Yeah, huo ni mwanzo na mwisho kuja kulala kwangu.... sikufahamu before kama anatabia hiyo then ukimuona she is so smart... huwez mdhania
Na yeye amezidi hata hajifichi jamani, angemwambia huyo mpenzi wake kuwa asubiri mpaka atakaporudi home. Ila na yeye haogopi hata watu wengine jamani. Kuna mihemko inahitaji privace.
namshangaa ht hzo stimu anazipataje mbele ya mtu
ipo siku mingi sana......... ila it isn't for everyone.
If it doesn't flow naturally, then don't do it...
It is not, nimeona couple za kutosha tu wakipitia wakati mgumu baada ya kurudi kuishi pamoja.
Haina tofauti na masterbation, tena wengi baada ya simu anaendeleza kwa kuwatch porn. It is very bad kwakweli. Niliacha before it was not too late, it was kwaresma like this time, na nikamuomba Invisible aniondoe jukwaa la wakubwa.
Nani mbabes apa ako tayari tufanye hayo makitu? Gongeni like apa chaaap
Salute Kaunga,
Kwenye hii mada, nilichomshangaa mlete mada nikuuliza habari ya kufanya ngono kwa simu.... Nilidhani story ilisharudiwa rudiwa sana na haina mvuto. Kumbe yeye kwake inakuwa breaking news...Anyway, ndiyo dunia yenyewe.
Ila story yenyewe ingezama kwa huyo mgeni kukosa aibu na kufikia hatua ya kufanya upuuzi wake mbele ya rafiki yake. Hapa ndipo penye maswali kibao....we can all speculate endlessly!
Kwa upande wako, nakushukuru kwa ushuhuda. Haya mambo yanafanyika sana na pia yana faida nyingi tu. Hata hivyo ni very addictive... Ndipo tunapowashauri watu wachanganye na zao!
Nisome hapo juu kaka...
Wakati mwingine ni muhimu kuongea na wajukuu...
Kuna watu wanataka kutufanya tuhisi kama vile dunia imeumbwa leo...lol!!
cc: Karucee, Fixed Point, Asprin, snowhite, maskini gfsonwin.....
Thanx... no needwewe bado mkulima utajuaje mambo hizi? mimi nnamwaka mmoja nipo mbali na gf wangu lakini najiona kama nipo nae coz kwa njia hii inanisaidia sana tena kwa kiwango na speed.
kama unataka kufundishwa mapenzi haya ongea vizuri upewe somo
Salute Kaunga,
Kwenye hii mada, nilichomshangaa mlete mada nikuuliza habari ya kufanya ngono kwa simu.... Nilidhani story ilisharudiwa rudiwa sana na haina mvuto. Kumbe yeye kwake inakuwa breaking news...Anyway, ndiyo dunia yenyewe.
Ila story yenyewe ingezama kwa huyo mgeni kukosa aibu na kufikia hatua ya kufanya upuuzi wake mbele ya rafiki yake. Hapa ndipo penye maswali kibao....we can all speculate endlessly!
Kwa upande wako, nakushukuru kwa ushuhuda. Haya mambo yanafanyika sana na pia yana faida nyingi tu. Hata hivyo ni very addictive... Ndipo tunapowashauri watu wachanganye na zao!
Nisome hapo juu kaka...
Wakati mwingine ni muhimu kuongea na wajukuu...
Kuna watu wanataka kutufanya tuhisi kama vile dunia imeumbwa leo...lol!!
cc: Karucee, Fixed Point, Asprin, snowhite, maskini gfsonwin.....
Sijawahi kujaribu. I think its silly and fake.