweli ni kwamba kufanya yafuatayo kwa ajili ya mapenzi, kwa ajili ya mwanamke ni uzuzu
1. Kuchora tatoo yenye sura au jina la mpenzi ni uzuzu
2. Kumsomesha demu wako ni uzuzu
3. Kumjengea nyumba demu au familia yake ni uzuzu
4. Kuweka profile picture ya demu wako kwenye social media ni uzuzu
Taja uzuzu mwingine wanaofanya baadhi ya Wanaume katika mapenzi
nyie mnaanzaje kugombana" ...""? mimi nataka akusaidie tu " kukujengea nyumba "