Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ni huzuni kwakweli ( kwa sauti ya Ruben hakika)Unaweka kwa juu unaanza kuhema kama unakata roho mpaka upande wa pili anaamua akushushe tu usije ukamfia [emoji28][emoji28]
Wakati enzi hizo mtu unaride lisaa na uko good, dah ujana ndio unatupiga teke hivo