Kufanya Hivi kwa Ajili ya Mwanamke ni Uzuzu

Kufanya Hivi kwa Ajili ya Mwanamke ni Uzuzu

Ni kweli lakini mengine hapo, umeonesha hata wewe ni zuzu asee😎
 
1. Unamnunulia demu simu anayotumia kutuma picha zake za utupu kwa jamaa mwingine we ni zuzu.

2.Unamnunulia demu gari ambayo anampa muuza sura atumie kula nae bata. We ni zwazwa.

3. Unamsomesha demu kisha anakuja kukuona sio type yake baada ya kupata cheti chake kisha kuhamishia penzi kwa njemba ingine. We ni soro!

4.Unamjengea demu nyumba yake au ukweni kisha anakusaliti na fara asie na lolote bila hiyana. We ni kiande!

5.Unampa priority demu wako kuliko ndugu zako ili kumuomesha unamjali kisha anakusaliti na jamaa mwengine. We ni Zoba!
 
Hahahaha, hapa utagusa wengi. Halafu unakuta anatumia hiyo simu kufanya appointment na midume mingine.
Hawa hawana huruma kabisa unampa kila kitu cha ajabu unavyomoa ndiyo anaenda spend na mwanaume mwingine..... Sitaki kuwa zuzu labda awe anavigezo vilivyozidi matarajio yangu
 
Hata yale uliyo mfanyia demu wako ni uzuzu tu
 
Unampa mtaji wa biashara, akishatoka anaamua kuspend na kolo mwingine. Huu ni upugi wa kiwango cha lami.
 
1-Awe demu au mke iyo namba moja Ataishia kuisikilizia Maredioni na mitandaoni.

3-Kama ni Mke wangu, na uchumi umekaa kisawasawa siwezi mjengea nyumba ila Nitajenga kwao ili tukiwa tunaenda kwao Nilale nilipohusika kujenga...( nahii itategemea Familia ya mwanamke, huwez Oa kwa Mama Samia alafu

4-Kuweka profile Demu/Mke wako ni kitu kizuri ili mradi nayeye anakuweka.

2-Sitegemei mke nitakayeoa ARUDI TENA KUSOMA naoa aliyemaliza kusoma ,unless Asome huku anatokea nyumban naahakikishe anabehave km Mke wamtu(hapa Nitahusika ).nahii ndo inafanya Kigezo cha Elimu kwa mwanamke kwangu hakitakua namaana .


So mtoa mada... Baadhi ya maeneo ulotaja, Nitakua Zuzu !!
 
Back
Top Bottom