Kufanya ngono na kila mwamke anaekatiza mbele yako sio ujanja ni kujitafutia mikosi

Nachelea kuandika hapa kwamba ni wachache sana watakaokuelewa, ila usijali kwani umetimiza wajibu wako wa kuwakumbusha. Ubarikiwe Mkuu.
 
Weee kwel umeshindikana 🙄🙄🙄🙄
 
Vijana na wazee kama mimi tupitie uzi mzuri sana huu...
 
Ndiyo starehe pekee inayofanywa na watu wote pamoja na wanyama.

Ni starehe kwa Matajiri, Masikini, Ombaomba, Vichaa, Wendawazimu na pia kwa Wanyama.
 

Acha kutisha watu kwa illusions zako,manabii wazamani na mitume walikua na wake shazi na wakawa na utajiri vile vile mfano mfalme suleimani,umasikini ni kukosa focus na mipango yenye tija.
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…