πββοΈHahahahaha
Still nafanikiwa nikihusisha mizimu ya kwetu ila sifanikiwi kama nikienda kanisani au msikitini na hata nikimshirikisha sheikh aroge (kufanya kafara) ni yale yale tu, hamna kitu.Sasa hapo amesimama kama kuhani kuongea na hiyo mizimu yenu ila hajaongea nao. Kinachoongelewa hapa ni ile direct communication kana kwamba wamekaa pamoja
Maspeaker ya misikitini yamenishinda mimi mwenzenu, yaani imekuwa kama vile wanajuwa naanza kufanya meditation, utasikia swalaaaaaaaaaaa katika zile speaker za kwenye concerts.πππ
Kongole kwa mlioweza ku-concentrate