negotiator nodegi
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 403
- 127
Ila mkuu ki ukweli unapambana ni vile nyota yako haijatosha ila vuta subira bado nafasi zipo wakubwa watakuona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Drifter, kwanza asante kwa mchango wako, very objective, kiukweli tangu nimepandisha uzi huu, wewe ndio mtu wa kwanza kunielewa, kwasababu, kiukweli kabisa, hii jf ya sasa, tuna watu wachache sana, wenye kuweza kusoma bandiko na kisha kujiuliza what is the motive behind.Swali moja rahisi sana kwako Paskali. CHADEMA ikifa, Watanzania na taifa kwa ujumla tutapata hasara gani? Unaamini NI LAZIMA CHADEMA iendelee kuwepo (exist)?
Maelezo yote hayo marefu sana uliyotoa na ambayo umekuwa ukiyatoa zaidi ya mwaka kuhusu CHADEMA, yanadhihirisha kuwa kwa mazingira ya kisiasa tuliyo nayo Tanzania, HAIWEZEKANI tuwe na mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini ambao ni BONA FIDE GENUINE.
Halafu, VERY CURIOUSLY, siioni juhudi yako ya dhati kuwaasa wenye dhamana ya kutengeneza mazingira sahihi ya demokrasia ya vyama vingi Tanzania ili kuwezesha vyama kama CHADEMA kuwepo na kufanya shughuli zake kwa ufanisi. Hapo ungeeleweka badala ya kupania kwa makala kadhaa zilizojaa jazba nyingi kutaka CHADEMA IWEPO na ikubaliane na dola tu hata katika mazingira hatarishi kiasi gani!
WHAT’S YOUR REAL MOTIVE?
Hizi sasa ndio siasa za ukweli. Sio zile siasa za kususa susa. Wakati Chadema wanaendelea kushupaza shingo, wenzao, wamepiga bao la kisigino.Hii ni taarifa kutoka Zanzibar iliyotufikia hivi punde , kwamba Dr Hussein Mwinyi ameteua Ndugu Nassoro Mazrui ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo pamoja na Mwanasheria wa Chama hicho Omary Shaaban kuwa wajumbe wa baraza la Wawakilishi .
Huu ni muendelezo wa mambo ya SUK .
Tunawatakia kila la heri
====
Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ali Mwinyi amemteua Naibu Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Nassor Ahmed Mazrui na mwanasheria mkuu wa chama hicho, Omar Said Shaaban kuwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.
View attachment 1644003
Nafanya tuu rejea.Wanabodi,
Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, maana nimenote baadhi ya viongozi, wanachama, wafuasi wamepigwa na butwaa kwa uamuzi wa wanawake mashoka wa Chadema, kukataa ujinga and did the right thing.
Kitendo cha Chadema kususa kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum, ni kufanya kosa, ila kufanya kosa sii kosa, kosa ni kurudia kosa, hili kosa la Chadema is a death mistakes hivyo Chadema is almost dead, due to that death mistakes!, uamuzi wa kina Halima Mdes ndio the only hope for survival ya Chadema, wakiwatimua, huku kutakuwa ni kurudia kosa, it's do or die kwa Chadema, warudie kosa wafe, au wakubali matokeo, waendelee kuishi, the choice is yours!.
Kuna wanasiasa wako kwenye siasa, na wametafuta uongozi wa siasa kwa kusaka madaraka tuu, uongozi as a means of livelihoods, lakini kiukweli siasa hawaziwezi, hawazijui wala hawajui uongozi wa umma sio utumishi wa chama ni utumishi wa watu.
Kwenye bandiko hili, nilieleza kuwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya Tanzania, vyama vya siasa sio mali ya viongozi, sio mali ya wanachama, ni mali ya umma, hivyo maamuzi yoyote ya chama lazima yatangulize mbele maslahi ya umma.Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!
Wanabodi, JF ni ukumbi huru wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, na kitu kikubwa zaidi, kusaidiana. Kama kuna kitu unakijua, na unaona kinafanyika ndivyo sivyo, unajitolea kusaidia, na hiki ndicho ninachofanya hapa, kwa kuendelea na zile makala zangu elimishi kuhusu Maslahi ya Taifa...www.jamiiforums.com
Vyama vya siasa kama vilivyo vyama vya wafanyakazi, vina uhuru wa kugoma, kufanya maandamano na hata kususia jambo lolote, ili mradi kugomea huko au kususa huku, kwa kususa huko kuna something tangible they will achieve. Kususa tuu ili mradi kususa bila ku achieve anything nilikuita ni ujinga.
