Kufanya masters/PhD vs kusoma vitabu kipi Bora?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Mimi nasema Bora kusoma vitabu. Kufanya masters/PhD waachie ma academicians au watu ambao bado Wana mindset za kuajiriwa ( kuongeza elimu ili daraja la mshahara lipande) but kama una taka ku acquire the real and true knowledge u must go for reading books. A lot of books...

Mtu anae Soma vitabu vya field husika hawezi kuwa beaten na mtu mwenye masters au PhD ya field hiyo.

Mimi ni mfano hai katika hili..kozi niliyo Soma chuo Ni ' Ngwine" but yrs baada ya kumaliza chuo nilikuwa exposed na information kwamba " Mathematics is a sacred knowledge" and that Mathematics ndio chanzo Cha Kila Kila kitu duniani. Kwamba hata hii dunia tunayo ishi Mimi na wewe ni result ya a mathematical calculation. Kwa ufupi mathematics ndio ufunguo Jambo LOLOTE unalolijua wewe chini ya jua. ( A topic for another day)

Kwamba mtu ambae hajui mathematics" pure mathematics" huyo Ni sawa na mtu ambae anapita duniani Kama kimvuli .

Nili Soma mathematics kwa nguvu zangu zote Kwanza nilianza na kujikumbushia hesabu za msingi " basic " kuanzia form one mpaka form four " na.kuzimasters vizuri then Nikaendelea na Pure Mathematics. Siku ishia hapo nimesoma vitabu zaidi ya Mia nne vya Mathematicians nguli wa dunia hii.. Hakuna Mathematicians yoyote katika sayari hii ambae sijasoma na kumaster mafundisho yake kuanzia Pythagoras et Al..kwa ufupi I am a Mathematics wizard.. Things like Arithmetic , , Geometry and co are a child play for me.

Nimefanya discussion na maprofesa wengi wanao jiita maprofesa wa mathematics wote weupe tu kwangu.. (.nje ya mada vijana someni mathematics, kwa ku master mathematics nimejenga nyumba tatu ndani ya mwaka.mmoja. ) ninafanya kazi na taasisi nyingi kama.mtaalamu wa mathematics.. men i can tell you Kuna utukufu mkubwa sana katika mathematics.

Angalizo: The true knowledge is the one which helps a person in three basic things.

1. To acquire power

2. To maintain power

3. To protect power .

( Kile kikundi Cha Siri Cha watu wanao tajwa kuitawala dunia.hii kina maarifa yenye sifa hizo tatu hapo juu. Kiapo kikubwa kuliko vyote ambavyo members wa kikundi hicho hulishwa ni kuto kutoa Siri za kikundi kwa watu walio nje ya kikundi hata Kama Ni mtoto wako unae mpenda sana kwa sababu hawataki " Power" yao iwe transfered kwa watu wa nje ya kikundi kupitia maarifa hayo ambayo ukiwa nayo Basi hapa duniani utaishi Kama kivuli Cha Mungu.

Hata wachawi humuua mchawi mwenzao ambae atatoa Siri zao kwa watu wengine. Siri za namna wanavyo fanya ili kupata results katika Mambo yao wanayo fanya.

Kama unaenda kufanya masters au PhD halafu at the end of the time una remain kuwa powerless then unatakiwa kufahamu kwamba ulicho kuwa unakifanya ilikuwa ni kugonga Moto unaungua mavuzi

# Hii Ni theory ambayo imekuwa proved beyond reasonable doubt kwamba UKITAKA KUWA MASTER WA JAMBO LOLOTE LILE HAPA DUNIANI, THEN READ EXTENSIVELY AND THOUROUGHLY AT LEAST FOUR HUNDRED BOOKS ABOUT THE THING WHICH YOU WANT TO BE AND WITHOUT A DOUBT U WILL BECOME WHAT U WANT TO BE BECAUSE YOU WILL MASTER ALL THE NECESSARY REQUIREMENTS FOR BEING A MASTER OF WHAT YOU WANT TO BE..

