Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Mimi mwenzenu nimepanga room Moja ila tangu utoto naishi nyumba ya ghorofa kimawazo....na sehemu nayofanyia KAZI ni ikulu....hivi hili sio tatizo la afya ya akili!??
 
Mind say when everything is fine I'll be in peace, but the truth is when you're at peace everything will be fine
 
Sasa hapo amesimama kama kuhani kuongea na hiyo mizimu yenu ila hajaongea nao. Kinachoongelewa hapa ni ile direct communication kana kwamba wamekaa pamoja
Still nafanikiwa nikihusisha mizimu ya kwetu ila sifanikiwi kama nikienda kanisani au msikitini na hata nikimshirikisha sheikh aroge (kufanya kafara) ni yale yale tu, hamna kitu.
 
😂😂😂

Kongole kwa mlioweza ku-concentrate
Maspeaker ya misikitini yamenishinda mimi mwenzenu, yaani imekuwa kama vile wanajuwa naanza kufanya meditation, utasikia swalaaaaaaaaaaa katika zile speaker za kwenye concerts.
 
Back
Top Bottom