Leo, nimefarijika sana kusoma haya
Naunga mkono hoja, Hongera sana Mhe. Halima Mdee kwa kukataa ujinga na badala yake kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii, KM wa Chadema, JJ.MNYIKA amesema chama kama chama hakija poleka majina.
Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, najua mtaitisha kikao cha Kamati Kuu ya dharura kulijadili hili, nawashauri, msipoteze muda wala msithubutu kuwatimua as waasi, kwasababu hapo ilipo tuu Chadema is almost dead!, ikiwatimua ndio mwisho wa Chadema!. Kwa vile hawa ni the minority, hata mkiwafuta uanachama, Spika atawalinda as the minority ila pia Watanzania wote wenye akili timamu, hawatawaelewa!, this will be a very sad ending for what was used to be Chadema.
Hapo ilipo tayari Chadema is severely and deeply wounded, uchaguzi huu umewaacha with very big injuries, kitendo walichokifanya wanawake hawa wa Shoka kwa kuongozwa na Halima Mdee, its like adding an insult to an injury, Chadema ikiwatimua, nayo will die instantly, waliotimuliwa ndio watasikika, waliowatimua wenzao, ndio wataishia 6ft under!.
Kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Kususa kupeleka majina ni kosa, mimi niliuita ni ujinga!. Kina Halima Mdee wameukataa ujinga huu, kuwatimua ni kurudia kosa!.
Chadema msifanye death mistakes!.
Paskali
Spin doctor!Chadema is still live and kickingWanabodi,
Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, maana nimenote baadhi ya viongozi, wanachama, wafuasi wamepigwa na butwaa kwa uamuzi wa wanawake mashoka wa Chadema, kukataa ujinga and did the right thing.
Kitendo cha Chadema kususa kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum, ni kufanya kosa, ila kufanya kosa sii kosa, kosa ni kurudia kosa, hili kosa la Chadema is a death mistakes hivyo Chadema is almost dead, due to that death mistakes!, uamuzi wa kina Halima Mdes ndio the only hope for survival ya Chadema, wakiwatimua, huku kutakuwa ni kurudia kosa, it's do or die kwa Chadema, warudie kosa wafe, au wakubali matokeo, waendelee kuishi, the choice is yours!
Kuna wanasiasa wako kwenye siasa, na wametafuta uongozi wa siasa kwa kusaka madaraka tuu, uongozi as a means of livelihoods, lakini kiukweli siasa hawaziwezi, hawazijui wala hawajui uongozi wa umma sio utumishi wa chama ni utumishi wa watu.
Kwenye bandiko hili, nilieleza kuwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya Tanzania, vyama vya siasa sio mali ya viongozi, sio mali ya wanachama, ni mali ya umma, hivyo maamuzi yoyote ya chama lazima yatangulize mbele maslahi ya umma.Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!
Wanabodi, JF ni ukumbi huru wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, na kitu kikubwa zaidi, kusaidiana. Kama kuna kitu unakijua, na unaona kinafanyika ndivyo sivyo, unajitolea kusaidia, na hiki ndicho ninachofanya hapa, kwa kuendelea na zile makala zangu elimishi kuhusu Maslahi ya Taifa...www.jamiiforums.com
Vyama vya siasa kama vilivyo vyama vya wafanyakazi, vina uhuru wa kugoma, kufanya maandamano na hata kususia jambo lolote, ili mradi kugomea huko au kususa huku, kwa kususa huko kuna something tangible they will achieve. Kususa tuu ili mradi kususa bila ku achieve anything nilikuita ni ujinga.
Leo, nimefarijika sana kusoma haya
Naunga mkono hoja, Hongera sana Mhe. Halima Mdee kwa kukataa ujinga na badala yake kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii, KM wa Chadema, JJ.MNYIKA amesema chama kama chama hakija poleka majina.
Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, najua mtaitisha kikao cha Kamati Kuu ya dharura kulijadili hili, nawashauri, msipoteze muda wala msithubutu kuwatimua as waasi, kwasababu hapo ilipo tuu Chadema is almost dead! ikiwatimua ndio mwisho wa Chadema!. Kwa vile hawa ni the minority, hata mkiwafuta uanachama, Spika atawalinda as the minority ila pia Watanzania wote wenye akili timamu, hawatawaelewa! This will be a very sad ending for what was used to be Chadema.
Hapo ilipo tayari Chadema is severely and deeply wounded, uchaguzi huu umewaacha with very big injuries, kitendo walichokifanya wanawake hawa wa Shoka kwa kuongozwa na Halima Mdee, its like adding an insult to an injury, Chadema ikiwatimua, nayo will die instantly, waliotimuliwa ndio watasikika, waliowatimua wenzao, ndio wataishia 6ft under!
Kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Kususa kupeleka majina ni kosa, mimi niliuita ni ujinga! Kina Halima Mdee wameukataa ujinga huu, kuwatimua ni kurudia kosa!
Chadema msifanye death mistakes!
Paskali
CCM anaishauri CHADEMA jinsi ya kufanya ili kisife [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wanabodi,

Japo naunga mkono hoja, ya "ukisusa sie twala...," na siungi mkono hii tabia ya kususa susa.... Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto? na hapa Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM! na Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA is almost dead, due to deadly mistakes! This is your only survival -- do or die. Msirudie kosaHabari za leo wadau.
Chama Cha Mapinduzi kupitia Katibu wake Wa Uenezi komledi Shaka kimesema Vyama vya upinzani viwe huru kabisa Kususia uchaguzi hususani CHADEMA ambao ndio wamekuwa wakisema watasusia chaguzi zozote bila Tume huru na Katiba Mpya.
Shaka amesema wakisusa CCM wao wataendelea kula.
Wanachadema pokeeni dongo Hilo mtaamua kula au kushinda na njaa.👇View attachment 2444592
Hatimaye Chadema sasa imeacha kurudia kosa, its doing the right thing!. Keshokutwa Jumatano wanawasamehe wabunge wake 19!.Wanabodi,
Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, maana nimenote baadhi ya viongozi, wanachama, wafuasi wamepigwa na butwaa kwa uamuzi wa wanawake mashujaa, mashoka wa Chadema, kukataa ujinga wa chama chao and did the right thing!.
Kitendo cha Chadema kususa kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum, ni kufanya kosa, ila kufanya kosa sii kosa, kosa ni kurudia kosa, hili kosa la Chadema is a death mistake or a deadly mistake!, hivyo Chadema hapo ilipo kwenye matpkeo ya uchaguzi huu is almost dead!, due to such deadly mistakes!, uamuzi wa kina Halima Mdee kukataa ujinga wa chama chao, ndio the only hope for Chadema survival!, wakiwatimua, its adding an insult to an injury!, huku kutakuwa ni kurudia kosa, it's do or die kwa Chadema, warudie kosa wafe, au wakubali matokeo, waendelee kuishi, the choice is theirs!.
Kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Kususa kupeleka majina ni kosa, mimi niliuita ni ujinga! Kina Halima Mdee wameukataa ujinga huu, kuwatimua ni kurudia kosa!
Chadema msifanye death mistake, deadly mistake!, mtakufa slow death!.
Paskali
Nimeisoma hukumu, 1. Mahakama zetu zinarudia makosa yale yale ya ukosefu wa kutenda haki kwa sababu ya legal technicalities, kuwa Mahakama haiwezi kutoa uamuzi wa kitu ambacho hakikuombwa!.Wanabodi,
Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa CHADEMA, maana nimenote baadhi ya viongozi, wanachama, wafuasi wamepigwa na butwaa kwa uamuzi wa wanawake mashujaa, mashoka wa CHADEMA, kukataa ujinga wa chama chao and did the right thing.
Kitendo cha CHADEMA kususa kupeleka majina ya Wabunge wa Viti Maalum, ni kufanya kosa, ila kufanya kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa. Hili kosa la CHADEMA is a death mistake or a deadly mistake, hivyo CHADEMA hapo ilipo kwenye matokeo ya uchaguzi huu is almost dead, due to such deadly mistakes.