Update: wanaume someni pia kuhusu Female Anatomy. Kama mwanaume haujasoma na kumaster somo la female anatomy both in theory and practice basi kuwa na uhakika kwamba hauwezi kumridhisha kingono mwanamke yoyote yule duniani... Uki masta somo hilo utaweza kuujua mwili wa mwanamke Kama unavyo ujua mwili wako wewe mwenyewe... Huwezi kumridhisha mwanamke kingono bila Kwanza kuujua mwili mwili wake kiundani.
 
Mkuu hizo taasisi walikuamini vip bila vyeti vinavyoonesha kuwa wewe ni mathematician?? Bro tupe hata connection na hizo taasisi tuombe hata intership.
I solved every matical question they gave to me. Kuna profesa mmoja wa mathematics kutoka chuo kikuu kikubwa baada ya kusoma.paper yangu na kuambiwa sijasoma.hesabu chuo ali suggest nipewe PhD ya heshima ya Mathematics.

Mkuu hizo taasisi walikuamini vip bila vyeti vinavyoonesha kuwa wewe ni mathematician?? Bro tupe hata connection na hizo taasisi tuombe hata intership.
I solved every mathematical problem they gave to me. Halafu mkuu uki master mathematics, watu ambao hawajui mathematics wewe unakuwa Kama mungu kwao.
 
Mkuu hizo taasisi walikuamini vip bila vyeti vinavyoonesha kuwa wewe ni mathematician?? Bro tupe hata connection na hizo taasisi tuombe hata intership.
vyeti vya kitaaluma ni makaratasi tu jombaa, hata matapeli wanavyo. ndio maana baadhi ya taasisi huwa haziamini katika vyeti bali katika talent na umahiri wako wa kufanya vitu practically vikaonekana.

visa vya vyeti fake ni vingi, kimoja ni cha daktari aliyekuja kushtikwa baada ya kuhudumu kwenye eneo hilo kwa miaka mingi mpaka akawa anawafanyia upasuaji wagonjwa.
 
I solved every matical question they gave to me. Kuna profesa mmoja wa mathematics kutoka chuo kikuu kikubwa baada ya kusoma.paper yangu na kuambiwa sijasoma.hesabu chuo ali suggest nipewe PhD ya heshima ya Mathematics...
Vizuri ndugu, itakuwa hiyo degree yako ni related na math either economics, bcom, statistics
 
vyeti vya kitaaluma ni makaratasi tu jombaa, hata matapeli wanavyo. ndio maana baadhi ya taasisi huwa haziamini katika vyeti bali katika talent na umahiri wako wa kufanya vitu practically vikaonekana...
Mkuu hiyo ni kweli, lakini taasisi zote huwa wanavigezo vyao wanapotafuta mtu wa kitengo fulani mfano kama wanahitaji daktari lazima uwe kwanza na cheti cha udaktari ndio uendee kwenye interview ndio maana nikauliza ,huwa hawaokoti tu watu barabarani,
 
Mkuu Hakuna uhusiano kabisa. Hesabu nimeacha form four na nilipata D. Kwa kozi niliyo Soma chuo the only numbers involved was when I was mentioning the day that Tanganyika got Independency
Ok mkuu tupe siri ilikuwaje ukawa involved kwenye taasisi kadhaa bila kuwa na fani husika. Tupe siri
 
Shida ni kwamba maisha mnayakompuliketi sana na kuyaundia fomyula za kimajumuisho - kitu ambacho hakiwezekani! Hebu kila mtu na atambue lengo lake hapa duniani ni nini na afanye kinachompa furaha na ridhiko kulingana na lengo lake. Kufanya vinginevyo ni kujitafutia frustrations tu na kuishi maisha yasiyo na ridhiko na furaha...

Kila mtu na ashinde mechi zake za maisha kulingana na mchezo aliouchagua !!!
 
Mimi nasema Bora kusoma vitabu. Kufanya masters/PhD waachie ma academicians au watu ambao bado Wana mindset za kuajiriwa ( kuongeza elimu ili daraja la mshahara lipande) but kama una taka ku acquire the real and true knowledge u must go for reading books. A lot of books...

Mtu anae Soma vitabu vya field husika hawezi kuwa beaten na mtu mwenye masters au PhD ya field hiyo.

