Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Ukuu wa shule ni stress asimwambie mtu, Kuna wakati inakulazimu uweke pesa zako Kisha uendelee kuidai serikali vinginevyo mambo hayaendi.Wanaosimamia maisha ya watu wameidharau Sana.
Wanatarajia watoto watendewe nini Kwa kutekeleza watendaji wake, hasa walimu.
Fikiria Walimu Wakuu wanapata posho. Kwa kazi anazozifanya mwalimu wa kawaida. Ni kama utumwa.
Mratibu Elimu kata anapata posho ya kazi ipi wkat anayeteseka na Kaz ni mwalimu wa kawaida.
Kuna watu huwaambiii kitu Ili waendelee kula.
Nimuombe Rais Mh Mama ufanye kitu
Imagine kosa sio lako afisa elimu, diwani sijui mratibu elimu Kara anakuja kukufokea for no reason ili aonekane anafanya kazi zaidi.Wengi wa watendaji viongozi ni wachumia tumbo na manamba Ili waendelee kula wengine wakiumia
Nimecheka balaa🤣🤣ualim kwel ni wito maana sii kwa kuchanganyikiwa uko,[emoji16] mpka unaamua kucoment mwenyewe kwenye uzi wako hii hatari[emoji3][emoji3]
Sioni kama ni tatizo,wengi umalizia maneno kwenye commentsualim kwel ni wito maana sii kwa kuchanganyikiwa uko,[emoji16] mpka unaamua kucoment mwenyewe kwenye uzi wako hii hatari[emoji3][emoji3]
Acha porojo mkuuUkuu wa shule ni stress asimwambie mtu, Kuna wakati inakulazimu uweke pesa zako Kisha uendelee kuidai serikali vinginevyo mambo hayaendi.
Mkuu wa shule anastahili posho sio Kwa kimavi kile.
Leta fact sio unabisha tuAcha porojo mkuu
Jambo gani linagoma hafu mkuu wa shule anaongezea pesaLeta fact sio unabisha tu
Au basi ngoja tuache hizi madaJambo gani linagoma hafu mkuu wa shule anaongezea pesa