We Jamaa jau kweli, Kama ni swali ume enda opposite kabisa🤣😂Anataka akusex hahahahah
Haujaelewa tu mkuuu😂😂😂
hahaha, una Kumbuka literature, Kuna kitu kina itwa sarcasm!! HannahAna matusi sana hata ku meditate hawezi huyo
Mfano mkuuKuna being mindful and mindfull. Jifunze kwanza kuwa kwenye state ya mindful ndio mtu unainjoy meditation.
Mimi huwa nafanya self talk inasaidia sana kusonga mbele, haswa mawazo negative yanapokuja kichwani.
Una jua ipi??, maana manifestation ni Kama self inner power Fulani.Na manifestation ina maana nyingine tena tofauti na ninayoijua kumbe😂
HahahahahahahahhahNimejaribu kufanya meditation, ghafla bodaboda kapita anapiga mziki wa singeli wa sauti kubwa. Baadae utulivu ukarudi, ile nafunga macho tu, najikuta akili inawaza TAKO KUBWA sana nimeona meditation ni ngumu.
we Jamaa ni jau sana, liongo mno🤣😂Hahahaha
Atajifanya anakufundisha kumeditate alafu anaanza kukushika ndivyo sivyo
😂😂😂😂😂
Hannah Intelligent businessmanNimejaribu kufanya meditation, ghafla bodaboda kapita anapiga mziki wa singeli wa sauti kubwa. Baadae utulivu ukarudi, ile nafunga macho tu, najikuta akili inawaza TAKO KUBWA sana nimeona meditation ni ngumu.
Kama unaishi Dar es Salaam, tembelea Coco Beach karibu na Officers Mess ambapo kuna mwamba mzuri sana. Eneo hili ni tulivu na linafaa kwa meditation na yoga....sasa wewe unataka ufanye meditation nyumbani kwako Mbagala Kinzudi we ulisikia wapi...Mediatations requires a solitary and calm environment.😂😂😂
Kongole kwa mlioweza ku-concentrate
Coco beach unafungua macho katoto ka 2000 akoo akili inaruka tenaKama unaishi Dar es Salaam, tembelea Coco Beach karibu na Officers Mess ambapo kuna mwamba mzuri sana. Eneo hili ni tulivu na linafaa kwa meditation na yoga....sasa wewe unataka ufanye meditation nyumbani kwako Mbagala Kinzudi we ulisikia wapi...Mediatations requires a solitary and calm environment.
Ndoo huwa mnafanyaje mremboMimi nilijaribu kama mara mbili nikashangaa ule utulivu ndio naanza kuwaza nikimaliza nikapike , sijui nifue, khaaa!
Meditation isn’t for everyone.
sema pale napo huwa pana mitego sana...ila kule pembeni hawafiki wanashinda na maboya na mabichi boi huku mwanzo mihogoCoco beach unafungua macho katoto ka 2000 akoo akili inaruka tena
View attachment 3211054
Calm environment unaipataje wakati maisha masekeKama unaishi Dar es Salaam, tembelea Coco Beach karibu na Officers Mess ambapo kuna mwamba mzuri sana. Eneo hili ni tulivu na linafaa kwa meditation na yoga....sasa wewe unataka ufanye meditation nyumbani kwako Mbagala Kinzudi we ulisikia wapi...Mediatations requires a solitary and calm environment.
Uwezi ntumia hizo notes maana uko nondo mkuuMara chache Sana, ila ninacho weza ni recuperation tu.
.method Kama kuimba wakti naoga kwa muda mrefu.
.kuongea mwenyewe hii ni tiba nzuri
. Kusikiliza muziki au kutazama filamu.
.kukaa kimya, naongea kichwani tu
Watu wengi wanaishi mazingira ya kelele hicho kinasababisha huwezi fanya hio kitu,kingine vichwa vimejaa mawazo tele,maybe ujaribu ucku kuanzia saa 8-10Mimi nilijaribu kama mara mbili nikashangaa ule utulivu ndio naanza kuwaza nikimaliza nikapike , sijui nifue, khaaa!
Meditation isn’t for everyone.
Meditation ukiwa committed nayo itakufanya uweze kuijua kweli, ujijue wewe halisi (soul). It's a spiritual journey na sio religious journey, hata hicho unachokiita ushetani u takuja kugundua ni stori tu ambazo umesimuliwa/umefundishwa. The kingdom of God is within you, zama ndani yako utajijua wewe halisi ni nani.Meditation. Ni ushetani.
Mtu kuingia katika trance under unknown spiritual guide. Nikuwa demon posessed.
Kwa namna yule Mhindi ikuwa anatufundisha nilikuja kujua si salama.
Endeleeni yatawakuta
uta nisamehe mkuu, ila ingia YouTube Kuna tutorial Wana zungumzia issue hiyo.Uwezi ntumia hizo notes maana uko nondo mkuu