Tukumbushane wakuu, kufanya mazoezi ya jogging barabarani hapa Tanzania ni kujitoa mhanga na kusema uko tayari kufa.
Watu kila siku wanakufa kwa kugongwa na magari kwa kufanya mazoezi barabarani lakini watu hawasikii.
Mwanza watu 6 wamefariki kwa kugongwa na gari barabarani wakifanya mazoezi.