πKuumia sio rahisi π hiyo ya kutoka nnje ya mwili wala haina maana ya kutoka kama wengi wanavyofikiri, ni mtetemo wa nishati tu katika frequency za juu zaidi , ambayo hata ukielezewa haitakua na maana zaidi ya kupata uzoefu wako wewe mwenyewe .
Kutaka kupata experience za mwenzako zinaweza kuwa kikwazo cha wewe kupata utulivu kwasababu utafanya meditation huku ubongo ukitajaria jambo fulani, kitu ambacho ni kikwazo .π€£π€£π€£ Ungetulia na wewe uje utuambie kuna nini huko
Sijawahi kuwa seriously na kutafuta pesa labda ndio maana sipati za mpaka wewe uone zaidi ya kukidhi mahitaji yangu muhimu tuπ€£Pes unapata? Au unakuwa pussy magnet π§²tu?
Sure mkuu ni vile wanafanya vitu lakini hawajui logic yake. Mfano mtu anaposali ile rozari hajui state ya mind inakuwaje. Anapokua anazitamka zile sala (mantras) kwa kuzirudiarudia hawajui impact yake ni Nini ktk mind. Mfano mwingine ni zile poses+sala za Islam lengo ni kuichanel mind ktk kitu kimoja then outcome yake unakua ktk meditative state. Hiyo mifano logic behind ni kufanya mind ifocus kwenye kitu kimoja automatically thoughts zinadisappear. Watu wanafikiri mpaka waone lotus pose ndio wajue ni meditation. Hawajiulizi hata wanavyoambiwa Jesus alikua akienda mlimani (mazingira tulivu) alikua anaenda kufanya niniBila kujua hata hizo dini kuna namna wanafanya meditation /Tahajudi.
Kwenye maisha utulivu na subra ni vitu vya muhimu sana , ukiwa kwenye meditation kwa mara ya kwanza ndio utagundua jinsi mawazo yanavyokuendesha ,bila wewe mwenyewe kupenda, utaona ubongo unavyowaza mambo mengi bila maamuzi yako , ndio utagundua mda wowote unaweza kuwa kichaa mtarajiwa .Hahhahaha
Ukipata mtoto mkali kwenye meditation club yenu nirushie mkuuππ
View attachment 3211097
Kwa dini ya kiislamu nafikiri wanajua vizuri ,sana tatizo ni walokole wasio na utulivu hata humo makanisani mwao .Sure mkuu ni vile wanafanya vitu lakini hawajui logic yake. Mfano mtu anaposali ile rozari hajui state ya mind inakuwaje. Anapokua anazitamka zile sala (mantras) kwa kuzirudiarudia hawajui impact yake ni Nini ktk mind. Mfano mwingine ni zile poses+sala za Islam lengo ni kuichanel mind ktk kitu kimoja then outcome yake unakua ktk meditative state. Hiyo mifano logic behind ni kufanya mind ifocus kwenye kitu kimoja automatically thoughts zinadisappear. Watu wanafikiri mpaka waone lotus pose ndio wajue ni meditation. Hawajiulizi hata wanavyoambiwa Jesus alikua akienda mlimani (mazingira tulivu) alikua anaenda kufanya nini
Kabisa nakubaliana na wewe 100%Huwezi kuzuia mawazo,never..but just be aware when they rise..without comment or judge anything.
Kwanza lengo la meditation siyo kuzuia Mawazo..Lengo la meditation ni kupandisha awareness yako ama conciousness yako by just being aware of anything which arising during meditation..Hahahaj
TUSAIDIE MTAALAAM
Sahihi mkuu!!mtu kaangalia YouTube tutorial, anafanya meditation zote kwa kuzichanganya. Kingine watu wana haraka ya kuona matokeo ambayo wanasisimuliwa nayo kupitia talks za watu tofauti
Kama unaweza kufanya hivyo upo karibu sana na kuweza ku meditate.Binafsi naweza kufanya hivi na pia natamani hichi kitu nikiweke kwenye kitabu lakini siwezi kabisa