Kufanya ngono bila kupata michubuko

Kufanya ngono bila kupata michubuko

kwa swali hili ulilouliza inaonekana kidogo kauwezo ka kufikiri kapo. Labda pale awali ulikurupuka au ulikuwa unatania.
Lakini hata hivyo, kimsingi haya maswali ni tofauti. Lile la Dodoma moja, kuna dhamira inayotakiwa itimie lakini isiwe na madhara. Na hili la kwako tendo lina madhara afanyeje?
Majibu ya maswali haya bila shaka yatakuwa tofauti.
Una la kujitetea Mtafiti?
 
Wakuu nimesikia eti mtu mwenye uume mdogo anakuwa salama zaid kuliko mwenye uume mkubwa pia mwenye uke mkubwa anakuwa salama zaid kuliko mwenye uke mdogo, je hiyo ni kwel???
Wewe Kijana! Mambo mengine waachie baba na mama.
 
Yes its very possible ndio maana kuna familia unasikia baba kachomoka kwa hayo makitu, then watu wanamsikilizia mama huku wakishangaa anavyozidi kudunda!, kumbe hana!.

Kinachofanyika, kuna wanawake wa aina tatu, kama zilivyo types of skin, kuna dry skin, oedinary skin, na oily skin. Wenye dry skin, wanahitaji aily lotion, wenye ordinary skin, wanaweza kupaka lotion yoyote, na wenye oily skin, wanahitaji dry lotion!.

Kule nako wanawake wako hivyo hiyo, kuna wet, ordinary na dry!. Wale wet huwa wanalowa wenyewe kabla kwa lubricants, hivyo ikipita, inateleza tuu bila michubuko yoyote!. Wale ordinary, you need ample time ya maandalizi kwa fore play mpaka awe tayari with enough natural lubrication, na wale dry, ndio inakubidi utumie artificial lubricants mate yakiwa ndio primary ila kwa vile nayo sio safe, then unanunua KY or anye jelly specifically for that!.

HIV virus wanaishi kwenye body fluid, ili uambukiuzwe, lazima kutokee michubuko, hivyo body fluid itoke kwa mmoja kwenda kwa mwingine kupitia michubuko hiyo!, ukiweza kuhakikisha hakuna michubuko you will be ok, ila kutokana na tofauti ya vigorous activity wakati wa kukaribia, hata dryness ikiingia, you can't stop hivyo unashauriwa to be sure, always use condom!.

NB. Tofautisha natural lubricants na squirting kwa wanao practice "katerero", ile ya squirting sio lubricant, its a different solution iliyochanganyikana na urine, hivyo hailetezi, na ndio inayopelekea watu wa "kule" kushikwa sana na kale kaugonjwa!.

Kuna baadhi ya wanawake wa makabila fulani wana extra lubricants, hivyo ile kupanga tuu na kuelekea sehemu husika, hata bila kumshika au kufanya chochote wanakuwa tayari!, kuna baadhi ya makabila, lazima kwanza ufanya rommance ya kutosha ndipo wawe tayari. Na kuna baadhi ya makabila they are dry, lazima utumie artificial lubricant, iwe mate, vaseline or anything!.

Kuna wanawake wanaojiuza wa Kenya, wamefanya niashara hiyo kwa miaka zaidi ya ishirini, huku wakihudumia wateja zaidi ya 10,000 kila mmoja bila kutumia kinga na bila kupata ukimwi!.
Soma zaidi hapa [h=3]Kenya: The Women Who Don't Get Aids - Sun Sentinel na hapa The secret of HIV immunity among Kenyan sex workers | Blog 4 ...[/h]
Mwisho kabisa nakushauri u "practice power" yaani tumia nguvu ulizo nazo ndani yako "will power" to say " no to hiv aids", utapuyanga, utakanyanga umeme, na hunanaswa!, Onyo. Usilianzishe hili mpaka ujiridhishe hizo "powers" unazo!. Kujijua kama una "powers" au hauna, nitembelee hapa [h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...[/h]
Pasco.
 
Wakuu nimesikia eti mtu mwenye uume mdogo anakuwa salama zaid kuliko mwenye uume mkubwa pia mwenye uke mkubwa anakuwa salama zaid kuliko mwenye uke mdogo, je hiyo ni kwel???
Ni kweli, kwa sababu kwa kadri unavyokuja nje, ndivyo ngozi inavyuokuwa ngumu, na kadri unavyozama ndani, ndivyo ngozi inavyokuwa laini. Ili uupate ukimwi kwenye sex, lazima kutokee michubuko, kadri unavyozama deep, ndiko kwenye michubiko zaidi na kiungo kinachochubuka ni kinchwa cha naniliu na kule deep ndani kwenye naniliu!. Ukiwa na naniliu fupi, unaishia njiani kusiko na michubuko hivyo unakuwa salama.