Uamuzi wa kina Halima Mdee kukataa ujinga wa chama chao, ndio the only hope for Chadema survival. Wakiwatimua, its adding an insult to an injury, huku kutakuwa ni kurudia kosa, it's do or die kwa CHADEMA. Warudie kosa wafe, au wakubali matokeo, waendelee kuishi, the choice is theirs.
Kuna wanasiasa wako kwenye siasa, na wametafuta uongozi wa siasa kwa kusaka madaraka tuu, uongozi as a means of livelihoods, lakini kiukweli siasa hawaziwezi, hawazijui wala hawajui uongozi wa umma sio utumishi wa chama ni utumishi wa watu.
Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!
Kwenye bandiko hili, nilieleza kuwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya Tanzania, vyama vya siasa sio mali ya viongozi, sio mali ya wanachama, ni mali ya umma, hivyo maamuzi yoyote ya chama lazima yatangulize mbele maslahi ya umma.
Vyama vya siasa kama vilivyo vyama vya wafanyakazi, vina uhuru wa kugoma, kufanya maandamano na hata kususia jambo lolote, ili mradi kugomea huko au kususa huku, kwa kususa huko kuna something tangible they will achieve. Kususa tuu ili mradi kususa bila ku achieve anything nilikuita ni ujinga.
Leo, nimefarijika sana kusoma haya;
Naunga mkono hoja, hongera sana Mhe. Halima Mdee kwa kukataa ujinga na badala yake kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii, KM wa CHADEMA, J.J Mnyika amesema chama kama chama hakija poleka majina.
Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa CHADEMA, najua mtaitisha kikao cha dharura cha ile Kamati Kuu, na kukaa kama a kangaroo court kama kawaida yenu, kulijadili hili, na kuwatimua, nawashauri, msipoteze muda wala msithubutu kuwatimua as usual kama waasi, kwasababu hapo CHADEMA ilipo is almost dead ikiwatimua, this is a deadly mistake, huu ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa CHADEMA.
Kwa vile mule Bungeni hawa ni the minority, hata CHADEMA mkiwatimua kwa kuwafuta uanachama wao kikangaroo, kama mlivyo mfanyia Zitto, kwanza Spika atawalinda as the minority ila pia Watanzania wote wenye akili timamu, hawatawaelewa kabisa CHADEMA, kwasababu, hamtambui matokeo, hamlitambui Bunge, hivyo jikausheni tuu, muendelee kujivutia ruzuku.
Mkiwatimua this will be a very sad ending for what was used to be CHADEMA.
Hapo ilipo tayari CHADEMA is severely and deeply wounded, uchaguzi huu umewaacha with very big injuries, kitendo walichokifanya mashujaa hawa wanawake wa shoka wa CHADEMA, waiongozwa na shujaa Halima Mdee kukataa ujinga wa CHADEMA, ni kitendo cha kishujaa sana, kuwatimua its like adding an insult to an injury.
CHADEMA ikiwatimua, it will no be an instant death, but a slow poisoned death. Waliotimuliwa ndio watasikika, waliowatimua wenzao, ndio wataishia 6ft under kwa kupitia hukumu ya karma.
Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. Kususa kupeleka majina ni kosa, mimi niliuita ni ujinga, kina Halima Mdee wameukataa ujinga huu, kuwatimua ni kurudia kosa.
CHADEMA msifanye death mistake, deadly mistake, mtakufa slow death!
Paskali
Akili Huna ,pumbavuNimeisoma hukumu, 1. Mahakama zetu zinarudia makosa yale yale ya ukosefu wa kutenda haki kwa sababu ya legal technicalities, kuwa Mahakama haiwezi kutoa uamuzi wa kitu ambacho hakikuombwa!.
2. Wabunge hawa 19 wa Chadema, walivuliwa uanachama wao kinyume cha katiba ya JMT na kinyume cha haki kwa kutokusikilizwa, kinyume cha katiba ya Chadema kwa kukiuka sheria, taratibu na kanuni!.
3. Kikao cha CCM ya Chadema, kilichowatimua kilikaa kama a kangaroo court na kutoa maamuzi ya kikangaroo!.
4. Katiba ya Chadema inasema mwanachama kabla hajafutwa uanachama, kwanza atatumiwa hati ya mashitaka kwa maandishi by despatch, kisha atapewa siku 14 za kujibu mashitaka. Chadema hawakuandaa hati zozote za mashitaka!. Hili Mahakama ilipaswa ilione!.
