Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuuMara chache Sana, ila ninacho weza ni recuperation tu.
.method Kama kuimba wakti naoga kwa muda mrefu.
.kuongea mwenyewe hii ni tiba nzuri
. Kusikiliza muziki au kutazama filamu.
.kukaa kimya, naongeza kichwani tu
Kabisa. Sio hizi heka heka.Ahhaha for real inahitaji time, freedom and space
Yap, wapo. Ila ni rare Sana kuwa pataHongera mkuu
Eti kuna watu wanajua njia za kuongea na ancestors wao, sijui ni kwwli??
Kila mtu anaweza kufanya meditation.meditation 🧘♂️ sio kila mtu anaiweza,,,, ! Unatakiwa uwe na utulivu wa akili
Nimelia sana damu yangu una maarifa haya maake meditation nafanya lknJe umewahi ku-manifest things?
Yaani kutengeneza picha fulani nzuri ya maisha yako ya baadaye like unaingia kwenye nyumba yako kali nje umepaki gari, Watoto wanakupokea kwa furaha 🧠
Something like that?
mimi sana tu sasa hivi kuna vitabu nasoma soma lakini nimefanya meditation manadiliko najiona nakua nanhuruma sana now a days, yan kuua mdudu washa ilikua kwangu sekunde tu sasa hivi nasema ana roho anapaswa kuishi namuacha, naweza lala late lakini kumi na mbili natakiwa kuamka bas nitaamka dakika mbili kabla, sipendi kujimix na watu ikitokea bas haraka sana nawaza kurudi nyumbani nikapumzike, hio ya kukaa nilikua siwez nikajaribu kulala nikahisi vibaration kwneye mguu wa kulia nikaacha haraka nikaogopa nisij potelea hukoJe umewahi ku-manifest things?
Yaani kutengeneza picha fulani nzuri ya maisha yako ya baadaye like unaingia kwenye nyumba yako kali nje umepaki gari, Watoto wanakupokea kwa furaha 🧠
Something like that?
HahahahaMimi nilijaribu kama mara mbili nikashangaa ule utulivu ndio naanza kuwaza nikimaliza nikapike , sijui nifue, khaaa!
Meditation isn’t for everyone.
Daah!!Nimelia sana damu yangu una maarifa haya maake meditation nafanya lkn
Napata mitetemo km napigwa shoti ...... Mara mkono uume vibaya au kuwasha.....
Kichwa kinazunguka saa zngn kama nachizika 😂...
Nipe maarifa damu yangu 👊
I find it hard to concentrate😔😔😔.