Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua

Wanabodi,

Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, maana nimenote baadhi ya viongozi, wanachama, wafuasi wamepigwa na butwaa kwa uamuzi wa wanawake mashoka wa Chadema, kukataa ujinga and did the right thing.

Kitendo cha Chadema kususa kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum, ni kufanya kosa, ila kufanya kosa sii kosa, kosa ni kurudia kosa, hili kosa la Chadema is a death mistakes hivyo Chadema is almost dead, due to that death mistakes!, uamuzi wa kina Halima Mdes ndio the only hope for survival ya Chadema, wakiwatimua, huku kutakuwa ni kurudia kosa, it's do or die kwa Chadema, warudie kosa wafe, au wakubali matokeo, waendelee kuishi, the choice is yours!.

Kuna wanasiasa wako kwenye siasa, na wametafuta uongozi wa siasa kwa kusaka madaraka tuu, uongozi as a means of livelihoods, lakini kiukweli siasa hawaziwezi, hawazijui wala hawajui uongozi wa umma sio utumishi wa chama ni utumishi wa watu.

Kwenye bandiko hili, nilieleza kuwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya Tanzania, vyama vya siasa sio mali ya viongozi, sio mali ya wanachama, ni mali ya umma, hivyo maamuzi yoyote ya chama lazima yatangulize mbele maslahi ya umma.

Vyama vya siasa kama vilivyo vyama vya wafanyakazi, vina uhuru wa kugoma, kufanya maandamano na hata kususia jambo lolote, ili mradi kugomea huko au kususa huku, kwa kususa huko kuna something tangible they will achieve. Kususa tuu ili mradi kususa bila ku achieve anything nilikuita ni ujinga.

Leo, nimefarijika sana kusoma haya

Naunga mkono hoja, Hongera sana Mhe. Halima Mdee kwa kukataa ujinga na badala yake kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii, KM wa Chadema, JJ.MNYIKA amesema chama kama chama hakija poleka majina.

Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, najua mtaitisha kikao cha Kamati Kuu ya dharura kulijadili hili, nawashauri, msipoteze muda wala msithubutu kuwatimua as waasi, kwasababu hapo ilipo tuu Chadema is almost dead!, ikiwatimua ndio mwisho wa Chadema!. Kwa vile hawa ni the minority, hata mkiwafuta uanachama, Spika atawalinda as the minority ila pia Watanzania wote wenye akili timamu, hawatawaelewa!, this will be a very sad ending for what was used to be Chadema.

Hapo ilipo tayari Chadema is severely and deeply wounded, uchaguzi huu umewaacha with very big injuries, kitendo walichokifanya wanawake hawa wa Shoka kwa kuongozwa na Halima Mdee, its like adding an insult to an injury, Chadema ikiwatimua, nayo will die instantly, waliotimuliwa ndio watasikika, waliowatimua wenzao, ndio wataishia 6ft under!.

Kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Kususa kupeleka majina ni kosa, mimi niliuita ni ujinga!. Kina Halima Mdee wameukataa ujinga huu, kuwatimua ni kurudia kosa!.
Chadema msifanye death mistakes!.

Paskali
I Will never trust tour P. Mayala ukabila umekupofusha macho na akili zako siku hizi. Utapewa ukuu wa wilaya ongeza bidii.
 
Executive decision nikuwafukuza wote na yule wa mpanda.

Matumaini, imani na subra za wanachama na watanzania zitadumu. Kinyume chake hakuna ataekuja wakuwaamini cdm na ijiandae kuwa NCCR mageuzi

Heshima na Nidham katika jambo lolote nikuamini, kusimamia nakuishi kile mnachokihubiri. Kinyume chake ni kuanguka.
Well said mkuu. Natamani kuona ukiandika uzi kuhusu hili
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, maana nimenote baadhi ya viongozi, wanachama, wafuasi wamepigwa na butwaa kwa uamuzi wa wanawake mashoka wa Chadema, kukataa ujinga and did the right thing.

Kitendo cha Chadema kususa kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum, ni kufanya kosa, ila kufanya kosa sii kosa, kosa ni kurudia kosa, hili kosa la Chadema is a death mistakes hivyo Chadema is almost dead, due to that death mistakes!, uamuzi wa kina Halima Mdes ndio the only hope for survival ya Chadema, wakiwatimua, huku kutakuwa ni kurudia kosa, it's do or die kwa Chadema, warudie kosa wafe, au wakubali matokeo, waendelee kuishi, the choice is yours!.