5. Baada ya watuhumiwa kupewa hati ya mashitaka, ndipo kikao cha CC kinaitishwa kama mamlaka ya nidhamu, kusoma majibu ya mashitaka, na ndipo kinawaita washikiwa na kuwasikiliza. Hili halikufanyika!.
6. Baada ya wabunge 19 wa Chadema kuapishwa, hapa Chadema waliposwa kufanya kitu kinachoitwa a due process ya nidhamu na sio zile Zimamoto za kikangaroo!. There was no emergency of whatsoever!. Mahakama ilipaswa ilione hili!.
7. Uthibitisho wa hakukuwa na any emergency ya kuitisha CC, ni the time taken, kuitisha kikao cha Baraza Kuu!.
8. Baada ya kuitishwa kikao cha Baraza Kuu, kitu cha kwanza kwa Baraza Kuu Chadema kuangalia ni uhalali wa kikao cha CC, pili jee katiba, sheria, taratibu na kanuni za mamlaka ya nidhamu ya Chadema zilifuatwa?.
8. CC ya Chadema ni mamlaka halali ya nidhamu ya wabunge wa Chadema, lakini CC ya Chadema sio mamlaka ya nidhamu ya Halima Mdee ambaye ni Mwenyekiti wa Bawacha!, Mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu!, CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumtimua Halima Mdee?!. Kikao cha Baraza Kuu kilipaswa hili kukuona!.
9. Japo kikao cha Baraza Kuu Chadema kiliitishwa kihalali kama mamlaka ya rufaa ya wabunge wa Chadema, lakini kitendo cha kikao hicho kubariki uamuzi wa CC kuwatimua bila kufanya mapitio yoyote, ni uthibitisho wa Chadema bado ni chama kichanga, mfano kingechukua nchi ile 2015!, it would have been disastrous!.
10. Kitendo cha Baraza Kuu kubariki maamuzi ya kikangaroo ya CC ya Chadema, kilifanya niyaite maamuzi yale pia ni ya kikangaroo, na kitendo cha Mahakama Kuu kuyabari maamuzi ya kikangaroo, Mahakama Kuu yetu nayo has joined the team!.
A Way Forward
1. Kwa vile Chadema imefanikiwa kuwatimua hao 19 sasa Chadema isikate tena rufaa, kupinga uamuzi huu, bali iitishe kikao cha Baraza Kuu , ASAP, kifanye a due process, hili la wabunge 19 liishe, wabunge hao 19 wavuliwe ubunge wao, Chadema wapeleke majina 19 mengine, wateuliwe waapishwe, tuwe na Bunge la vyama vingi!.
2. Chadema wakifanya tuu dillydalling kukaa rufaa, inakula kwao!. By the time rufaa inasikilizwa, ndipo kifuate kikao cha Baraza Kuu, I'm afraid the time left before the next election is too little too late, ikibaki muda wa chini ya miezi 12 kabla ya muda wa uhai wa Bunge kuisha, hakuna uchaguzi wowote wala uteuzi wowote wa wabunge wapya!.
3. Tena nashauri kikao hicho cha Baraza Kuu, pia sasa ndio kimtimue Halima Mdee, kikifuatiwa Mkutano Mkuu kuthibitisha. Hapa najua changamoto ni fedha!, kule kwenye kile chungu, zilikopatikana zile fedha za kugharimia Baraza Kuu lile, kile chungu bado kipo, kitagharimia vikao vyote viwili, na Chadema inaweza kupiga ndege wawili kwa jiwe moja kwa mtu kupumzishwa kwa heshima na dereva mpya kupatikana!.
Paskali.
Unakosea vingi sana kwenye andiko lako hili.Nimeisoma hukumu, 1. Mahakama zetu zinarudia makosa yale yale ya ukosefu wa kutenda haki kwa sababu ya legal technicalities, kuwa Mahakama haiwezi kutoa uamuzi wa kitu ambacho hakikuombwa!.

