Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🏃♂️Hahahahaha
Still nafanikiwa nikihusisha mizimu ya kwetu ila sifanikiwi kama nikienda kanisani au msikitini na hata nikimshirikisha sheikh aroge (kufanya kafara) ni yale yale tu, hamna kitu.Sasa hapo amesimama kama kuhani kuongea na hiyo mizimu yenu ila hajaongea nao. Kinachoongelewa hapa ni ile direct communication kana kwamba wamekaa pamoja
Maspeaker ya misikitini yamenishinda mimi mwenzenu, yaani imekuwa kama vile wanajuwa naanza kufanya meditation, utasikia swalaaaaaaaaaaa katika zile speaker za kwenye concerts.😂😂😂
Kongole kwa mlioweza ku-concentrate