Kufanya kazi ya Ualimu ni hatari sana kwa maisha yako

Kiujumla hakuna kazi iliyo rahisi wala hakuna kazi yenye maslahi ya moja kwa moja.
Hata Urais ni kazi ambayo mwenye nayo hufikia hata kuijutia japo kisheria yupo juu ya wote na anawasaidizi wengi lakini bado haiwi nzuri moja kwa moja kwake sembuse utalii ambao ni wito ambao sio kila mtu amejaliwa.

Ualimu ni huduma katika jamii ambayo huyo anaehudumu anakua amejaliwa Karama ya kufanya huduma hiyo.

Kwangu mimi mwalimu nashindwa kujua nimuweke nafasi ya ngapi kwa umuhimu wake pengine kuliko mtu yoyote baada ya mzazi.
Hapaswi kubezwa wala kulaumiwa au kutukanwa, ingawa ni binadamu anaweza akawa na mapungufu yake ila bado nafasi ya mwalimu ni ya kipekee kuliko hata upekee mwenyewe.

Mwalimu kulingana na Karama aliyojaliwa kuufanya wito na huduma ya ualimu ni mara chache sana anakatishwa tamaa na changamoto kama za kulipwa kidogo na kutokuthaminiwa na jamii yote, na hata kuto kukumbukwa.

Ndio maana waalimu wengi wamefikia uzee mzuri usio na changamoto za afya .
Mungu aendelee kuwa upande wao kwa kila hali na nyakati.
Amiin
 
uweke pesa yako ki vipi mbona hueleweki,kwa utaratibu upi?
Kuna situation zinakukuta shule Haina ela kabisa walimu wote wanakuangalia wewe na wanajua shule ina hela Kuna ishu nyingi mkuu, Kuna muda shule Haina chaki, reams watoto hawalipi michango๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Muanze kusumbuana na wazazi kuwafatilia Kwa kutumia migambo.
Bado shule imefelisha ulaumiwe wewe yaani frustration kama zote *****๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ
 
Au basi ngoja tuache hizi mada
Uache na uongo kuongea vitu usivyovijua.

Kwa kifupi walimu posho yao kila mwenzi ni 200k ya elimu bure na huingizwa 1800 ya kila mwanafunzi shuleni kama shule ina wanafunzi 1000 basi itazidishwa na pesa ya elimu bure ya kila mwanafunzi inakuwa 1,800,000 tsh

Sasa hao wakuu cha kwanza kuliko yote huomba cheki ya laki mbili yake ndo mambo mengine yanafata

Mwalimu atoe pesa yake aongezeee kitu kikipelea shuleni huwajui walimu wewe.
 
Kuna situation zinakukuta shule Haina ela kabisa walimu wote wanakuangalia wewe na wanajua shule ina hela Kuna ishu nyingi mkuu, Kuna muda shule Haina chaki, reams watoto hawalipi michango[emoji23][emoji23]
Muanze kusumbuana na wazazi kuwafatilia Kwa kutumia migambo.
Bado shule imefelisha ulaumiwe wewe yaani frustration kama zote *****[emoji51][emoji51]
wewe ni mjinga hizo pesa za chaki,dasta na mahitaji mengine ya shule kuna pesa inawekwa kila mwenzi serikali
 
Kiujumla hakuna kazi iliyo rahisi wala hakuna kazi yenye maslahi ya moja kwa moja.
Hata Urais ni kazi ambayo mwenye nayo hufikia hata kuijutia japo kisheria yupo juu ya wote na anawasaidizi wengi lakini bado haiwi nzuri moja kwa moja kwake sembuse ualimu ambao ni wito ambao sio kila mtu amejaliwa.

Ualimu ni huduma katika jamii ambayo huyo anaehudumu anakua amejaliwa Karama ya kufanya huduma hiyo.

Kwangu mimi mwalimu nashindwa kujua nimuweke nafasi ya ngapi kwa umuhimu wake pengine kuliko mtu yoyote baada ya mzazi.
Hapaswi kubezwa wala kulaumiwa au kutukanwa, ingawa ni binadamu anaweza akawa na mapungufu yake ila bado nafasi ya mwalimu ni ya kipekee kuliko hata upekee mwenyewe.