Vivyo hivyo kwa wanawake wenye naniliu pana, ili kutokee michubuko, ni lazima ibane sana, unapokuwa pana, inakuwa loose, hivyo hakuna friction ya kule michubuko ni kuogelea tuu kama kwenye bwawa hivyo kubaki salama!.

Namna ya kuwajua wanaume wenye fupi, angalia urefu wa size ya kiatu chake, kama size ndogo, jua pia kule ni kudogo, ukiona size ya kiatu ni kubwa, jua kule mambo makubwa!. Kipimo cha kupima zize ya kirungu, angalia pua. Ukiona pia nene, jua kirungu ni kinene, ukiona pua nyembamba jua kirungu chembamba!.

Kwa kina dada pia how deep ni urefu wa size ya kiatu chake, na how wide ni upana wa mdomo wake!. How thick au thin yale mashavu, ni zize ya lips zake!. Ukiona mdomo mpana juo na kule ni kupana, ukiona lips pana, jua mashavu yatakuwa mapana. Ukiona mdomo mdogo, jua atakuwa tight, ukiona lips ni thin, jua kutakuwa na vishavu vyembamba!.
 
Wakuu nimesikia eti mtu mwenye uume mdogo anakuwa salama zaid kuliko mwenye uume mkubwa pia mwenye uke mkubwa anakuwa salama zaid kuliko mwenye uke mdogo, je hiyo ni kwel???
Ni kweli, kwa sababu kwa kadri unavyokuja nje, ndivyo ngozi inavyuokuwa ngumu, na kadri unavyozama ndani, ndivyo ngozi inavyokuwa laini. Ili uupate ukimwi kwenye sex, lazima kutokee michubuko, kadri unavyozama deep, ndiko kwenye michubiko zaidi na kiungo kinachochubuka ni kinchwa cha naniliu na kule deep ndani kwenye naniliu!. Ukiwa na naniliu fupi, unaishia njiani kusiko na michubuko hivyo unakuwa salama.

Vivyo hivyo kwa wanawake wenye naniliu pana, ili kutokee michubuko, ni lazima ibane sana, unapokuwa pana, inakuwa loose, hivyo hakuna friction ya kule michubuko ni kuogelea tuu kama kwenye bwawa hivyo kubaki salama!.

Namna ya kuwajua wanaume wenye fupi, angalia urefu wa size ya kiatu chake, kama size ndogo, jua pia kule ni kudogo, ukiona size ya kiatu ni kubwa, jua kule mambo makubwa!. Kipimo cha kupima zize ya kirungu, angalia pua. Ukiona pia nene, jua kirungu ni kinene, ukiona pua nyembamba jua kirungu chembamba!.

Kwa kina dada pia how deep ni urefu wa size ya kiatu chake, na how wide ni upana wa mdomo wake!. How thick au thin yale mashavu, ni zize ya lips zake!. Ukiona mdomo mpana juo na kule ni kupana, ukiona lips pana, jua mashavu yatakuwa mapana. Ukiona mdomo mdogo, jua atakuwa tight, ukiona lips ni thin, jua kutakuwa na vishavu vyembamba.

Hivyo ili kuepuka kuwachezea dada zetu, jua preferences zako by looking, chagua fupi, ndefu, pana, nyembamba, kisha choose your love and love your choice!.
Pasco
 
Ndo yap hayo mkuu mbona siyapati fresh

ukienda pharmas yoyote ile hasa zile kubwa kubwa kiaina watakupatia,we unafikiri kwa nn Jacob Zuma Rais wa South Africa hakuambukizwa UKIMWI na wakati alilala na mwanamke aliyekuwa na VVU,KY ndio ilimuokoa,na alitoa testimony hiyo hata mahakamani na akashinda kesi
 
any scientific proof size ya kiatu na kule chini? ...please
 
Yes its very possible ndio maana kuna familia unasikia baba kachomoka kwa hayo makitu, then watu wanamsikilizia mama huku wakishangaa anavyozidi kudunda!, kumbe hana!.

Kinachofanyika, kuna wanawake wa aina tatu, kama zilivyo types of skin, kuna dry skin, oedinary skin, na oily skin. Wenye dry skin, wanahitaji aily lotion, wenye ordinary skin, wanaweza kupaka lotion yoyote, na wenye oily skin, wanahitaji dry lotion!.

