Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Fatal mistakedeath mistakes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fatal mistakedeath mistakes
Lissu siyo mzoefu wa siasa za Tanzania 🇹🇿 ni much know tuuuu Kisiasa ni mweupeTatizo la Chadema ni kuwa kigeugeu.
Hapo wanawaambiaje wananchi na wafuasi wao?
Jana Lissu katoa tamko la kutoitambua Bunge ndani ya Masaa 24 mwenekiti wa Bawqcha anaapa Bungeni.
Watu wakiwakimbia wanapiga kelele
Hahahahaaa, eti bongo nyosso mkuu umenichekesha sanaVipi ICC m mnaenda tena, kweli bongo nyosso[emoji28]
Hao walidhani wahuni tuna survive kitaa bila ajira serikalini simple tu, spana za miezi michache tu wamegeuka snakesKama cdm wameungana na silinde na waitara huko ccm, ICC imeishia matopeni
Cdm imekuwa ccm B = Cuf + Tlp + nccr
Wote sasa wamekuwa ccm ..... maana yake Icc ni ccm Vs ccm, hili haliwezekani kabisaa.
Hivi Bado uja pata uteuzi tu .ukitulizee
Usimung'unye maneno, kwa namna yoyote ile CHADEMA kama kweli imepeleka wabunge ni wasaka tonge watupu.Pascal, hili la viti maalum ilikuwa leverage kwa chadema, ndo maana CCM wakawa wanahaha kila saa hadi kuja na ngonjera kuwa kuna mfumo dume.
CHADEMA kuwa ndani ya bunge sasahivi wanaeffect ndogo kuliko ambavyo wangeendelea kutokuwepo.
For survival ni heri CHADEMA wasiwepo ndani ya bunge ila wakabaki na leverage waliokuwa nayo. Through leverage many things can be accomplished, cause mtu ukiwa na leverage juu ya mtu, hiyo ni silaha.
Hakuna chama kitakuja kukishinda CCM as long as polisi wako upande wao.Chadema ikufaga 2015, sioni kama kuna Chadema tena,, tamaa iliwaponza 2015 kwa kutoheshimu waliojenga chama na kualika watu wa CCM.
Na liwe funzo, kukubali kila mara kukumbatia watu wanaotoka vyama vingine.
Upinzani mpya utainuka tu, siku akina Mbowe watakapoachia madaraka na kuwaachia vijana wenye mawazo mapya.
Angalau Tundu Lissu na Mnyika wana anauwezo kupeleka chama hatua nyingine.
Ila wajifunze kwenye makosa.
Pia wajifunze kusolve issue zao za ndani kabla hazijaenda public. Sikuona sababu ya Bawacha kwenda faster bungeni kabla hawajakaa vikao vya ndani kwamba itakuwaje! Huko ni kuua chama.
Kwa ujumla sioni chadema tena.
Bora vyama vyote vya upinzani vife, kizaliwe chama kimoja chenye nguvu!