Sure mkuu ni vile wanafanya vitu lakini hawajui logic yake. Mfano mtu anaposali ile rozari hajui state ya mind inakuwaje. Anapokua anazitamka zile sala (mantras) kwa kuzirudiarudia hawajui impact yake ni Nini ktk mind. Mfano mwingine ni zile poses+sala za Islam lengo ni kuichanel mind ktk kitu kimoja then outcome yake unakua ktk meditative state. Hiyo mifano logic behind ni kufanya mind ifocus kwenye kitu kimoja automatically thoughts zinadisappear. Watu wanafikiri mpaka waone lotus pose ndio wajue ni meditation. Hawajiulizi hata wanavyoambiwa Jesus alikua akienda mlimani (mazingira tulivu) alikua anaenda kufanya nini