Kuna wanasiasa wako kwenye siasa, na wametafuta uongozi wa siasa kwa kusaka madaraka tuu, uongozi as a means of livelihoods, lakini kiukweli siasa hawaziwezi, hawazijui wala hawajui uongozi wa umma sio utumishi wa chama ni utumishi wa watu.

Kwenye bandiko hili, nilieleza kuwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya Tanzania, vyama vya siasa sio mali ya viongozi, sio mali ya wanachama, ni mali ya umma, hivyo maamuzi yoyote ya chama lazima yatangulize mbele maslahi ya umma.

Vyama vya siasa kama vilivyo vyama vya wafanyakazi, vina uhuru wa kugoma, kufanya maandamano na hata kususia jambo lolote, ili mradi kugomea huko au kususa huku, kwa kususa huko kuna something tangible they will achieve. Kususa tuu ili mradi kususa bila ku achieve anything nilikuita ni ujinga.

Leo, nimefarijika sana kusoma haya

Naunga mkono hoja, Hongera sana Mhe. Halima Mdee kwa kukataa ujinga na badala yake kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii, KM wa Chadema, JJ.MNYIKA amesema chama kama chama hakija poleka majina.

Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, najua mtaitisha kikao cha Kamati Kuu ya dharura kulijadili hili, nawashauri, msipoteze muda wala msithubutu kuwatimua as waasi, kwasababu hapo ilipo tuu Chadema is almost dead!, ikiwatimua ndio mwisho wa Chadema!. Kwa vile hawa ni the minority, hata mkiwafuta uanachama, Spika atawalinda as the minority ila pia Watanzania wote wenye akili timamu, hawatawaelewa!, this will be a very sad ending for what was used to be Chadema.

Hapo ilipo tayari Chadema is severely and deeply wounded, uchaguzi huu umewaacha with very big injuries, kitendo walichokifanya wanawake hawa wa Shoka kwa kuongozwa na Halima Mdee, its like adding an insult to an injury, Chadema ikiwatimua, nayo will die instantly, waliotimuliwa ndio watasikika, waliowatimua wenzao, ndio wataishia 6ft under!.

Kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Kususa kupeleka majina ni kosa, mimi niliuita ni ujinga!. Kina Halima Mdee wameukataa ujinga huu, kuwatimua ni kurudia kosa!.
Chadema msifanye death mistakes!.

Paskali
Wewe, Nagufuli na wananzengo wengine mmepagawa na kujivua nguo. CHADEMA tutunawashukuru kwa kutupIaisha kila mnapotufanyia vioja.
Makosa mnayofanya hamjifunzi tu.
 
Wewe ndio umetoa hoja ya kisomi mkuu. Nimekuelewa sana
Hakuna usoni hapo, wangetukusanya katika chaka moja na kupiga chaka moto tunaungua wote.

Decision ya Mbowe ni sawa tuu. Nashukuru anafanya consultation before he arrives at a decision.

Wapo phase IV wanatulia timing tuu. Tungeacha wangefungua scripts zingine.
 
Ninafikiri siasa ni mahesabu. Ukikosea unapotea kwenye ulingo wa siasa.CHADEMA watch out! Safari hii by all standards you may perish miserably in the history of mult party politics. Pelekeni viti maalum msionekane waasi wa katiba na utawala bora kwenye macho ya wananchi.
... bat bi awea dhati, it kuldi bi dhe adhawei raundi, na badala yake huenda kwahili la kuwatimua wasaliti kina Mdee na wenzake ndio ikawa drastiko prospa na mafanikio makubwa kwa CHADEMA!!!
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, maana nimenote baadhi ya viongozi, wanachama, wafuasi wamepigwa na butwaa kwa uamuzi wa wanawake mashoka wa Chadema, kukataa ujinga and did the right thing.

Kitendo cha Chadema kususa kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum, ni kufanya kosa, ila kufanya kosa sii kosa, kosa ni kurudia kosa, hili kosa la Chadema is a death mistakes hivyo Chadema is almost dead, due to that death mistakes!, uamuzi wa kina Halima Mdes ndio the only hope for survival ya Chadema, wakiwatimua, huku kutakuwa ni kurudia kosa, it's do or die kwa Chadema, warudie kosa wafe, au wakubali matokeo, waendelee kuishi, the choice is yours!.

