Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi kubomoa ukiamua aibomoe.Atanijengea eenh
nitakujengea nyumba ya maBox usijaliAtanijengea eenh
hapana, nitamwambia aimwagie maji tu yeye mwenyewe.Hadi kubomoa ukiamua aibomoe.
Hawa hawana huruma kabisa unampa kila kitu cha ajabu unavyomoa ndiyo anaenda spend na mwanaume mwingine..... Sitaki kuwa zuzu labda awe anavigezo vilivyozidi matarajio yanguHahahaha, hapa utagusa wengi. Halafu unakuta anatumia hiyo simu kufanya appointment na midume mingine.
2 & 3 ni uzuzu wa hali ya juu kama ulivyo uzuzu mwingine.2 & 3 siyo uzuzu.
Vingine ni uzwazwa
Dah.. Kuna pesa...na Kuna takrima...vitu tofauti..[emoji13] [emoji41]Kumpa pesa Demu wakati utamu mmepata wote pia ni uzuzu[emoji23][emoji23][emoji23]
KumuachaYap? Kumkuna?
Umeshampata ngoja nije pm ila vigezo masharti kuzingatiwaNa mimi ipo siku nitapata zuzu langu