Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Mara chache Sana, ila ninacho weza ni recuperation tu.

.method Kama kuimba wakti naoga kwa muda mrefu.
.kuongea mwenyewe hii ni tiba nzuri
. Kusikiliza muziki au kutazama filamu.
.kukaa kimya, naongea kichwani tu
.kuimba mwenyewe (kwa sauti ya taratibu na iliyo tulia), nyimbo zenye deep inner meaning or healing)
 
Mara chache Sana, ila ninacho weza ni recuperation tu.

.method Kama kuimba wakti naoga kwa muda mrefu.
.kuongea mwenyewe hii ni tiba nzuri
. Kusikiliza muziki au kutazama filamu.
.kukaa kimya, naongeza kichwani tu
Hongera mkuu

Eti kuna watu wanajua njia za kuongea na ancestors wao, sijui ni kwwli??
 
Je umewahi ku-manifest things?

Yaani kutengeneza picha fulani nzuri ya maisha yako ya baadaye like unaingia kwenye nyumba yako kali nje umepaki gari, Watoto wanakupokea kwa furaha 🧠

Something like that?
Nimelia sana damu yangu una maarifa haya maake meditation nafanya lkn

Napata mitetemo km napigwa shoti ...... Mara mkono uume vibaya au kuwasha.....

Kichwa kinazunguka saa zngn kama nachizika 😂...

Nipe maarifa damu yangu 👊
 
Je umewahi ku-manifest things?

Yaani kutengeneza picha fulani nzuri ya maisha yako ya baadaye like unaingia kwenye nyumba yako kali nje umepaki gari, Watoto wanakupokea kwa furaha 🧠

Something like that?
mimi sana tu sasa hivi kuna vitabu nasoma soma lakini nimefanya meditation manadiliko najiona nakua nanhuruma sana now a days, yan kuua mdudu washa ilikua kwangu sekunde tu sasa hivi nasema ana roho anapaswa kuishi namuacha, naweza lala late lakini kumi na mbili natakiwa kuamka bas nitaamka dakika mbili kabla, sipendi kujimix na watu ikitokea bas haraka sana nawaza kurudi nyumbani nikapumzike, hio ya kukaa nilikua siwez nikajaribu kulala nikahisi vibaration kwneye mguu wa kulia nikaacha haraka nikaogopa nisij potelea huko
 
Back
Top Bottom