Mimi ni mfano hai katika hili..kozi niliyo Soma chuo Ni ' Ngwine" but yrs baada ya kumaliza chuo nilikuwa exposed na information kwamba " Mathematics is a sacred knowledge" and that Mathematics ndio chanzo Cha Kila Kila kitu duniani. Kwamba hata hii dunia tunayo ishi Mimi na wewe ni result ya a mathematical calculation. Kwa ufupi mathematics ndio ufunguo Jambo LOLOTE unalolijua wewe chini ya jua. ( A topic for another day)

Kwamba mtu ambae hajui mathematics" pure mathematics" huyo Ni sawa na mtu ambae anapita duniani Kama kimvuli .

Nili Soma mathematics kwa nguvu zangu zote Kwanza nilianza na kujikumbushia hesabu za msingi " basic " kuanzia form one mpaka form four " na.kuzimasters vizuri then Nikaendelea na Pure Mathematics. Siku ishia hapo nimesoma vitabu zaidi ya Mia nne vya Mathematicians nguli wa dunia hii.. Hakuna Mathematicians yoyote katika sayari hii ambae sijasoma na kumaster mafundisho yake kuanzia Pythagoras et Al..kwa ufupi I am a Mathematics wizard.. Things like Arithmetic , , Geometry and co are a child play for me.

Nimefanya discussion na maprofesa wengi wanao jiita maprofesa wa mathematics wote weupe tu kwangu.. (.nje ya mada vijana someni mathematics, kwa ku master mathematics nimejenga nyumba tatu ndani ya mwaka.mmoja. ) ninafanya kazi na taasisi nyingi kama.mtaalamu wa mathematics.. men i can tell you Kuna utukufu mkubwa sana katika mathematics.

Angalizo: The true knowledge is the one which helps a person in three basic things.

1. To acquire power

2. To maintain power

3. To protect power .

( Kile kikundi Cha Siri Cha watu wanao tajwa kuitawala dunia.hii kina maarifa yenye sifa hizo tatu hapo juu. Kiapo kikubwa kuliko vyote ambavyo members wa kikundi hicho hulishwa ni kuto kutoa Siri za kikundi kwa watu walio nje ya kikundi hata Kama Ni mtoto wako unae mpenda sana kwa sababu hawataki " Power" yao iwe transfered kwa watu wa nje ya kikundi kupitia maarifa hayo ambayo ukiwa nayo Basi hapa duniani utaishi Kama kivuli Cha Mungu.

Hata wachawi humuua mchawi mwenzao ambae atatoa Siri zao kwa watu wengine. Siri za namna wanavyo fanya ili kupata results katika Mambo yao wanayo fanya.

Kama unaenda kufanya masters au PhD halafu at the end of the time una remain kuwa powerless then unatakiwa kufahamu kwamba ulicho kuwa unakifanya ilikuwa ni kugonga Moto unaungua mavuzi

# Hii Ni theory ambayo imekuwa proved beyond reasonable doubt kwamba UKITAKA KUWA MASTER WA JAMBO LOLOTE LILE HAPA DUNIANI, THEN READ EXTENSIVELY AND THOUROUGHLY AT LEAST FOUR HUNDRED BOOKS ABOUT THE THING WHICH YOU WANT TO BE AND WITHOUT A DOUBT U WILL BECOME WHAT U WANT TO BE BECAUSE YOU WILL MASTER ALL THE NECESSARY REQUIREMENTS FOR BEING A MASTER OF WHAT YOU WANT TO BE..
Kwanini usome bila kuandika? Andika vitabu badala ya kutegemea vya wengine sawa na wale unaowatuhumu kusomea shahada.
 