Mkuu zipo nyepesi kwamba umewahi kuwa mwajiriwa katika moja ya barozi zetu nje ya nchi , je hizi tetesi zipo na ukweli gani au ni majungu tuNimeisoma hukumu, 1. Mahakama zetu zinarudia makosa yale yale ya ukosefu wa kutenda haki kwa sababu ya legal technicalities, kuwa Mahakama haiwezi kutoa uamuzi wa kitu ambacho hakikuombwa!.
2. Wabunge hawa 19 wa Chadema, walivuliwa uanachama wao kinyume cha katiba ya JMT na kinyume cha haki kwa kutokusikilizwa, kinyume cha katiba ya Chadema kwa kukiuka sheria, taratibu na kanuni!.
3. Kikao cha CCM ya Chadema, kilichowatimua kilikaa kama a kangaroo court na kutoa maamuzi ya kikangaroo!.
4. Katiba ya Chadema inasema mwanachama kabla hajafutwa uanachama, kwanza atatumiwa hati ya mashitaka kwa maandishi by despatch, kisha atapewa siku 14 za kujibu mashitaka. Chadema hawakuandaa hati zozote za mashitaka!. Hili Mahakama ilipaswa ilione!.
5. Baada ya watuhumiwa kupewa hati ya mashitaka, ndipo kikao cha CC kinaitishwa kama mamlaka ya nidhamu, kusoma majibu ya mashitaka, na ndipo kinawaita washikiwa na kuwasikiliza. Hili halikufanyika!.
6. Baada ya wabunge 19 wa Chadema kuapishwa, hapa Chadema waliposwa kufanya kitu kinachoitwa a due process ya nidhamu na sio zile Zimamoto za kikangaroo!. There was no emergency of whatsoever!. Mahakama ilipaswa ilione hili!.
7. Uthibitisho wa hakukuwa na any emergency ya kuitisha CC, ni the time taken, kuitisha kikao cha Baraza Kuu!.
8. Baada ya kuitishwa kikao cha Baraza Kuu, kitu cha kwanza kwa Baraza Kuu Chadema kuangalia ni uhalali wa kikao cha CC, pili jee katiba, sheria, taratibu na kanuni za mamlaka ya nidhamu ya Chadema zilifuatwa?.
8. CC ya Chadema ni mamlaka halali ya nidhamu ya wabunge wa Chadema, lakini CC ya Chadema sio mamlaka ya nidhamu ya Halima Mdee ambaye ni Mwenyekiti wa Bawacha!, Mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu!, CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumtimua Halima Mdee?!. Kikao cha Baraza Kuu kilipaswa hili kukuona!.
9. Japo kikao cha Baraza Kuu Chadema kiliitishwa kihalali kama mamlaka ya rufaa ya wabunge wa Chadema, lakini kitendo cha kikao hicho kubariki uamuzi wa CC kuwatimua bila kufanya mapitio yoyote, ni uthibitisho wa Chadema bado ni chama kichanga, mfano kingechukua nchi ile 2015!, it would have been disastrous!.
10. Kitendo cha Baraza Kuu kubariki maamuzi ya kikangaroo ya CC ya Chadema, kilifanya niyaite maamuzi yale pia ni ya kikangaroo, na kitendo cha Mahakama Kuu kuyabari maamuzi ya kikangaroo, Mahakama Kuu yetu nayo has joined the team!.
A Way Forward
1. Kwa vile Chadema imefanikiwa kuwatimua hao 19 sasa Chadema isikate tena rufaa, kupinga uamuzi huu, bali iitishe kikao cha Baraza Kuu , ASAP, kifanye a due process, hili la wabunge 19 liishe, wabunge hao 19 wavuliwe ubunge wao, Chadema wapeleke majina 19 mengine, wateuliwe waapishwe, tuwe na Bunge la vyama vingi!.
2. Chadema wakifanya tuu dillydalling kukaa rufaa, inakula kwao!. By the time rufaa inasikilizwa, ndipo kifuate kikao cha Baraza Kuu, I'm afraid the time left before the next election is too little too late, ikibaki muda wa chini ya miezi 12 kabla ya muda wa uhai wa Bunge kuisha, hakuna uchaguzi wowote wala uteuzi wowote wa wabunge wapya!.
