Kufanya kazi ya Ualimu ni hatari sana kwa maisha yako

Wote kata na wilaya
Afisa Elimu kata mshahara wake ni kawaida Kama walimu wengine, ila ana posho ya madaraka kila mwezi, 250K Tsh.

Afisa Elimu Wilaya ni mkuu wa idara, analipwa LSSE ambayo ni ngazi ya mshahara wa viongozi, basic ni Kama Tsh 3,000,000 kabla ya Makato.
 
Ualim kwel ni wito maana sii kwa kuchanganyikiwa uko,[emoji16] mpka unaamua kucoment mwenyewe kwenye uzi wako hii hatari[emoji3][emoji3]
😀😀😀Daah
 
Afisa Elimu kata mshahara wake ni kawaida Kama walimu wengine, ila ana posho ya madaraka kila mwezi, 250K Tsh.

Afisa Elimu Wilaya ni mkuu wa idara, analipwa LSSE ambayo ni ngazi ya mshahara wa viongozi, basic ni Kama Tsh 3,000,000 kabla ya Makato
Duh ualimu unalipa ukikomaa unakuwa afisa elimu, kwahiyo ukichanganya na posho mtu analamba m4 kwa mwezi
 
Afisa Elimu kata mshahara wake ni kawaida Kama walimu wengine, ila ana posho ya madaraka kila mwezi, 250K Tsh.

Afisa Elimu Wilaya ni mkuu wa idara, analipwa LSSE ambayo ni ngazi ya mshahara wa viongozi, basic ni Kama Tsh 3,000,000 kabla ya Makato.
Afisa elimu anakula 3,400,000

Posho 900,000

Madaraka (elimu) 300,000
 
Walimu mna gubu sana tumewachoka..
Mshukuru hata kwa kidogo..
Mnalalama wakati sisi wagambo wa almashauri na vimishaara vyetu huku tusemaje..
 
Jesus
 
Unazingua,nilishakuacha😂
Ndio maana kumbe siku mbili tatu hizi kuna ndoto zilikuwa zinajirudia kuhusu mrembo mmoja kila nikijaribu kuwa nae karibu ananikwepa kiaina hivi,dah kumbe ndio nilikuwa napewa ujumbe hivyo aisee!
 
Ninyi walimu ndio tatizo kwani mmetengeneza wasomi wasiothamini elimu,wezi,wabinafsi,watu wanaojigamba kwa vyeti tu lakini uwezo wao wa kazi mdogo sana.

Hamna sababu ya kulaumu mtu yeyote

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana kumbe siku mbili tatu hizi kuna ndoto zilikuwa zinajirudia kuhusu mrembo mmoja kila nikijaribu kuwa nae karibu ananikwepa kiaina hivi,dah kumbe ndio nilikuwa napewa ujumbe hivyo aisee!
Ee🙅
 
Kila sku mpwayungu village anaipambania hii Kada Ila watu wanamdisi , kiukweli ualimu mi kujitakia umaskini wa kutupwa , wachache Sana wanaomake , labda upangiwe mjini na kichwa kiwe kinazunguka hasa , vinginevyo ni kusubiri tuu pension katika umri wa kufunga mahesabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…