Kuna wanasiasa wako kwenye siasa, na wametafuta uongozi wa siasa kwa kusaka madaraka tuu, uongozi as a means of livelihoods, lakini kiukweli siasa hawaziwezi, hawazijui wala hawajui uongozi wa umma sio utumishi wa chama ni utumishi wa watu.

Kwenye bandiko hili, nilieleza kuwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya Tanzania, vyama vya siasa sio mali ya viongozi, sio mali ya wanachama, ni mali ya umma, hivyo maamuzi yoyote ya chama lazima yatangulize mbele maslahi ya umma.

Vyama vya siasa kama vilivyo vyama vya wafanyakazi, vina uhuru wa kugoma, kufanya maandamano na hata kususia jambo lolote, ili mradi kugomea huko au kususa huku, kwa kususa huko kuna something tangible they will achieve. Kususa tuu ili mradi kususa bila ku achieve anything nilikuita ni ujinga.

Leo, nimefarijika sana kusoma haya

Naunga mkono hoja, Hongera sana Mhe. Halima Mdee kwa kukataa ujinga na badala yake kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii, KM wa Chadema, JJ.MNYIKA amesema chama kama chama hakija poleka majina.

Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, najua mtaitisha kikao cha Kamati Kuu ya dharura kulijadili hili, nawashauri, msipoteze muda wala msithubutu kuwatimua as waasi, kwasababu hapo ilipo tuu Chadema is almost dead!, ikiwatimua ndio mwisho wa Chadema!. Kwa vile hawa ni the minority, hata mkiwafuta uanachama, Spika atawalinda as the minority ila pia Watanzania wote wenye akili timamu, hawatawaelewa!, this will be a very sad ending for what was used to be Chadema.

Hapo ilipo tayari Chadema is severely and deeply wounded, uchaguzi huu umewaacha with very big injuries, kitendo walichokifanya wanawake hawa wa Shoka kwa kuongozwa na Halima Mdee, its like adding an insult to an injury, Chadema ikiwatimua, nayo will die instantly, waliotimuliwa ndio watasikika, waliowatimua wenzao, ndio wataishia 6ft under!.

Kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Kususa kupeleka majina ni kosa, mimi niliuita ni ujinga!. Kina Halima Mdee wameukataa ujinga huu, kuwatimua ni kurudia kosa!.
Chadema msifanye death mistakes!.

Paskali
... bat bi awea dhati, it kuldi bi dhe adhawei raund, na badala yake huenda kwahili la kuwatimua wasaliti kina Mdee na wenzake ndio ikawa drastik prospariti na mafanikio makubwa kwa CHADEMA!!!

Hesabu ni somo zuri sana, linatumika kila sehemu ikiwemo hata kupata njia ya kumshinda au kumuadhirisha adui yako,

Karata hii ya sakata la CDM na ubunge wa viti maalum itabaki katika vitabu vya historia kwa vizazi na vizazi kwa sababu ni pigo moja takatifu kwa CCM ... this will justify almost every aspect ya hila za CCM kwa Jumuiya ya Kimataifa

Na hatimae kufanikisha kufikia lengo la matakwa yetu mbele ya jumuiya hiyo kwa sababu jumuiya itajiamini katika maamuzi yake kwa sababu kutakua na mashiko yaliyo wazi dhahiri shahiri

Upo hapo Ngosha???
 
sisi tukiwa KANISANI; ikitokea Mchungaji anaanza kutembea na waumini (KULA KONDOO)...HILO DHEHEBU LAZIMA LIYUMBE SANA NA IKIWEZEKANA KUFA KABISA KAMA HATATOKEA MUAMINIFU KULIRUDISHA KANISA KATIKA MISINGI YA YAWE!!.

KWENYE SIASA SIJAJUA NINI KINASIBU, ILA NANUSA HALUFU YA NGONO..UZINZI. Ukizini na mtu heshima hushuka...hata uwe mkali kama simba HATAKUHESHIMU KAMWE, atafanya atakavyo.

Uchunguzi unaendelea bado!!
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, maana nimenote baadhi ya viongozi, wanachama, wafuasi wamepigwa na butwaa kwa uamuzi wa wanawake mashoka wa Chadema, kukataa ujinga and did the right thing.

Kitendo cha Chadema kususa kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum, ni kufanya kosa, ila kufanya kosa sii kosa, kosa ni kurudia kosa, hili kosa la Chadema is a death mistakes hivyo Chadema is almost dead, due to that death mistakes!, uamuzi wa kina Halima Mdes ndio the only hope for survival ya Chadema, wakiwatimua, huku kutakuwa ni kurudia kosa, it's do or die kwa Chadema, warudie kosa wafe, au wakubali matokeo, waendelee kuishi, the choice is yours!.

