Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Kuumia sio rahisi 😁 hiyo ya kutoka nnje ya mwili wala haina maana ya kutoka kama wengi wanavyofikiri, ni mtetemo wa nishati tu katika frequency za juu zaidi , ambayo hata ukielezewa haitakua na maana zaidi ya kupata uzoefu wako wewe mwenyewe .
👐
 
🤣🤣🤣 Ungetulia na wewe uje utuambie kuna nini huko
Kutaka kupata experience za mwenzako zinaweza kuwa kikwazo cha wewe kupata utulivu kwasababu utafanya meditation huku ubongo ukitajaria jambo fulani, kitu ambacho ni kikwazo .

Unaweza ukafanya meditation hata miaka kumi ila usitambue badiliko lolote kwa haraka japo utakuwa umepiga hatua kubwa mno.

Note: meditation haitakiwi iwe ni kitendo cha kufanya ili utarajie jambo fulani , meditation inapswa iwe ni sehemu ya maisha yako ya kila siku , kwenye kila jambo unaweza kufanya meditation , iwe wakati wakula , kuongea , kusoma , kusikiliza mziki na nk .
 
Sijawahi kuwa seriously na kutafuta pesa labda ndio maana sipati za mpaka wewe uone zaidi ya kukidhi mahitaji yangu muhimu tu🤣
Hahhahaha

Ukipata mtoto mkali kwenye meditation club yenu nirushie mkuu😁😁
Screenshot_20250123-144117.png
 
Bila kujua hata hizo dini kuna namna wanafanya meditation /Tahajudi.
Sure mkuu ni vile wanafanya vitu lakini hawajui logic yake. Mfano mtu anaposali ile rozari hajui state ya mind inakuwaje. Anapokua anazitamka zile sala (mantras) kwa kuzirudiarudia hawajui impact yake ni Nini ktk mind. Mfano mwingine ni zile poses+sala za Islam lengo ni kuichanel mind ktk kitu kimoja then outcome yake unakua ktk meditative state. Hiyo mifano logic behind ni kufanya mind ifocus kwenye kitu kimoja automatically thoughts zinadisappear. Watu wanafikiri mpaka waone lotus pose ndio wajue ni meditation. Hawajiulizi hata wanavyoambiwa Jesus alikua akienda mlimani (mazingira tulivu) alikua anaenda kufanya nini
 
Hahhahaha

Ukipata mtoto mkali kwenye meditation club yenu nirushie mkuu😁😁
View attachment 3211097
Kwenye maisha utulivu na subra ni vitu vya muhimu sana , ukiwa kwenye meditation kwa mara ya kwanza ndio utagundua jinsi mawazo yanavyokuendesha ,bila wewe mwenyewe kupenda, utaona ubongo unavyowaza mambo mengi bila maamuzi yako , ndio utagundua mda wowote unaweza kuwa kichaa mtarajiwa .
 
Sure mkuu ni vile wanafanya vitu lakini hawajui logic yake. Mfano mtu anaposali ile rozari hajui state ya mind inakuwaje. Anapokua anazitamka zile sala (mantras) kwa kuzirudiarudia hawajui impact yake ni Nini ktk mind. Mfano mwingine ni zile poses+sala za Islam lengo ni kuichanel mind ktk kitu kimoja then outcome yake unakua ktk meditative state. Hiyo mifano logic behind ni kufanya mind ifocus kwenye kitu kimoja automatically thoughts zinadisappear. Watu wanafikiri mpaka waone lotus pose ndio wajue ni meditation. Hawajiulizi hata wanavyoambiwa Jesus alikua akienda mlimani (mazingira tulivu) alikua anaenda kufanya nini
Kwa dini ya kiislamu nafikiri wanajua vizuri ,sana tatizo ni walokole wasio na utulivu hata humo makanisani mwao .
 
mtu kaangalia YouTube tutorial, anafanya meditation zote kwa kuzichanganya. Kingine watu wana haraka ya kuona matokeo ambayo wanasisimuliwa nayo kupitia talks za watu tofauti
Sahihi mkuu!!

Kwanza kabla hujafanya meditation inatakiwa ujue lengo la kufanya ni nini?

Kama huna lengo linalokusukuma kufanya huwezi kufanikiwa kuweza.
 
Binafsi naweza kufanya hivi na pia natamani hichi kitu nikiweke kwenye kitabu lakini siwezi kabisa
Kama unaweza kufanya hivyo upo karibu sana na kuweza ku meditate.

Ule uzingativu unaokua nao mpaka akili inahamia huko ni same applied to Meditation.

Kama hua unafanya hivyo mara kwa mara si ajabu hua kuna muda unajipigisha stori mwenyewe na una enjoy.

Sometime unakuta umethink deep mpaka unajikuta umekamilisha task fulani bila kujua umekamilisha vipi, mfano inaweza kua wakati unatembea mara unashtuka tu umefika home na ulikwepa magari vizuri bila kujijua.

Mda mwingine unapapita hadi kwako unashtuka mbele unaanza kurudi.

Kama unaweza hivi, wewe ni rahisi zaidi kuijua meditation.
 
Back
Top Bottom