Vyote havifai maana unasoma vya wenzako utabaki kuwa umekariri mawao ya mtu mwingine anza kujifunza namna ya kuishi maisha mepesi kuwa skills za kawaida kuishi humu duniani.... jua kupika, kulima'kupanda mazao kuchunga mifugo' kuishi vzr na wanaokuzunguka jua kujenga nyumba na mambo madogo yanaoyoweza kukufanya uakishi popote ... ni hayo tu kutoka kwa Fala flani hivi aliyeko porini akitunza mazingira na sasa yanamtunza
 
Ok mkuu tupe siri ilikuwaje ukawa involved kwenye taasisi kadhaa bila kuwa na fani husika. Tupe siri

Pia ulitumia muda gani. Ulitumia kusoma hivyo vitabu vyote na ukafika hadi level ipi na muongozo ulikuwa ni upi maana unaweza kusoma vitabu 400 lakini ukaishia humo humo kwenye kutafuta maumbo ya pembe tatu/ pythagoras

Wale mathematician wenzangu watanielewa hesabu ni bahari huwezi imaliza ni sawa na mtu kuwa daktari bingwa wa magonjwa yote haiwezekani kabisa haiwezekani.

Mfano kwa level ya degree moja mtaala wa udsm hadi namaliza kwenye differential equations. Tumesoma ordinary halafu tukamaliza na partial differential equations ukitaka advanced differential utaikuta masters huko

Hivyo hivyo probability tulianza level ya chini kabisa probability theory,then distribution 1 tukamaliza na distribution 2 ndio level ya degree ikaishia hapo ,even algebra tuliishia linaer algebra 2.

Nahapo ukitoa core courses 32 tulizozisoma kuna optional course kibao kama 60 kuanzia mwaka wa 1 hadi wa mwisho
Nikuchagia moja unayopenda kuisoma ndio uone hesabu ilivyo msitu kuna courses kama topology, fluid mechanics, mathematical demography, vectors analysis, graphics and electives network, rapid mechanics, survial models, quineng theory, numerical analysis, multivariate elective, stochastic,hyperbolic na nyingine nyingi sikuwahi hata zisoma .

Na pia utuelezee kwenye hiyo level yako umebobea upande gani wa hesabu maana nguli wote wana area of specialization tofauti na sisi wa ngazi ya chini
 
Mwamini Mungu kupitia jina la Yesu ndipo utakapopata pumziko la moyo. Hayo mambo eti ohh nimejenganyumba tatu kwa mwaka mmoja ni kujilisha upepo tu.
Mimi nasema Bora kusoma vitabu. Kufanya masters/PhD waachie ma academicians au watu ambao bado Wana mindset za kuajiriwa ( kuongeza elimu ili daraja la mshahara lipande) but kama una taka ku acquire the real and true knowledge u must go for reading books. A lot of books...

Mtu anae Soma vitabu vya field husika hawezi kuwa beaten na mtu mwenye masters au PhD ya field hiyo.

Mimi ni mfano hai katika hili..kozi niliyo Soma chuo Ni ' Ngwine" but yrs baada ya kumaliza chuo nilikuwa exposed na information kwamba " Mathematics is a sacred knowledge" and that Mathematics ndio chanzo Cha Kila Kila kitu duniani. Kwamba hata hii dunia tunayo ishi Mimi na wewe ni result ya a mathematical calculation. Kwa ufupi mathematics ndio ufunguo Jambo LOLOTE unalolijua wewe chini ya jua. ( A topic for another day)

Kwamba mtu ambae hajui mathematics" pure mathematics" huyo Ni sawa na mtu ambae anapita duniani Kama kimvuli .

Nili Soma mathematics kwa nguvu zangu zote Kwanza nilianza na kujikumbushia hesabu za msingi " basic " kuanzia form one mpaka form four " na.kuzimasters vizuri then Nikaendelea na Pure Mathematics. Siku ishia hapo nimesoma vitabu zaidi ya Mia nne vya Mathematicians nguli wa dunia hii.. Hakuna Mathematicians yoyote katika sayari hii ambae sijasoma na kumaster mafundisho yake kuanzia Pythagoras et Al..kwa ufupi I am a Mathematics wizard.. Things like Arithmetic , , Geometry and co are a child play for me.

Nimefanya discussion na maprofesa wengi wanao jiita maprofesa wa mathematics wote weupe tu kwangu.. (.nje ya mada vijana someni mathematics, kwa ku master mathematics nimejenga nyumba tatu ndani ya mwaka.mmoja. ) ninafanya kazi na taasisi nyingi kama.mtaalamu wa mathematics.. men i can tell you Kuna utukufu mkubwa sana katika mathematics.