Kuna wanasiasa wako kwenye siasa, na wametafuta uongozi wa siasa kwa kusaka madaraka tuu, uongozi as a means of livelihoods, lakini kiukweli siasa hawaziwezi, hawazijui wala hawajui uongozi wa umma sio utumishi wa chama ni utumishi wa watu.

Kwenye bandiko hili, nilieleza kuwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya Tanzania, vyama vya siasa sio mali ya viongozi, sio mali ya wanachama, ni mali ya umma, hivyo maamuzi yoyote ya chama lazima yatangulize mbele maslahi ya umma.

Vyama vya siasa kama vilivyo vyama vya wafanyakazi, vina uhuru wa kugoma, kufanya maandamano na hata kususia jambo lolote, ili mradi kugomea huko au kususa huku, kwa kususa huko kuna something tangible they will achieve. Kususa tuu ili mradi kususa bila ku achieve anything nilikuita ni ujinga.

Leo, nimefarijika sana kusoma haya

Naunga mkono hoja, Hongera sana Mhe. Halima Mdee kwa kukataa ujinga na badala yake kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii, KM wa Chadema, JJ.MNYIKA amesema chama kama chama hakija poleka majina.

Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, najua mtaitisha kikao cha Kamati Kuu ya dharura kulijadili hili, nawashauri, msipoteze muda wala msithubutu kuwatimua as waasi, kwasababu hapo ilipo tuu Chadema is almost dead!, ikiwatimua ndio mwisho wa Chadema!. Kwa vile hawa ni the minority, hata mkiwafuta uanachama, Spika atawalinda as the minority ila pia Watanzania wote wenye akili timamu, hawatawaelewa!, this will be a very sad ending for what was used to be Chadema.

Hapo ilipo tayari Chadema is severely and deeply wounded, uchaguzi huu umewaacha with very big injuries, kitendo walichokifanya wanawake hawa wa Shoka kwa kuongozwa na Halima Mdee, its like adding an insult to an injury, Chadema ikiwatimua, nayo will die instantly, waliotimuliwa ndio watasikika, waliowatimua wenzao, ndio wataishia 6ft under!.

Kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Kususa kupeleka majina ni kosa, mimi niliuita ni ujinga!. Kina Halima Mdee wameukataa ujinga huu, kuwatimua ni kurudia kosa!.
Chadema msifanye death mistakes!.

Paskali
bwashee umeongea point sana ,ushauri wenye ubora
 
We mwanaisiem itaishauri chadema kweli? Hivi umeshawahi kujiulizq kwamba wote tukiwa ssiemu Mana yake hata Ile nafasi unayotazamia ya uteuzi itakuwa na competition Kali na unaweza kuikosa. Afadhari ungeomba chadema iwepo ili probability ya wewe kuteuliwa iwe kubwa otherwise tukiingia wote huko huna Chalo Mana jpm anapendwa wapinzani hapendi ndiyo ndiyo zenu hata Kama kakosea. Lakini ulabila unaweza kukubeba
 
Unakumbuka pia uliwai kutuambia kua cdm kumfukuza lwakatare wa bukoba cdm itatetereka? Atamwaga mboga, mbona kimya mboga haijamwagika..
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, maana nimenote baadhi ya viongozi, wanachama, wafuasi wamepigwa na butwaa kwa uamuzi wa wanawake mashoka wa Chadema, kukataa ujinga and did the right thing.

Kitendo cha Chadema kususa kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum, ni kufanya kosa, ila kufanya kosa sii kosa, kosa ni kurudia kosa, hili kosa la Chadema is a death mistakes hivyo Chadema is almost dead, due to that death mistakes!, uamuzi wa kina Halima Mdes ndio the only hope for survival ya Chadema, wakiwatimua, huku kutakuwa ni kurudia kosa, it's do or die kwa Chadema, warudie kosa wafe, au wakubali matokeo, waendelee kuishi, the choice is yours!.

Kuna wanasiasa wako kwenye siasa, na wametafuta uongozi wa siasa kwa kusaka madaraka tuu, uongozi as a means of livelihoods, lakini kiukweli siasa hawaziwezi, hawazijui wala hawajui uongozi wa umma sio utumishi wa chama ni utumishi wa watu.

