Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Je umewahi ku-manifest things?

Yaani kutengeneza picha fulani nzuri ya maisha yako ya baadaye like unaingia kwenye nyumba yako kali nje umepaki gari, Watoto wanakupokea kwa furaha 🧠

Something like that?
Binafsi naweza kufanya hivi na pia natamani hichi kitu nikiweke kwenye kitabu lakini siwezi kabisa
 
Asante sana mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kongole kwa mlioweza ku-concentrate
Sasa hilo ndio lengo la meditation, Meditation dhumuni lake ni kutuliza akili ambazo hazijatulia , shida ni kwamba mbinu mnazotumia si sahihi. Kuna Mzungu mmoja alikuwa ana meditate kwenye bustani ya hospitalini pembeni ya wodi na OPD na alikuwa anaenda mpaka masaa mawili licha ya makelele mengi.Nilimuuliza unatumia mbinu gani alisema kila eneo na kila hali uliokuwa nayo zinahitajika mbinu tofauti tofauti
 
Yeah hii ni sahihi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…