Angalizo: The true knowledge is the one which helps a person in three basic things.

1. To acquire power

2. To maintain power

3. To protect power .

( Kile kikundi Cha Siri Cha watu wanao tajwa kuitawala dunia.hii kina maarifa yenye sifa hizo tatu hapo juu. Kiapo kikubwa kuliko vyote ambavyo members wa kikundi hicho hulishwa ni kuto kutoa Siri za kikundi kwa watu walio nje ya kikundi hata Kama Ni mtoto wako unae mpenda sana kwa sababu hawataki " Power" yao iwe transfered kwa watu wa nje ya kikundi kupitia maarifa hayo ambayo ukiwa nayo Basi hapa duniani utaishi Kama kivuli Cha Mungu.

Hata wachawi humuua mchawi mwenzao ambae atatoa Siri zao kwa watu wengine. Siri za namna wanavyo fanya ili kupata results katika Mambo yao wanayo fanya.

Kama unaenda kufanya masters au PhD halafu at the end of the time una remain kuwa powerless then unatakiwa kufahamu kwamba ulicho kuwa unakifanya ilikuwa ni kugonga Moto unaungua mavuzi

# Hii Ni theory ambayo imekuwa proved beyond reasonable doubt kwamba UKITAKA KUWA MASTER WA JAMBO LOLOTE LILE HAPA DUNIANI, THEN READ EXTENSIVELY AND THOUROUGHLY AT LEAST FOUR HUNDRED BOOKS ABOUT THE THING WHICH YOU WANT TO BE AND WITHOUT A DOUBT U WILL BECOME WHAT U WANT TO BE BECAUSE YOU WILL MASTER ALL THE NECESSARY REQUIREMENTS FOR BEING A MASTER OF WHAT YOU WANT TO BE..
 
vipi kuhusu spiritual knowledge?
Hesabu ndio mama wa maarifa yote duniani. Mfano nikijibu swali lako kwa ufupi huwezi kuwa master wa elimu ya astronomy and astrology bila ku master geometry and Arithmetic in general.
 
Pia ulitumia muda gani. Ulitumia kusoma hivyo vitabu vyote na ukafika hadi level ipi na muongozo ulikuwa ni upi maana unaweza kusoma vitabu 400 lakini ukaishia humo humo kwenye kutafuta maumbo ya pembe tatu/ pythagoras

Wale mathematician wenzangu watanielewa hesabu ni bahari huwezi imaliza ni sawa na mtu kuwa daktari bingwa wa magonjwa yote haiwezekani kabisa haiwezekani.

Mfano kwa level ya degree moja mtaala wa udsm hadi namaliza kwenye differential equations. Tumesoma ordinary halafu tukamaliza na partial differential equations ukitaka advanced differential utaikuta masters huko

Hivyo hivyo probability tulianza level ya chini kabisa probability theory,then distribution 1 tukamaliza na distribution 2 ndio level ya degree ikaishia hapo ,even algebra tuliishia linaer algebra 2.

Nahapo ukitoa core courses 32 tulizozisoma kuna optional course kibao kama 60 kuanzia mwaka wa 1 hadi wa mwisho
Nikuchagia moja unayopenda kuisoma ndio uone hesabu ilivyo msitu kuna courses kama topology, fluid mechanics, mathematical demography, vectors analysis, graphics and electives network, rapid mechanics, survial models, quineng theory, numerical analysis, multivariate elective, stochastic,hyperbolic na nyingine nyingi sikuwahi hata zisoma .

Na pia utuelezee kwenye hiyo level yako umebobea upande gani wa hesabu maana nguli wote wana area of specialization tofauti na sisi wa ngazi ya chini
Miaka mitano
 
Mimi nasema Bora kusoma vitabu. Kufanya masters/PhD waachie ma academicians au watu ambao bado Wana mindset za kuajiriwa ( kuongeza elimu ili daraja la mshahara lipande) but kama una taka ku acquire the real and true knowledge u must go for reading books. A lot of books...

