Yes its very possible ndio maana kuna familia unasikia baba kachomoka kwa hayo makitu, then watu wanamsikilizia mama huku wakishangaa anavyozidi kudunda!, kumbe hana!.
Kinachofanyika, kuna wanawake wa aina tatu, kama zilivyo types of skin, kuna dry skin, oedinary skin, na oily skin. Wenye dry skin, wanahitaji aily lotion, wenye ordinary skin, wanaweza kupaka lotion yoyote, na wenye oily skin, wanahitaji dry lotion!.
Kule nako wanawake wako hivyo hiyo, kuna wet, ordinary na dry!. Wale wet huwa wanalowa wenyewe kabla kwa lubricants, hivyo ikipita, inateleza tuu bila michubuko yoyote!. Wale ordinary, you need ample time ya maandalizi kwa fore play mpaka awe tayari with enough natural lubrication, na wale dry, ndio inakubidi utumie artificial lubricants mate yakiwa ndio primary ila kwa vile nayo sio safe, then unanunua KY or anye jelly specifically for that!.
HIV virus wanaishi kwenye body fluid, ili uambukiuzwe, lazima kutokee michubuko, hivyo body fluid itoke kwa mmoja kwenda kwa mwingine kupitia michubuko hiyo!, ukiweza kuhakikisha hakuna michubuko you will be ok, ila kutokana na tofauti ya vigorous activity wakati wa kukaribia, hata dryness ikiingia, you can't stop hivyo unashauriwa to be sure, always use condom!.
NB. Tofautisha natural lubricants na squirting kwa wanao practice "katerero", ile ya squirting sio lubricant, its a different solution iliyochanganyikana na urine, hivyo hailetezi, na ndio inayopelekea watu wa "kule" kushikwa sana na kale kaugonjwa!.
Kuna baadhi ya wanawake wa makabila fulani wana extra lubricants, hivyo ile kupanga tuu na kuelekea sehemu husika, hata bila kumshika au kufanya chochote wanakuwa tayari!, kuna baadhi ya makabila, lazima kwanza ufanya rommance ya kutosha ndipo wawe tayari. Na kuna baadhi ya makabila they are dry, lazima utumie artificial lubricant, iwe mate, vaseline or anything!.
Kuna wanawake wanaojiuza wa Kenya, wamefanya niashara hiyo kwa miaka zaidi ya ishirini, huku wakihudumia wateja zaidi ya 10,000 kila mmoja bila kutumia kinga na bila kupata ukimwi!.
Soma zaidi hapa [h=3]
Kenya: The Women Who Don't Get Aids - Sun Sentinel na hapa
The secret of HIV immunity among Kenyan sex workers | Blog 4 ...[/h]
Mwisho kabisa nakushauri u "practice power" yaani tumia nguvu ulizo nazo ndani yako "will power" to say " no to hiv aids", utapuyanga, utakanyanga umeme, na hunanaswa!, Onyo. Usilianzishe hili mpaka ujiridhishe hizo "powers" unazo!. Kujijua kama una "powers" au hauna, nitembelee hapa [h=3]
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...[/h]
Pasco.