Kwenye bandiko hili, nilieleza kuwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya Tanzania, vyama vya siasa sio mali ya viongozi, sio mali ya wanachama, ni mali ya umma, hivyo maamuzi yoyote ya chama lazima yatangulize mbele maslahi ya umma.

Vyama vya siasa kama vilivyo vyama vya wafanyakazi, vina uhuru wa kugoma, kufanya maandamano na hata kususia jambo lolote, ili mradi kugomea huko au kususa huku, kwa kususa huko kuna something tangible they will achieve. Kususa tuu ili mradi kususa bila ku achieve anything nilikuita ni ujinga.

Leo, nimefarijika sana kusoma haya

Naunga mkono hoja, Hongera sana Mhe. Halima Mdee kwa kukataa ujinga na badala yake kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii, KM wa Chadema, JJ.MNYIKA amesema chama kama chama hakija poleka majina.

Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, najua mtaitisha kikao cha Kamati Kuu ya dharura kulijadili hili, nawashauri, msipoteze muda wala msithubutu kuwatimua as waasi, kwasababu hapo ilipo tuu Chadema is almost dead!, ikiwatimua ndio mwisho wa Chadema!. Kwa vile hawa ni the minority, hata mkiwafuta uanachama, Spika atawalinda as the minority ila pia Watanzania wote wenye akili timamu, hawatawaelewa!, this will be a very sad ending for what was used to be Chadema.

Hapo ilipo tayari Chadema is severely and deeply wounded, uchaguzi huu umewaacha with very big injuries, kitendo walichokifanya wanawake hawa wa Shoka kwa kuongozwa na Halima Mdee, its like adding an insult to an injury, Chadema ikiwatimua, nayo will die instantly, waliotimuliwa ndio watasikika, waliowatimua wenzao, ndio wataishia 6ft under!.

Kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Kususa kupeleka majina ni kosa, mimi niliuita ni ujinga!. Kina Halima Mdee wameukataa ujinga huu, kuwatimua ni kurudia kosa!.
Chadema msifanye death mistakes!.

Paskali
Paskali, ushauri wako una hira na wakijinga. Lakini si kosa lako bali ni njaa inayokusukuma ushauri hivyo ili upate kuteuliwa. Kazana kusukuma madongo kwa wapinzani ili upate mradi wako. "This is a friendly piece of advise to you. Do not cheat oneself that all members in the opposition camp are a hopeless destitute and desperate individuals with zero brains. They and their leaders know what they are doing". Pole sana. "Uli mhola?"
 
Ninafikiri siasa ni mahesabu. Ukikosea unapotea kwenye ulingo wa siasa.CHADEMA watch out! Safari hii by all standards you may perish miserably in the history of mult party politics. Pelekeni viti maalum msionekane waasi wa katiba na utawala bora kwenye macho ya wananchi.
They know what they are doing. They are applying the "competitive game theory". The only strategy to survival is to suck out all the traitors. Their demise will come if they bow to the competitor's strategy - to ratify the sham and rigged election results. It is an honor, shameless and dignifying for them to fall while holding their guns firmly.
I personally crown the entire strategy of refusing to recognize the throughput of the sham and rigged election process.
Bravo CHADEMA leadership. Do not bow down. You are the winner. Freedom is in offing. Aluta continua!
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, maana nimenote baadhi ya viongozi, wanachama, wafuasi wamepigwa na butwaa kwa uamuzi wa wanawake mashoka wa Chadema, kukataa ujinga and did the right thing.

Kitendo cha Chadema kususa kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum, ni kufanya kosa, ila kufanya kosa sii kosa, kosa ni kurudia kosa, hili kosa la Chadema is a death mistakes hivyo Chadema is almost dead, due to that death mistakes!, uamuzi wa kina Halima Mdes ndio the only hope for survival ya Chadema, wakiwatimua, huku kutakuwa ni kurudia kosa, it's do or die kwa Chadema, warudie kosa wafe, au wakubali matokeo, waendelee kuishi, the choice is yours!.

Kuna wanasiasa wako kwenye siasa, na wametafuta uongozi wa siasa kwa kusaka madaraka tuu, uongozi as a means of livelihoods, lakini kiukweli siasa hawaziwezi, hawazijui wala hawajui uongozi wa umma sio utumishi wa chama ni utumishi wa watu.

Kwenye bandiko hili, nilieleza kuwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya Tanzania, vyama vya siasa sio mali ya viongozi, sio mali ya wanachama, ni mali ya umma, hivyo maamuzi yoyote ya chama lazima yatangulize mbele maslahi ya umma.