Mtu anae Soma vitabu vya field husika hawezi kuwa beaten na mtu mwenye masters au PhD ya field hiyo.

Mimi ni mfano hai katika hili..kozi niliyo Soma chuo Ni ' Ngwine" but yrs baada ya kumaliza chuo nilikuwa exposed na information kwamba " Mathematics is a sacred knowledge" and that Mathematics ndio chanzo Cha Kila Kila kitu duniani. Kwamba hata hii dunia tunayo ishi Mimi na wewe ni result ya a mathematical calculation. Kwa ufupi mathematics ndio ufunguo Jambo LOLOTE unalolijua wewe chini ya jua. ( A topic for another day)

Kwamba mtu ambae hajui mathematics" pure mathematics" huyo Ni sawa na mtu ambae anapita duniani Kama kimvuli .

Nili Soma mathematics kwa nguvu zangu zote Kwanza nilianza na kujikumbushia hesabu za msingi " basic " kuanzia form one mpaka form four " na.kuzimasters vizuri then Nikaendelea na Pure Mathematics. Siku ishia hapo nimesoma vitabu zaidi ya Mia nne vya Mathematicians nguli wa dunia hii.. Hakuna Mathematicians yoyote katika sayari hii ambae sijasoma na kumaster mafundisho yake kuanzia Pythagoras et Al..kwa ufupi I am a Mathematics wizard.. Things like Arithmetic , , Geometry and co are a child play for me.

Nimefanya discussion na maprofesa wengi wanao jiita maprofesa wa mathematics wote weupe tu kwangu.. (.nje ya mada vijana someni mathematics, kwa ku master mathematics nimejenga nyumba tatu ndani ya mwaka.mmoja. ) ninafanya kazi na taasisi nyingi kama.mtaalamu wa mathematics.. men i can tell you Kuna utukufu mkubwa sana katika mathematics.

Angalizo: The true knowledge is the one which helps a person in three basic things.

1. To acquire power

2. To maintain power

3. To protect power .

( Kile kikundi Cha Siri Cha watu wanao tajwa kuitawala dunia.hii kina maarifa yenye sifa hizo tatu hapo juu. Kiapo kikubwa kuliko vyote ambavyo members wa kikundi hicho hulishwa ni kuto kutoa Siri za kikundi kwa watu walio nje ya kikundi hata Kama Ni mtoto wako unae mpenda sana kwa sababu hawataki " Power" yao iwe transfered kwa watu wa nje ya kikundi kupitia maarifa hayo ambayo ukiwa nayo Basi hapa duniani utaishi Kama kivuli Cha Mungu.

Hata wachawi humuua mchawi mwenzao ambae atatoa Siri zao kwa watu wengine. Siri za namna wanavyo fanya ili kupata results katika Mambo yao wanayo fanya.

Kama unaenda kufanya masters au PhD halafu at the end of the time una remain kuwa powerless then unatakiwa kufahamu kwamba ulicho kuwa unakifanya ilikuwa ni kugonga Moto unaungua mavuzi

# Hii Ni theory ambayo imekuwa proved beyond reasonable doubt kwamba UKITAKA KUWA MASTER WA JAMBO LOLOTE LILE HAPA DUNIANI, THEN READ EXTENSIVELY AND THOUROUGHLY AT LEAST FOUR HUNDRED BOOKS ABOUT THE THING WHICH YOU WANT TO BE AND WITHOUT A DOUBT U WILL BECOME WHAT U WANT TO BE BECAUSE YOU WILL MASTER ALL THE NECESSARY REQUIREMENTS FOR BEING A MASTER OF WHAT YOU WANT TO BE..

Una Hoja mahala fulani ila na Wewe kuna sehemu umejichanganya na mpaka kutuchanganya na Sisi pia.

Je, unataka tujadili kuhusu Usomaji tu wa Vitabu ' Generally ' katika Kujiongezea Maarifa ( Knowledge ) au Msisitizo wako mkubwa hapa ni juu ya Somo la Hisabati ( Mathematics ) ambalo umeshaonyesha una Mahaba nalo zaidi?
 
Back
Top Bottom