Kufanya kila kitu kwa wakati ni kuwahi kufa

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Umesoma kwa wakati, umeoa/umeolewa kwa wakati, umepata watoto kwa wakati, umekuwa na kipato kwa wakati, umesomesha kwa wakati na kila kitu kimekaa sawa kwa wakati. Maana yake hata kufa utakufa kwa wakati/mapema baada ya kukamilisha mambo yako.
 
Hii kitu ni kweli
MUNGU anaharakisha mambo yako ili ufanye yote kwa wakati ufe
Lakini akikucheleweshea anakupa wakati wa kuishi miaka mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…