3. Tena nashauri kikao hicho cha Baraza Kuu, pia sasa ndio kimtimue Halima Mdee, kikifuatiwa Mkutano Mkuu kuthibitisha. Hapa najua changamoto ni fedha!, kule kwenye kile chungu, zilikopatikana zile fedha za kugharimia Baraza Kuu lile, kile chungu bado kipo, kitagharimia vikao vyote viwili, na Chadema inaweza kupiga ndege wawili kwa jiwe moja kwa mtu kupumzishwa kwa heshima na dereva mpya kupatikana!.
Paskali.
Mkuu denoo JG, kwanza asante, kwa objectivity yako, kwasababu ni wana Chadema wachache sana wenye analytical skills and abilities to read in between the lines. Asante kwa hili.Unakosea vingi sana kwenye andiko lako hili.
- Mahakama kutotoa maamuzi kwenye jambo ambalo halikuombwa sio kosa la mahakama, kwasababu wao husema mahakama sio mama yako ikupe kile ambacho hukuiomba.
- Unakosea pia unaposema wale wanawake walivuliwa uanachama kwa kutosikilizwa, wakati walitakiwa kufika siku waliyoambiwa waende kujitetea kisha wao wakaamua kuingia mitini kwa kisingizio cha usalama wao, sijui kwanini hawakwenda na walinzi binafsi.
- Kuita kikao cha Chadema "kangaroo court" wakati hiyo Katiba ilipitishwa na msajili wa vyama, unajionesha ulivyojaa ujuaji, au unaficha udhaifu wa msajili kwasababu ni zao la CCM wenzio.
- Wakina Mdee walipewa taarifa ya kuhitajika kujitetea kwenye kikao cha KK hawakwenda, na wala utetezi wao haukuwa hawakupewa hati ya mashtaka, utetezi wao ulikuwa ni usalama wao, hebu tuwekee hapa ile taarifa waliyotumiwa na Chadema ili tuone kama haikuwa na vigezo vya kuitwa hati ya mashtaka? Vinginevyo usilazimishe maoni yako ndio yawe sheria kufuatwa na kila mtu.
- Wakina Mdee waliitwa kwenye kikao baada ya kupewa taariga ya kuhitajika kujitetea, hawakwenda, hiyo maana yake taarifa iliwafikia, hii hoja yako nayo ni void, ajabu unasema jambo hili halikufanyika.
- Unadai baada ya kina Mdee kuapishwa Chadema walipaswa kufanya a sue process ya nidhamu, sijui hapa umejigeuza nani kuwaamrisha Chadema nini wafanye, ndio maana kule juu nimekwambia punguza ujuaji.
- Wakati wa kuitisha kikao cha baraza kuu, ndipo Covid 19 ilipopamba moto, hapo wasingeweza kuitisha kikao kuwajaza wajumbe wengi toka karibia mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani. Hili lingeenda kinyume na protocal za kujikinga na Corona, ndio maana time taken ilikuwa ndefu, hapakuwa na sababu ya emergency, hivyo hii hoja yako nayo ni potofu.
- Suala la Halima Mdee kutimuliwa na KK halikuwa na tatizo ndio maana hata judge jana hajaona popote penye tatizo kwenye maamuzi ya KK, again punguza ujuaji bro.
- Again, suala la baraza kuu kubariki maamuzi ya KK kwa kutofanya mapitio ya maamuzi hili nalo halikuhusu, ni ujuaji wako na mawazo yako tu, unless utuambie kama kuna kifungu cha sheria kilichovunjwa kwa hilo hapo juu kutofanyika, lakini sio kusema Chadema ni chama kichanga...
Na mengine yote uliyoandika binafsi sioni uzito wake, ni mawazo yako binafsi yasiyo na ushahidi kisheria ndio umeyatumia kutoa hili hitimisho lako, jambo ambalo kwangu naona sio sahihi.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hii ndio tofauti ya Pascal Mayalla na wajuaji wengine wa mboga mboga. Paskali akichemka, akipata mtu wa ku expose anachutama. Mimboga mboga mingine kazi kushupaza shingo tu! Shwain!Mkuu denoo JG, kwanza asante, kwa objectivity yako, kwasababu ni wana Chadema wachache sana wenye analytical skills and abilities to read in between the lines. Asante kwa hili.
Mengine nitaendelea nayo mdogo mdogo
P