Kufanya ngono na kila mwamke anaekatiza mbele yako sio ujanja ni kujitafutia mikosi

mkuu unatuchanganya, au ndo nyie marasta man wa arusha mnakula milf nyeupee
Utani tuu huu mwanawane. Mie ngozi nyeupe hapana nawapenda dada zetu waafrica watamu hao ila hii tantalila zenu za ngono na mikosi hapana kabisaaa naikataa.
Maana watu tunagegeda malaya kila wikend toka badoo tinder hi5 tena threesome lakini mbona kazini tunapanda vyeo tuu.
 
Mzee wa milf๐Ÿ˜Š
 
Mzabzab umeshindikana ngoja vikukute utakuja kuleta ushuhuda hapa apostle
Sasa ushuhuda wa nini bwana wewe...hamnaga vitu kama hivyo kama mbususu tumekuwa tunazichakata muda tena malaya kabisaaaa na bado maisha yanaenda tuu
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ 23_28. Mbona hamna mishangazi
We si team mishangazi kama kina Sinyali
Umetokea wapi na wewe tena๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mishangazi ni siku za mechi tuu. Hapa nasubiria tarehe 28 pale taifa tukaburudike na mishangazi ya yanga.
Simba wametuangusha mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