Mwalimu kulingana na Karama aliyojaliwa kuufanya wito na huduma ya ualimu ni mara chache sana anakatishwa tamaa na changamoto kama za kulipwa kidogo na kutokuthaminiwa na jamii yote, na hata kuto kukumbukwa.

Ndio maana waalimu wengi wamefikia uzee mzuri usio na changamoto za afya .
Mungu aendelee kuwa upande wao kwa kila hali na nyakati.
Hapo kwa kazi ya uraisi tafuta mfano mwingine
 
Wanaosimamia maisha ya watu wameidharau Sana.

Wanatarajia watoto watendewe nini Kwa kutekeleza watendaji wake, hasa walimu. Fikiria Walimu Wakuu wanapata posho kwa kazi anazozifanya mwalimu wa kawaida. Ni kama utumwa.

Mratibu Elimu kata anapata posho ya kazi ipi wkat anayeteseka na Kaz ni mwalimu wa kawaida. Kuna watu huwaambiii kitu Ili waendelee kula.

Nimuombe Rais Mh Mama ufanye kitu
Hii serikali imejaa ujanja mwingi. Inatoa posho kwa walimu wakuu/wakuu wa shule, na hai maafisa elimu kata; ili wawabane walimu wenzao!

Kiufupi ni kama tu ule utaratibu uliopo jela kati ya mfungwa na kiherehere.
Yaani ni mwendo wa kusagia walimu wenzao kunguni, mwanzo mwisho.
 
Wanaosimamia maisha ya watu wameidharau Sana.

Wanatarajia watoto watendewe nini Kwa kutekeleza watendaji wake, hasa walimu. Fikiria Walimu Wakuu wanapata posho kwa kazi anazozifanya mwalimu wa kawaida. Ni kama utumwa.

Mratibu Elimu kata anapata posho ya kazi ipi wkat anayeteseka na Kaz ni mwalimu wa kawaida. Kuna watu huwaambiii kitu Ili waendelee kula.

Nimuombe Rais Mh Mama ufanye kitu
Lakini si mnagonga vitoto
 
Watu wanahonga ili waupate ualimu.Tatizo mnakopa sana lazima muione kazi mbaya.Hakuna mwenye ubavu wa kuacha ualimu kwa sasa.Ukiona hivo kakopa mno haoni utamu wa kazi.
 
wewe ni mjinga hizo pesa za chaki,dasta na mahitaji mengine ya shule kuna pesa inawekwa kila mwenzi serikali
Samahani, lakini mbona naona kama wewe ndo mjinga na unayekurupuka. Anachojaribu kusema mwenzio ni kuwa kuna mazingira na nyakati fulani ngumu hutokea kwa upande wa kifedha lakini shughuli za shule inabidi tu ziende......wa kuziendesha ni mkuu wa shule, no matter what.
1. Fedha ya elimu bure unayoisema haiji kwa wakati muda wote km ulivyokaririshwa. Wakati hili linatokea, shule lazima iende.
2. Kuna kutopitishwa malipo kwa wakati, shule lazima iende
3. Kuna mambo ya ghafla....kupokea ugeni, uharibifu n.k
4. Shule za msingi, kwa mfano, nyingi hupokea elimu bure ya 200k au chini ya hapo......hebu fikiria

Hapo ndipo mkuu wa shule anapojikuta analazimika kuweka pesa zake wakati mwingine
 
Huna akili....unapenda kudandia mambo mwalimu mkuu hela ya kuweka shuleni ili mambo yaende anatoa wapi???na ni mambo gani na kwa taarifa yako pesa ya elimu bure huchelewa wakati wa mwaka mpya wa bajeti tu so sijui utanmbia nini hapa kwa kifupi walimu wakuu hakuna pesa yao wanatoa kuweka shule ili mambo yaende acheni upotoshaji..
 
Back
Top Bottom