Salute
Kaunga,
Kwenye hii mada, nilichomshangaa mlete mada nikuuliza habari ya kufanya ngono kwa simu.... Nilidhani story ilisharudiwa rudiwa sana na haina mvuto. Kumbe yeye kwake inakuwa breaking news...Anyway, ndiyo dunia yenyewe.
Ila story yenyewe ingezama kwa huyo mgeni kukosa aibu na kufikia hatua ya kufanya upuuzi wake mbele ya rafiki yake. Hapa ndipo penye maswali kibao....we can all speculate endlessly!
Kwa upande wako, nakushukuru kwa ushuhuda. Haya mambo yanafanyika sana na pia yana faida nyingi tu. Hata hivyo ni very addictive... Ndipo tunapowashauri watu wachanganye na zao!
Nisome hapo juu kaka...
Wakati mwingine ni muhimu kuongea na wajukuu...
Kuna watu wanataka kutufanya tuhisi kama vile dunia imeumbwa leo...lol!!
cc:
Karucee,
Fixed Point,
Asprin,
snowhite, maskini
gfsonwin.....