King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
Kwahiyo wewe kwa akili yako unafikiri mpaka kina Halima Mdee na wenzie wanaingia bungeni watu hawajui nini kimefanyika ? Jiwe , Ndugai , maccm hawaishi mbinguni wanaishi duniani yote yako wazi kina Kigogo walishayasema toka zaidi ya wiki tatu zilicopita.Dah"njaa haina baunsa"
Naunga mkono hoja Njaa imehamia kichwani by Profesa Lipumba akimpasha Polepole!"PASCAL MAYALA...KWETU MAANA YAKE NI NJAA".
JOHN POMBE MAGUFULI.
Lissu kapigwa chenga ya mwili. Miaka hii mitano akajifunze siasaVipi ICC m mnaenda tena, kweli bongo nyosso[emoji28]
CHADEMA wanatamani kusema na hao wakina halima wamenunuliwa ila wanaona aibuLissu kapigwa chenga ya mwili. Miaka hii mitano akajifunze siasa
Leo umenywea sana kama kaukau....uko chamani huna sauti nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Mkuu leo ndio rasmi cdm imegeuka kuwa NCCR, tutabaki wapinzani wa kweli bila kutegemea chama chochote cha siasa.
[emoji1787][emoji1787]Mkuu....
Kwani haujasikia kwamba, kuna watu wamekikeketa chama bila ganzi...[emoji1787][emoji23][emoji12]
Ndiyo hawa walitaka na kuandamana [emoji1787]Siasa mimi hapana kwakweli, unajitoa kimbembele hata kutoa maisha yako kwa ajili ya watu kama hawa? Mmh!! Baba angu Rais Magufuli umetufunulia magugu, hatuna vyama vya siasa
[emoji1787][emoji1787][emoji23]Chadema wanirudishie kura yangu niliyowapigia.
Leo umenywea sana kama kaukau....uko chamani huna sauti nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Matamko ya mitandaoni leo kwisha#
Wewe ndio mwanasiasa wa hovyo ndiyo maana bwana yule alikuanika wazi kwa Njaa yako ndio maana amekubania kukupa shavu wewe ni NuksiKuna wanasiasa wako kwenye siasa, na wametafuta uongozi wa siasa kwa kusaka madaraka tuu, uongozi as a means of livelihoods, lakini kiukweli siasa hawaziwezi, hawazijui wala hawajui uongozi wa umma sio utumishi wa chama ni utumishi wa watu.
Nani ateuwe kiaziHivi Bado uja pata uteuzi tu .ukitulizee