Vyama vya siasa kama vilivyo vyama vya wafanyakazi, vina uhuru wa kugoma, kufanya maandamano na hata kususia jambo lolote, ili mradi kugomea huko au kususa huku, kwa kususa huko kuna something tangible they will achieve. Kususa tuu ili mradi kususa bila ku achieve anything nilikuita ni ujinga.

Leo, nimefarijika sana kusoma haya

Naunga mkono hoja, Hongera sana Mhe. Halima Mdee kwa kukataa ujinga na badala yake kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii, KM wa Chadema, JJ.MNYIKA amesema chama kama chama hakija poleka majina.

Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, najua mtaitisha kikao cha Kamati Kuu ya dharura kulijadili hili, nawashauri, msipoteze muda wala msithubutu kuwatimua as waasi, kwasababu hapo ilipo tuu Chadema is almost dead!, ikiwatimua ndio mwisho wa Chadema!. Kwa vile hawa ni the minority, hata mkiwafuta uanachama, Spika atawalinda as the minority ila pia Watanzania wote wenye akili timamu, hawatawaelewa!, this will be a very sad ending for what was used to be Chadema.

Hapo ilipo tayari Chadema is severely and deeply wounded, uchaguzi huu umewaacha with very big injuries, kitendo walichokifanya wanawake hawa wa Shoka kwa kuongozwa na Halima Mdee, its like adding an insult to an injury, Chadema ikiwatimua, nayo will die instantly, waliotimuliwa ndio watasikika, waliowatimua wenzao, ndio wataishia 6ft under!.

Kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Kususa kupeleka majina ni kosa, mimi niliuita ni ujinga!. Kina Halima Mdee wameukataa ujinga huu, kuwatimua ni kurudia kosa!.
Chadema msifanye death mistakes!.

Paskali
Ni nawazo yako,chama ni Mali ya umma!kitangulize maslahi ya umma?? maslahi ya umma ni pamoja na yaliyojiri katika uchaguzi?Sheria na taratibu za Citi maalum zinasemaje juu ya upatikanaji wao?kaka wewe ni Jada wa chama tawala bahati mbaya sana bado hujakumbukwa, jitahidi kaka.
 
Wanabodi,
..........................Naunga mkono hoja, Hongera sana Mhe. Halima Mdee kwa kukataa ujinga na badala yake kutanguliza masilahi ya ..........
Watanzania wote wenye akili timamu, hawatawaelewa!, this will be a very sad ending for what was used to be Chadema.

Hapo ilipo tayari Chadema is severely and deeply wounded, uchaguzi huu umewaacha with very big injuries, kitendo walichokifanya wanawake hawa wa Shoka kwa kuongozwa na Halima Mdee, its like adding an insult to an injury, ...........................................
..........................

....
Chadema ikiwatimua, nayo will die instantly, waliotimuliwa ndio watasikika, waliowatimua wenzao, ndio wataishia 6ft under!.......

Paskali, Paskali, Paskali.
Umepatwa na nini?
Ni Mtanzania gani mwenye akili timamu ambaye anasema kuwa tarehe 28 Oktoba 2020 kulikuwa na Uchaguzi Mkuu?
Ni Mtanzania gani mwenye akili timamu ambaye anakubaliana na "matumizi ya bilioni 350 kwa kile kilichofanyika Oktoba 28'?
Ni Mtanzania gani mwenye akili timamu ambaye anakubaliana na alichokifanya Ndugai na Halima Mdee 'et al'?
Nimeona AG akinukuliwa na Gazeti la Uhuru juu ya haki za Halima Mdee na wenzake!
Mwanasheria Mkuu ambaye aliukunja mkia wake mithili ya mbwa mwoga wakati Tume ya Uchaguzi ikiinajisi Katiba ya Nchi kwa kuhakikisha kuwa Mawakala wa Vyama vya Watu hawaingii kwenye Vituo vya Kupigia Kura.
Ni Mtanzania gani mwenye akili timamu, mwenye uzalendo na nchi yake, mwenye uchungu na masikini wa Nchi hii ambaye anaweza kuunga mkono matumizi ya shs. bilioni 13.68 za mishahara ya Wabunge hao19 kuhalalisha ubatili wa tarehe 28 Oktoba 2020?
Nakumbuka 'novel' ya " Cry, the beloved Country".
Napata faraja nikijifunza kutoka kwenye Historia kuwa "daima, dhuluma itashindwa".
Mungu Ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom