Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Kuna being mindful and mindfull. Jifunze kwanza kuwa kwenye state ya mindful ndio mtu unainjoy meditation.

Mimi huwa nafanya self talk inasaidia sana kusonga mbele, haswa mawazo negative yanapokuja kichwani.
 
Mfano mkuu

Intelligent businessman atawezaje kushinda mawazo mazito yanayounganika na demand kubwa kihisia ya kutaka kufanya ngono (frequent sex)
 
Nimejaribu kufanya meditation, ghafla bodaboda kapita anapiga mziki wa singeli wa sauti kubwa. Baadae utulivu ukarudi, ile nafunga macho tu, najikuta akili inawaza TAKO KUBWA sana nimeona meditation ni ngumu.
Hahahahahahahahhah
Hahahahahahahahhaha
HHHHahahH
HHahahahaha
Hahahahaha
Hahahahahahah
Hahahah
😂😂😂😂😂😂

Duh, vingine tuwaachie ngozi nyeupe au sio mkuuu???
 
😂😂😂

Kongole kwa mlioweza ku-concentrate
Kama unaishi Dar es Salaam, tembelea Coco Beach karibu na Officers Mess ambapo kuna mwamba mzuri sana. Eneo hili ni tulivu na linafaa kwa meditation na yoga....sasa wewe unataka ufanye meditation nyumbani kwako Mbagala Kinzudi we ulisikia wapi...Mediatations requires a solitary and calm environment.
 
Coco beach unafungua macho katoto ka 2000 akoo akili inaruka tena
20250123_133305.jpg
 
Kama unaishi Dar es Salaam, tembelea Coco Beach karibu na Officers Mess ambapo kuna mwamba mzuri sana. Eneo hili ni tulivu na linafaa kwa meditation na yoga....sasa wewe unataka ufanye meditation nyumbani kwako Mbagala Kinzudi we ulisikia wapi...Mediatations requires a solitary and calm environment.
Calm environment unaipataje wakati maisha maseke
 
Mimi nilijaribu kama mara mbili nikashangaa ule utulivu ndio naanza kuwaza nikimaliza nikapike , sijui nifue, khaaa!
Meditation isn’t for everyone.
Watu wengi wanaishi mazingira ya kelele hicho kinasababisha huwezi fanya hio kitu,kingine vichwa vimejaa mawazo tele,maybe ujaribu ucku kuanzia saa 8-10
 
Meditation. Ni ushetani.
Mtu kuingia katika trance under unknown spiritual guide. Nikuwa demon posessed.
Kwa namna yule Mhindi ikuwa anatufundisha nilikuja kujua si salama.
Endeleeni yatawakuta
Meditation ukiwa committed nayo itakufanya uweze kuijua kweli, ujijue wewe halisi (soul). It's a spiritual journey na sio religious journey, hata hicho unachokiita ushetani u takuja kugundua ni stori tu ambazo umesimuliwa/umefundishwa. The kingdom of God is within you, zama ndani yako utajijua wewe halisi ni nani.
 
Back
Top Bottom