Kufanya kazi ya Ualimu ni hatari sana kwa maisha yako

Amiin
 
uweke pesa yako ki vipi mbona hueleweki,kwa utaratibu upi?
Kuna situation zinakukuta shule Haina ela kabisa walimu wote wanakuangalia wewe na wanajua shule ina hela Kuna ishu nyingi mkuu, Kuna muda shule Haina chaki, reams watoto hawalipi michangoπŸ˜‚πŸ˜‚
Muanze kusumbuana na wazazi kuwafatilia Kwa kutumia migambo.
Bado shule imefelisha ulaumiwe wewe yaani frustration kama zote *****😬😬
 
Au basi ngoja tuache hizi mada
Uache na uongo kuongea vitu usivyovijua.

Kwa kifupi walimu posho yao kila mwenzi ni 200k ya elimu bure na huingizwa 1800 ya kila mwanafunzi shuleni kama shule ina wanafunzi 1000 basi itazidishwa na pesa ya elimu bure ya kila mwanafunzi inakuwa 1,800,000 tsh

Sasa hao wakuu cha kwanza kuliko yote huomba cheki ya laki mbili yake ndo mambo mengine yanafata

Mwalimu atoe pesa yake aongezeee kitu kikipelea shuleni huwajui walimu wewe.
 
wewe ni mjinga hizo pesa za chaki,dasta na mahitaji mengine ya shule kuna pesa inawekwa kila mwenzi serikali
 
Hapo kwa kazi ya uraisi tafuta mfano mwingine
 


Aione:mpwayungu village





Neno Moja Fupi Kuhusu Walimu Wetu, Walipwe Vizuri Ama Njaa Tupu
 
Hii serikali imejaa ujanja mwingi. Inatoa posho kwa walimu wakuu/wakuu wa shule, na hai maafisa elimu kata; ili wawabane walimu wenzao!

Kiufupi ni kama tu ule utaratibu uliopo jela kati ya mfungwa na kiherehere.
Yaani ni mwendo wa kusagia walimu wenzao kunguni, mwanzo mwisho.
 
Lakini si mnagonga vitoto
 
Watu wanahonga ili waupate ualimu.Tatizo mnakopa sana lazima muione kazi mbaya.Hakuna mwenye ubavu wa kuacha ualimu kwa sasa.Ukiona hivo kakopa mno haoni utamu wa kazi.
 
wewe ni mjinga hizo pesa za chaki,dasta na mahitaji mengine ya shule kuna pesa inawekwa kila mwenzi serikali
Samahani, lakini mbona naona kama wewe ndo mjinga na unayekurupuka. Anachojaribu kusema mwenzio ni kuwa kuna mazingira na nyakati fulani ngumu hutokea kwa upande wa kifedha lakini shughuli za shule inabidi tu ziende......wa kuziendesha ni mkuu wa shule, no matter what.
1. Fedha ya elimu bure unayoisema haiji kwa wakati muda wote km ulivyokaririshwa. Wakati hili linatokea, shule lazima iende.
2. Kuna kutopitishwa malipo kwa wakati, shule lazima iende
3. Kuna mambo ya ghafla....kupokea ugeni, uharibifu n.k
4. Shule za msingi, kwa mfano, nyingi hupokea elimu bure ya 200k au chini ya hapo......hebu fikiria

Hapo ndipo mkuu wa shule anapojikuta analazimika kuweka pesa zake wakati mwingine
 
Huna akili....unapenda kudandia mambo mwalimu mkuu hela ya kuweka shuleni ili mambo yaende anatoa wapi???na ni mambo gani na kwa taarifa yako pesa ya elimu bure huchelewa wakati wa mwaka mpya wa bajeti tu so sijui utanmbia nini hapa kwa kifupi walimu wakuu hakuna pesa yao wanatoa kuweka shule ili mambo yaende acheni upotoshaji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…