Kule nako wanawake wako hivyo hiyo, kuna wet, ordinary na dry!. Wale wet huwa wanalowa wenyewe kabla kwa lubricants, hivyo ikipita, inateleza tuu bila michubuko yoyote!. Wale ordinary, you need ample time ya maandalizi kwa fore play mpaka awe tayari with enough natural lubrication, na wale dry, ndio inakubidi utumie artificial lubricants mate yakiwa ndio primary ila kwa vile nayo sio safe, then unanunua KY or anye jelly specifically for that!.

HIV virus wanaishi kwenye body fluid, ili uambukiuzwe, lazima kutokee michubuko, hivyo body fluid itoke kwa mmoja kwenda kwa mwingine kupitia michubuko hiyo!, ukiweza kuhakikisha hakuna michubuko you will be ok, ila kutokana na tofauti ya vigorous activity wakati wa kukaribia, hata dryness ikiingia, you can't stop hivyo unashauriwa to be sure, always use condom!.

NB. Tofautisha natural lubricants na squirting kwa wanao practice "katerero", ile ya squirting sio lubricant, its a different solution iliyochanganyikana na urine, hivyo hailetezi, na ndio inayopelekea watu wa "kule" kushikwa sana na kale kaugonjwa!.

Kuna baadhi ya wanawake wa makabila fulani wana extra lubricants, hivyo ile kupanga tuu na kuelekea sehemu husika, hata bila kumshika au kufanya chochote wanakuwa tayari!, kuna baadhi ya makabila, lazima kwanza ufanya rommance ya kutosha ndipo wawe tayari. Na kuna baadhi ya makabila they are dry, lazima utumie artificial lubricant, iwe mate, vaseline or anything!.

Kuna wanawake wanaojiuza wa Kenya, wamefanya niashara hiyo kwa miaka zaidi ya ishirini, huku wakihudumia wateja zaidi ya 10,000 kila mmoja bila kutumia kinga na bila kupata ukimwi!.
Soma zaidi hapa [h=3]Kenya: The Women Who Don't Get Aids - Sun Sentinel na hapa The secret of HIV immunity among Kenyan sex workers | Blog 4 ...[/h]
Mwisho kabisa nakushauri u "practice power" yaani tumia nguvu ulizo nazo ndani yako "will power" to say " no to hiv aids", utapuyanga, utakanyanga umeme, na hunanaswa!, Onyo. Usilianzishe hili mpaka ujiridhishe hizo "powers" unazo!. Kujijua kama una "powers" au hauna, nitembelee hapa [h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...[/h]
Pasco.

Asante mkuu kwa uchambuz wako uliojaa umakin wa hali ya juu, nilitaka unifahamishe pia uhusiano uliopo kati ya mwanaume anayemaliza ndani ya dakika 1 au 2 na yule anaechukua dakika 5 au zaid had kumaliza kwa upande wa michubuko, je anayemaliza ndan ya dakika 1 au 2 nae anaweza kupata michubuko sawasawa na yule anaetumia dakika 5 au zaid?
 
Determinant ya maambukizi sio umeingiza dakika ngapi au umefanya mara ngapi, bali friction ni kiasi gani na kumetokea michubuko kwa kiwango gani!. Ukifanya kwa dakika mbili kwenye tight na dry una chance kubwa ya kupata michubuko, hivyo high risk ya kuambukizika kuliko aliyefanya kwa 5 minutes kwenye loose wet yenye full of lubricants.

Pia kuna watu wanadhani ili kuambukizwa lazima ufanye mara nyingi na kuchovya chovya sana!, No!, hata kufanya mara moja tuu na hata kuingiza mara moja tuu na kutoa, risk iko pale pale!. Kuna wanaojidanganya eti tuanze kwa kuchezeana kavu kavu, tukishapandisha ndipo tuvae kinga tumalizie!, its risk as well.

Na kuna wengi hunza na kinga, wakisha zoeana, hujiaminisha sasa tumeaminiana, na bila kupima, huachana na kutumia kinga na kwenda kavu kavu! na huko ndiko walio wengi wanakoangamia!, haswa wale watafuta ndoa, au wasaka utamu na uroda zaidi!.

Akinisoma kule kwenye ule uzi wangu wa powers, nimeeleza namna ya ku detect hatari ya umeme kabla hgujakanyaga miwaya!.hivyo kuwaepuka kabla!.
To be on a safe side, always play safe
Pasco.
 
uwe mwaminifu kwa mwenza wako! magonjwa ni meng ,mengine huletwa na huambatana na majimaji 2 yale!
 
Kwani ukivaa ile " Je ww ni mwanaume wa kweli"[DUME] Utachubuka?
 
Mmmmmh leo nimeingia jf ganii aiseh nadanganyika apa au nimimi tu macho yangu? Jamani kiatu na mdomoo cjui vinauhusiano gani na uko mapajanii duhh?
Jf leo ni baalaaa?
 
Back
Top Bottom