Kufanya Hivi kwa Ajili ya Mwanamke ni Uzuzu

Kufanya Hivi kwa Ajili ya Mwanamke ni Uzuzu

2 & 3 siyo uzuzu.
Vingine ni uzwazwa
yaani. na wewe waunga mkono hoja " means hayo yaliyotajwa ni sehemu ya uzuzu kweli"..= daahh kweli niwakati ambao sisi wanaume tunapaswa kujitazama upya".. Maana waweza kuwa unamuhudumia demu wako " kumbe yeye anakuchora tu " anakuona zwazwa as you said "...
 
Hahahaha, hapa utagusa wengi. Halafu unakuta anatumia hiyo simu kufanya appointment na midume mingine.
si afadhali aishie kuwasiliana nao tu "... ana kuwekea na ma password kibao " kama upo jela
 
Mie niseme tu jamaani hakuna cha Uzuzu hapo sababu walio wengi wanafanya kwa mapenzi yao pasi kushurutishwa. [emoji3][emoji3][emoji3]
Uzuzu ndio unaanzia hapo, hujashurutishwa, halafu kimbelembele.

Baadae mtu anasema ooh jamani huyu mwanamke ameniacha na nimemsomesha. Lawama kibao.

Wajisimamie bhana
 
Inategemea, kama kwenu ni masikini, shangazi hana chakula, bibi hana nguo/nyumba, mjomba antembea "uchi", watoto wa ndugu zako hawasomi, baba na mama hawana mahali pazuri pa kukaaa etc etc na mambo kama hayo, ukafanya 2 na 3 ni Uzuzu. Kama pesa ipo, iliyoya kujitosheleza, siyo uzuzu kuwasaidia unaowapenda!
Mkuu Mengi mwenyewe ana ndugu wasio na nyumba sembuse, walalahoi wenzangu.

Ukweli unabaki palepale
 
Mkuu Mengi mwenyewe ana ndugu wasio na nyumba sembuse, walalahoi wenzangu.

Ukweli unabaki palepale
This is an isolated case, katika hali ya kawaida utawasaidia ndugu zako. Ukikosa kufanya hivyo ni kasoro za kibinadamu, tunakuacha. Mengi simjui kwa undani kama kuna ndugu zake wanakufa njaa. Anyway, ndugu is very broad. Kama ana ndugu wa tumbo moja wako capable of working , wanataka kufanya kazi wanakufa na umasikini, basi kuna jambo!
 
Habari wakuu,

Kuna mambo ambayo huwa ninashindwa kuelewa pale binadamu mwenzangu wa kiume anapofanya eti kwa ajili ya Mwanamke, tena wakati mwingine ni mpenzi tu.

Naandika haya nikijua sitafurahisha baadhi ya watu lakini ukweli ni kwamba kufanya yafuatayo kwa ajili ya mapenzi, kwa ajili ya mwanamke ni uzuzu

1. Kuchora tatoo yenye sura au jina la mpenzi ni uzuzu

2. Kumsomesha demu wako ni uzuzu

3. Kumjengea nyumba demu au familia yake ni uzuzu

4. Kuweka profile picture ya demu wako kwenye social media ni uzuzu

Taja uzuzu mwingine wanaofanya baadhi ya Wanaume katika mapenzi
Hivi wakivurugana,zile tatoo walizojichora inakuaje? Wanafuta au wanakoleza[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji1]
 
Hivi wakivurugana,zile tatoo walizojichora inakuaje? Wanafuta au wanakoleza[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji1]
Mkuu na mimi ndio najiuliza, na sipati majibu
 
Back
Top Bottom